Serikali yangu naomba utafute walimu wenye division One na two ndio wafundishe shule zetu

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
415
359
Kwako waziri wangu wa elimu, Waziri wa Temisemi na viongozi wote wa serikali yangu.

Naishauri Serikali yangu iajili walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za serikali, kwasababu walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajili hao watawapatia wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.

Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za serikali kwasababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.

Ili serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajili walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three)

Mimi ningelikuwa mwalimu wa serikali mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwasababu serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.

Nitoe tu ushuhuda huu kipindi tunafundisha shule moja ya binafsi (private), tulikua tukimpata mwanafunzi anayetoka shule ya serikali kuja shule yetu, tunahesabu hiyo ni A, kwasababu mwanafunzi wa serikali huwa analewa haraka mno akipata mwalimu mwenye uwezo.

Asilimia 90 ya shule za binafsi (private) zinachukua wanafunzi wasio elewa haraka (slow learners) lakini kwasababu wana walimu wenye uwezo (competent teachers), wana wabadili wanafunzi hao wanapata one, na two. Walimu wengi wa private ni wale wenye one na two, katika mitihani yao ya olevel na advance, ni walimu wenye historia fulani ya kujituma kimasomo wakiwa shuleni wanasoma, mwanafunzi mwingine historia tu ya mwalim inatosha kumfaurisha.

Mimi nae ongea nimewahi kufundisha private, na hicho ndicho nilicho kiona. Serikali inatumia walimu walio feli mno, mwalimu aliye feli, huyo maana yake hakuwa na bidii wakati anasoma, kwa hiyo hawezi kuwavisha roho ya bidii wanafunzi wake.

Mwalimu aliye pata division one na two anazo mbinu za kufauru mtihani, mbinu za kufauru mtihani hatusomei chuoni, mbinu za kufauru mtihani anazo yule mwalimu aliye fauru mtihani huo. Tutumie walimu wenye ushuhuda.

Mwalimu aliye pata S au E ya physics au math au chemistry, au history advance huo hana mbinu za kufaulu mtihani, hivyo hawezi mshuhudia mwanafunzi akafaulu mtihani.

Wanafunzi wengine wanapo fundishwa na mwalimu aliye perform vizuri nao wanapata hamasa wanasoma kwa bidii ili wanafaulu.

Ni hayo tu.
Ahsanteni sana
Mungu ibariki Tanzania.
 
Maoni yako ni mazuri, Tatizo mwalimu afundishi masomo yote hivyo suala la division halina mashiko, Ni vyema serikali ingeangalia kuwa mwalimu anayeruhusiwa kufundisha somo ambalo yeye mwenyewe amelifaulu kwa kiwango kuanzia C CSEE na ACSEE kwa masomo ya arts na D kwa masomo ya science.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesema watoto wanafulu vizur darasa la saba je hao waalimu wao wana div one au two au three? je hujawahi kukutana na mtoto aliefaulu vizuri darasa la 7 lakini hajui kusoma? je nkwanini amefaulu ? mwaka jana kuna watoto walifaulu vizur wakapangiwa special school mfano waliopangiwa kilakala walirudishwa maana walikua ni majanga ,jiulize walipataje wastani wa A

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss Umefundisha shule ngapi za private mpaka kujiaminisha kuwa ni slow learners? Mtu aliyesoma uhasibu hajasoma psychology, shuleni watoto hawendi kupata div one na two tu Kuna mambo mengi.
Ukiachana na makampuni yanayohitaji ukariri wa kiwango cha juu kama auditing companies, tax na upande wa sayansi' Mara nyingi watu wenye uelewa mkubwa sana wa dunia halisia ni waliofaulu kawaida. Tunaita pass
 
Kwako waziri wangu wa elimu, Waziri wa Temisemi na viongozi wote wa serikali yangu.

Naishauri Serikali yangu iajili walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za serikali, kwasababu walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajili hao watawapatia wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.

Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za serikali kwasababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.

Ili serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajili walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three)

Mimi ningelikuwa mwalimu wa serikali mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwasababu serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.

Nitoe tu ushuhuda huu kipindi tunafundisha shule moja ya binafsi (private), tulikua tukimpata mwanafunzi anayetoka shule ya serikali kuja shule yetu, tunahesabu hiyo ni A, kwasababu mwanafunzi wa serikali huwa analewa haraka mno akipata mwalimu mwenye uwezo.

Asilimia 90 ya shule za binafsi (private) zinachukua wanafunzi wasio elewa haraka (slow learners) lakini kwasababu wana walimu wenye uwezo (competent teachers), wana wabadili wanafunzi hao wanapata one, na two. Walimu wengi wa private ni wale wenye one na two, katika mitihani yao ya olevel na advance, ni walimu wenye historia fulani ya kujituma kimasomo wakiwa shuleni wanasoma, mwanafunzi mwingine historia tu ya mwalim inatosha kumfaurisha.

Mimi nae ongea nimewahi kufundisha private, na hicho ndicho nilicho kiona. Serikali inatumia walimu walio feli mno, mwalimu aliye feli, huyo maana yake hakuwa na bidii wakati anasoma, kwa hiyo hawezi kuwavisha roho ya bidii wanafunzi wake.

Mwalimu aliye pata division one na two anazo mbinu za kufauru mtihani, mbinu za kufauru mtihani hatusomei chuoni, mbinu za kufauru mtihani anazo yule mwalimu aliye fauru mtihani huo. Tutumie walimu wenye ushuhuda.

Mwalimu aliye pata S au E ya physics au math au chemistry, au history advance huo hana mbinu za kufaulu mtihani, hivyo hawezi mshuhudia mwanafunzi akafaulu mtihani.

Wanafunzi wengine wanapo fundishwa na mwalimu aliye perform vizuri nao wanapata hamasa wanasoma kwa bidii ili wanafaulu.

Ni hayo tu.
Ahsanteni sana
Mungu ibariki Tanzania.
Naunga mkono hoja wenye division 3-4 waende msingi au redundancy
 
Shule 10 bora kuna walimu wengi wasio na div 1 na 2.
Wengi wao ni div 3 waliokwenda vyuo vya ualimu na wakakimbia kuajiriwa serikalini kwa sababu ya maslahi wakaajiriwa shule binafsi ndio hao ambao wanafaulisha kama uonavyo.

Unapoanzisha uzi jitahidi kuandika kitu ulichofanyia utafiti,kwa akili yako fikiria shule za serikali mwalimu wa physics ni mmoja na ana madarasa kuanzia kidato cha 1-4,ongeza na matatizo ya mshahara duni usiopanda,hapandi madaraja,je atafaulisha?
Nyinyi waanzisha nyuzi za namna hii tunawajua ni maccm mnatafuta huruma wakati mkijua ccm ndio namba moja kuharibu elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wangeliajiriwa wa division 1 na 2 kama hawana Moyo wa kufundisha kuferyi kutakuwa palepale,cha msingi serikali iboreshe mazingira ya kazi na kufanyia kazi malalamiko ya walimu.
 
Swala la kufundisha lipo tofauti na mawazo yako kuna walimu wenye div1 na 2 na watoto wana feli masomo yao wanayo fundisha na kuna walimu wana div 3 na four na watoto wana fahulu masomo yao wanayo fundisha na ushahidi upo sasa hapo sijui unasemaje

Hujui chochote kuhusu elimu na hili ndilo tatizo la watanzania walio wengi kuwa wachambuzi wa maswala yaliyo juu ya upeo wao

Pitia shule kama st francis kuna walimu pale wana vyeti vya kuunga kutafuta credit kafanya mitihani mara mbili hadi tatu. Na ndio shule ya kwanza kitaifa.

Swala la elimu tanzania lina upana sana na linahitaji watu wenye mawazo mapana ya tathmin pana sio kirahisi kama udhaniavyo wewe.
 
Rudi field kafanye utafiti!

Uwezo wa akili ya kupokea ulichofundishwa hauwezi kufanana na uwezo wa kutoa ulichofundishwa.

Wengine wana ufaulu mzuri darasani lakini hawana uwezo wa kuwaelekeza wengine.

Walimu wengine waliotimuliwa juzi juzi hapa kwa sakata la vyeti walikua na uwezo mkubwa wa kufundisha.

Kufeli kwa wanafunzi ni ishu nyingine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom