Serikali yangu haijanitendea haki

jamani pole eeh, ela zilikuwa bize na BMK, hata za wale UKAWA hamna chenji, pia ESCROW akaunti imefilisi nchi, mabalozi wamegomea makabidhiano ya katiba, wahisani hawajatupa ela. nimekumbuka na zingine zipo kwenye mwenge. ushauri mfuate sita ana mil 150, akitoa hapo mil kadhaa utasogeza siku za mwanao.
 

Weee sita alitaka kutoa watu roho akiigombea shiingi hiyo hiyo.
 
Hujui unachokiandika,pia hujielewi alafu unakuja kulalamika hapa,nenda bodi ya mikopo ndio wanatoa mikopo sio kuja kulia lia hapa.

Ndiyo maana unaitwa kaka k.m..
 

Ishauri serikali ianze kutoa mikopo toka chekechea. Mi nashindwa kuelewa. Sekondari mnawalipia watoto wenu 2 millions and above. Inapokuja chuo kikuu mnasema hamna uwezo wa kuwasomesha watoto wenu. Haiwezekani hata kidogo. Tubadilike

 
We mamdenyi si mfia chama wewe!? Unalalamika nini tena!
 
Si lazima watoto wote waende chuo, kazi zenyewe hakuna ,, elimu ya form six inamtosha.. MPE MTAJI AJIAJIRI
 
Bodi ya mikopo inafanya vizuri kupunguza idadi ya wasomi.. Hii mitoto ikimaliza chuo inatusumbua sana kutaka ajira
 
Niambie jina la mama yako la utotoni ili nikutukanie hilo hilo, nyau wewe.

Si lazima watoto wote waende chuo, kazi zenyewe hakuna ,, elimu ya form six inamtosha.. MPE MTAJI AJIAJIRI
 
Habari ya kazi Mamndenyi, pesa zimeisha wanaohtaji ni wengi kuliko uwezo wetu wa kukopesha, tunasikitika kukujulisha kwamba fungu tulilopewa na serikali limekwisha. Kumbuka wakati wa kujaza fomu kuna angalizo kwamba kujaza kwako fomu hakukuhakikishii mkopo, kama una malalamiko ya msingi unaruhusiwa kukata rufaa.
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…