Na heshimu mchango wako, tafadhali soma vizuri... Mie sikujitapisha !! nimeweka wazi uchungu wa Mzazi (mama could be mama wa yeyote hapa JF) yupo desparate anatanga-tanga !! KESHO tutasikia majahili wanaUa na kuBoom innocents /poors tutageuza macho na kuendelea na ya dunia!!
Pole sana tupo ktk enzi za fitina na POWER who is who!! East African Eagle
Nimesoma vyema nikakuelewa. Na ndio maana nikakuuliza ungekuwa ni wewe mama ambaye mwanao kauliwa ungelimuonea huruma huyo mama rashidi.? Una huruma ya upande wa mama rashidi lakini kina mama wafiwa huwahurumii.? Ni halali kwa watoto wao kuuliwa.?! Kama ni uchungu wote walipata .! Lakini una mtizamo na vigezo vyako sikulaumu.! Ila mama gaidi ana haki ya kuumia pia.kusomesha na kufuga mbuzi kibarawa kama yule.
Last edited by a moderator: