Serikali yanawa mikono Al-Shabab Mtanzania

One Muzzrat terrorist down!! Ally Kombo,
big_brother_watching_you.png
 
Last edited by a moderator:
WEWE acha kuchukua hukumu na kutoa judgment kabla ya uhakika wa mambo MAHAKAMA ndo yataHOJI na mahaka ndo yatatoa hukumu...!!! Hadi prove guilty ndo useme, Wee unajua maana ya MAMA au kuwa MZAZI !!
Mie sina haki ya kumhoji mzazi wa mhalifu ..mimi ntamsaidia kwa kupooza nafsi yake na kuridhisha amuone mwanae uso kwa uso!! Ooh God msaidie mama fatuma amuone mwanae kwa njia yeyote iliyo bora. AMIN

Zamilun rafiki yangu., kama angeuawa mwanao uliyemzaa ki dhulumati hivi ., ungeyatapika haya maneno mwenzangu.?!

Na kama mama anazo na yeye hajavurugwa basi kwa mda huu angekaa akasikilizia kwanza.
 
Ni ukweli ila kikubwa huyo mama atafute nauli akamfuate huko Kenya
 
WEWE acha kuchukua hukumu na kutoa judgment kabla ya uhakika wa mambo MAHAKAMA ndo yataHOJI na mahaka ndo yatatoa hukumu...!!! Hadi prove guilty ndo useme, Wee unajua maana ya MAMA au kuwa MZAZI !!
Mie sina haki ya kumhoji mzazi wa mhalifu ..mimi ntamsaidia kwa kupooza nafsi yake na kuridhisha amuone mwanae uso kwa uso!! Ooh God msaidie mama fatuma amuone mwanae kwa njia yeyote iliyo bora. AMIN

Wewe na wewe gaidi tu sema bado tu kudakwa.Inshallah mwenyezi Mungu MWINGI WA Rehma atasaidia vyombo vyetu vya dola iko siku utatua mikononi mwao tu
 
Zamilun rafiki yangu., kama angeuawa mwanao uliyemzaa ki dhulumati hivi ., ungeyatapika haya maneno mwenzangu.?!

Na kama mama anazo na yeye hajavurugwa basi kwa mda huu angekaa akasikilizia kwanza.
Na heshimu mchango wako, tafadhali soma vizuri... Mie sikujitapisha !! nimeweka wazi uchungu wa Mzazi (mama could be mama wa yeyote hapa JF) yupo desparate anatanga-tanga !! KESHO tutasikia majahili wanaUa na kuBoom innocents /poors tutageuza macho na kuendelea na ya dunia!!
Pole sana tupo ktk enzi za fitina na POWER who is who!! East African Eagle

Last edited by a moderator:
Huyu Chagonja mwongo, Polisi wa Interpol na wa TZ wamefika mpaka pale shule alikuwa anasoma na kukusanya taarifa za Rashid ikiwemo kumhoji Headmaster Mr. Mbilinyi yeye anasema hawajui lolote zaidi ya kusoma kwenye magazeti? that is an irresponsible leader.

Kama huyu polisi changoja atakuwa mkweli basi tuna tatizo kubwa sana la kiintelijensia. Kama uwa tunawasema Kenya jinsi walivyo dhaifu kiusalama inaawezekana sisi ikawa worse.

Yani mtu muhimu kama huyu anaishia kuhojiwa na askari wa Kenya? Nilitegemea mama yake, imam wake, mwalimu wake wa dini, rafiki zake wa karibu na chain yote ya watu aliokuwa anashirikiana kiibada wawe wameshaojiwa.

Leo mtu anayetuambia kila siku nchi iko salama anasema ata yeye anayasoma kupitia magazeti. Very sad!
 
" Kwa mujibu wa Fatma alikuwa anajua mtoto wake yupo shuleni Bihawana mkoani Dodoma alipokuwa akisoma kidato cha tano huku uongozi wa shule ukisema alitoroka tangu Novemba mwaka jana, "

Mzazi wa aina gani huyu mtoto katoroka shule tangu Novemba leo April ndiyo unaomba msaada wa Serikali kweli?

Ulikuwa wapi kuomba msaada kutoka serikalini au polisi wamtafute mwanao tangu alipotoroka shule Novemba?

Kumekuwa na likizo ngapi mwanao asirudi nyumbani mpaka leo hii unatafuta msada serikalini?

Kama yeye alishindwa kuisaidia serikali kuwa mtoto wake ni gaidi kwanini serikali imasidie?

Huyo mama mtu atakuwa hana akili, akatafute msaada kwa Al Shabaab's symphathisers wenzake huko kama FaizaFoxy et al

Namshukuru Mungu amedakwa akiwa hai atusaidie kuhusu wale wanaifunzwa mkoani kilimanjaro na kwingineko....FaizaFoxy uje humu maana povu linatoka, msimo wako ni ule ule kuwa mafunzo yaleeee.....ya watoto ni halal?
 
Last edited by a moderator:
Ndg zake wote waliokuwa wanamtetea hapo awali wako kimya kama wamesafiri waje basi wamsaidie huyu mama

Mmmhhh...mwanzoni walidai huyo dogo ni ------, wengine dogo alimtembelea demu wake, wengine alikuwa maalim wa kufundisha dini, wengine anaonewa kwa kuwa ni ustadh na serikali ya kenya ya kikafiri, nk.
 
Huyu Chagonja mwongo, Polisi wa Interpol na wa TZ wamefika mpaka pale shule alikuwa anasoma na kukusanya taarifa za Rashid ikiwemo kumhoji Headmaster Mr. Mbilinyi yeye anasema hawajui lolote zaidi ya kusoma kwenye magazeti? that is an irresponsible leader.

Siyo msemaji wa terrarist, Rashid siyo jambazi au panya road.
 
bmkubwa kakurupuka,awe mpole tu kwa sasa.avuke boda akasadie "karao" wa kenya ktk upelelezi kuhusu mwanaye.CC MK254
 
Last edited by a moderator:
Kama huyu polisi changoja atakuwa mkweli basi tuna tatizo kubwa sana la kiintelijensia. Kama uwa tunawasema Kenya jinsi walivyo dhaifu kiusalama inaawezekana sisi ikawa worse.

Yani mtu muhimu kama huyu anaishia kuhojiwa na askari wa Kenya? Nilitegemea mama yake, imam wake, mwalimu wake wa dini, rafiki zake wa karibu na chain yote ya watu aliokuwa anashirikiana kiibada wawe wameshaojiwa.

Leo mtu anayetuambia kila siku nchi iko salama anasema ata yeye anayasoma kupitia magazeti. Very sad!

mkuu,kwa tension iliyopo sasa hivi nchini kuhusu matishio ya ugaidi,unaamini ni kweli tz haijatuma maafisa wa TISS kwenda kumuhoji huyo kijana?,au ni kweli mamlaka husika hazina taarifa zake baada ya lile tukio la garissa?,sidhani.nafikiri kwa hili chagonja yupo sahihi kutoa maelezo ambayo yanaiweka kando serikali na familia ya yule kijana.BRAVO chagonja.
 
Kama huyu polisi changoja atakuwa mkweli basi tuna tatizo kubwa sana la kiintelijensia. Kama uwa tunawasema Kenya jinsi walivyo dhaifu kiusalama inaawezekana sisi ikawa worse.

Yani mtu muhimu kama huyu anaishia kuhojiwa na askari wa Kenya? Nilitegemea mama yake, imam wake, mwalimu wake wa dini, rafiki zake wa karibu na chain yote ya watu aliokuwa anashirikiana kiibada wawe wameshaojiwa.

Leo mtu anayetuambia kila siku nchi iko salama anasema ata yeye anayasoma kupitia magazeti. Very sad!
Ndugu yangu kama uko kichwani mwangu! Nimelazimika kusoma comments zote kutafuta comment kama hii! Najilazimisha kuamini huyu officer wa polisi kadanganya!kama ni kweli tuna safari ndefu! Nilipendezwa sana na gazeti la mwananchi kwa jitihada zao za kwenda hadi shuleni bihawana! Ila kama ndio msimamo wa jeshi la polisi hapa nimechoka sana! Katika hali ya kawaida ilitakiwa huyu mama awe ameshahojiwa mara nyingi ili kuconnect dots! Huyu mtoto hajaanzia ugaidi hewani! Na kenya hawawezi kupata all details! Washirika wengi wa huyu kijana wapo hapa tanzania
 
Kama ni kweli basi hatuna jeshi la polisi lililo makini.
Ilitakiwa wawe wamefuatilia kuanzia shuleni mpaka watu wake wa karibu, ilikuwaje mpaka akajiunga na alshabaab sasa eti anasema nao wanasoma kwenye mahazeti si ujibga huo.
Hii ni issue kubwa siyo ya kuchukulia simple simple kama maandamano ya boda boda, ina maana kuna wengine zaidi ya huyu Rashid
 
inawezekana kabisa jeshi la polisi limeambiwa likae mbali na kesi hii,mamlaka kubwa za usalama hapa kwetu ndio zinafatilia tukio hili,chagonja anatoa majibu tu ya kwake.Hii kitu ni kikubwa sana kwa polisi kukifatilia
 
Huyu Chagonja mwongo, Polisi wa Interpol na wa TZ wamefika mpaka pale shule alikuwa anasoma na kukusanya taarifa za Rashid ikiwemo kumhoji Headmaster Mr. Mbilinyi yeye anasema hawajui lolote zaidi ya kusoma kwenye magazeti? that is an irresponsible leader.
Those informations are classified!
 
Mkumbuke huyo kijana ni mtuhumiwa tu ila bado ijathibitika kama ni gaidi hvyo hana haki ya kwenda kumwona mwanae
 
Polisi wetu wanaweza fuatilia uhalifu wa Maandamano na Gongo tuu
 
Back
Top Bottom