Kama ni kweli basi hatuna jeshi la polisi lililo makini.
Ilitakiwa wawe wamefuatilia kuanzia shuleni mpaka watu wake wa karibu, ilikuwaje mpaka akajiunga na alshabaab sasa eti anasema nao wanasoma kwenye mahazeti si ujibga huo.
Hii ni issue kubwa siyo ya kuchukulia simple simple kama maandamano ya boda boda, ina maana kuna wengine zaidi ya huyu Rashid
Uchungu wa mwana (mtoto) aujuae MAMA.... lakini liBaba halina hata habari !! POLE mama !! Magazetini@dragoon@The Bleiz@mcharo son
kuna watu wanoko humu jamani jamani!
Mkuu tena Gazaniga ulinikosea kwa kuniDHANIA vibaya huko nyuma!! naona una wasiwasi sana ...kumbuka!!Ni kweli dada,huyo baba naye ni hovyoo haswa,hajawahi kumjali mwanae kabisa.
kwani hakuna gaidi aliyekufa ambaye familia yake ipo kenya? hao wanafamilia wameliwa nyama?Yaani huyo mama nae hatari.Watu hata 40 Hawajamaliza wanalilia watoto wao waliouawa na huyo mwanae yeye anataka safari ya kiutalii kwenda kumtalii mwanae.Akikanyaga kenya akivuka mpaka tu watamla nyama wala hafiki hata Nairobi wananchi wenye hasira watamwulilia mbali.Au naye ni gaidi anataka kutoroka nchi kwa kisingizio cha kumwona mwanae?
Huyu Mfikisti wa Kitanzania anyongwe tu tumechoka na dini zinazochochea ugaidi
Mambo ya kiusalama ni kizungu zungu kwa asiyemhusika.
Si kila linalotangazwa huwa ni msimamo/ukweli sahihi wa wanausalama. mengine huwa ni changa la macho ili kutoa nafasi uchunguzi kufanikiwa.
kwani hakuna gaidi aliyekufa ambaye familia yake ipo kenya? hao wanafamilia wameliwa nyama?
Masikini mama wa watu !! Wewe mbona unamkomalia... Haki yake amuone mwanaeeeee!!Umewasikia hao wanafamilia wameomba serikali iwasaidie hata kuiona hiyo miili ya ndugu zao magaidi waliokufa au kuomba miili yao wakazike kwao? Wameufyata kimya.Wanajua hiki kipindi hatari kwa usalama wao.
Sasa huyu gaidi wa kike mama yake mtanzania gaidi hakumtafuta mwanae kipindi kirefu leo mwanae kafanya tukio ndio anajitia anataka msaada akamwone nakuhakikishia wakenya hawatamwacha.
cha kuchekesha zaidi,"kabando" kenyewe ka MB8.uki preview thread mbili tu,kwishnei.hapo hujapost. :lol::lol::lol::lol::lol::eyebrows:Eti kabisa mmekaa na bundle zenu mnataka kamishna aeleze. . . . . . . .
" Kwa mujibu wa Fatma alikuwa anajua mtoto wake yupo shuleni Bihawana mkoani Dodoma alipokuwa akisoma kidato cha tano huku uongozi wa shule ukisema alitoroka tangu Novemba mwaka jana, "
Mzazi wa aina gani huyu mtoto katoroka shule tangu Novemba leo April ndiyo unaomba msaada wa Serikali kweli?
Ulikuwa wapi kuomba msaada kutoka serikalini au polisi wamtafute mwanao tangu alipotoroka shule Novemba?
Kumekuwa na likizo ngapi mwanao asirudi nyumbani mpaka leo hii unatafuta msada serikalini?
Kama yeye alishindwa kuisaidia serikali kuwa mtoto wake ni gaidi kwanini serikali imasidie?
Huyo mama mtu atakuwa hana akili, akatafute msaada kwa Al Shabaab's symphathisers wenzake huko kama FaizaFoxy et al