Second Fiddle
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 469
- 122
Huyo maza ni mbugila tu asiyejitambua! Si ajabu hata hao al shabaab amewajua baada ya mwanae kuhusishwa! Nahisi huyo ni aina ya wazazi wanaoona sifa kuwa na watoto wengi wakt kuwatunza hawezi! Hapo msaada kwake ni VIBAO tu afunge bakuli lake!