Hiyo ni akili ya mwanamke yeyote angewaza ivoivo wala msimlaum sana yuko katika kuweweseka na kama mnvojua. Hawa wenzetu huwa hawaliyazami jambo kiundan zaidi bali huchukulia kila kitu kiurahisi tu. Ila kwa mwanaume hawezi kuomba kufanya ivo. Maana atajiuliza mambo mengi kabla ambayo yangempa picha ya huko na akakata tamaa. Muoneeni huruma
kwani hakuna gaidi aliyekufa ambaye familia yake ipo kenya? hao wanafamilia wameliwa nyama?
kadoda11 Sielewi jinsi utenda kazi wa polisi wenu ulivyo, mbona wasiwatume wapelelezi wao waje hapa Kenya kimya kimya wamhoji jamaa ili wafaulu kuumbua mtandao wote huko Tanzania. Sipati picha eti polisi wenu wamenawa mikono.
Huyu mama hana mtu wa kumshauri? Hivi kwanini asitulie kwanza huu upepo upite
jeshi la tanzania lifatilie uyo mtu. kwani anaweza kuwa chanzo kizuli cha mtandao huo apa tanzania. kama mwanafunzi ameweza jiunga lazima kuna wakala tanzania walio mshawishi, adi kumpa mafunzo kama si kumpeleka ktk mafunzo. mshilikiane kwa vitengo vya kupambana na ugaidi ata kws kupeana habali. tunaitaji umoja kukomesha hili.
....tuwe makini tunapochagua wake wa kuoa, ukioa mke mbulura usitegemee atamanage familia yake vzr. Kila neno alilokua anaambiwa na mtto wake alikibali bila haya kuquestion, pili hakua hata naawasiliano na shule anaposoma mtoto wake, yani yupo yupo tu, ss hv anaanza kuililia serikali imuokoe mwanae yani serikali imwokoe gaidi??? Yani badala ya kuanza kuwahurumia wazaz wenzio waliopoteza watoto wao kwa kuuliwa na mwanao unaongea ----- namna hiyo....toka nianze kusoma makala za huyu mama sijaona sehemi hata anapomwombea mwanae msamaha kwa kosa alilofanya...yawezekana na yy anahusika pia, yawezekana na yy anafurahia mwanae kupiga kazi ipasavyo. Huyo dogo anyongwe tena live uwanja wa taifa ili iwe fundisho kwa wengine pumbaf kabisa
Yes there are classified, it was full documented in other media mainly news papers, also I consulted the respective headmaster.Those informations are classified!
alienda likizo ya december baada ya kufunga shule nov. lakini aliporudi nyumbani aliaga kwa mama yake kuwa anarudi shule mapema kwa ajili ya kujisomea baada ya kuwa nyuma kwenye syllabus kwa sababu alipelekwa shule isiyo na mchipuo wa PCB kwa hiyo mama yake akampa sh. 90,000 kama matumizi kumbe sio ajabu aliitumia kama nauli. kuna habari humu JF inaelezea haya yote. itafute.Sijamwelewa huyu mama.likizo ya december mwanae alienda nyumban au?na km hakwenda huyu mama alifanya jitihada gan kumtafuta mwanae?kiukweli haiingii akilini tokea nov hadi april ina maana hawakuwa na mawasiliano au changa la macho?