Serikali Yalipa onyo Gazeti la Mtanzania

Umesikia JK ameongea au familia yake? Kwanza huwa hana hayo mambo. Kukingia kitu gani sasa, kama alizuiwa akakaa akaenda zake karudi yuko na mambo yake. Sasa JK shida ana gazeti itoke wapi, yeye hata umtukane wala hajali anajali yake
Ikiwa mwenyewe hajali serikali inafanya kazi gani kuingilia vyombo vya habari? Huoni kwamba wame cross the line
 
Serikali Makini Inatoa Onyo/adhabu baada ya Kuprove Wrong, Inahitaji Muda Mfupi kuprove kuwa JK hakuwepo uwanjani. Kuliko Kuprove wrong Data za Sh Khalifa kwa hiyo Kuwa na subira kila kitu na wakati wake..

Wanaogopa kusomewa itqaf
 
Back
Top Bottom