Mazombi kwel kweli na mikia imekatwa....Lizaboni na timu yako njooni huku kuunga mkono maana ile ya kwanza ya kuzuia watumishi wenye deni HESLB kukopa mlikesha mkisifia sana "uamuzi" ule. Kama mazombi vile!
aliyeileta humu ndio anajua alipo ipataKwa hiyo hii ni uongo! Kabungo ni nani? Achukuliwe hatuka kali kuchonganisha watu na serikali yao
Kama ingekaa vile vile kusingekuwa na shida pia na kama ni uongo bado ni kosa wa aliyeiletaNasubiria kanusho la kanusho.
Ningeshangaa sna kama wasingejikanusha kwa kushambuliwa kule.
Washangiliaji waje tena hapa. ZIKA mbaya sana
Mkuu haya majitu yanahitaji japo semina elekezi yajue nini cha kusifia na nini cha kukaa kimya. Maana mwisho wa siku ni aibu.Mazombi kwel kweli na mikia imekatwa....
Kungekuwa na shida kubwa sana ktk nyanja nyingi . Kubwa zaidi ni ukiukaji wa sheria za kazi ambao ungeshusha zaidi morali ya kufanya kazi. Pia ungeyumba kiasi fulani.Kama ingekaa vile vile kusingekuwa na shida pia na kama ni uongo bado ni kosa wa aliyeileta
Wenzako walikuja hapa kuunga mkono hoja tena kwa povu jiiiingialiyeileta humu ndio anajua alipo ipata