Serikali yafuta mradi wa Dege Eco Village

Serikali haiwezi kurudisha pesa za mradi ambao unaonekana hauwezi kuendesheka kwa faida mpaka unataka kuuzwa hivi.

Kotakachotokea hapo ni kwamba mradi utauzwa kwa bei ya hasara na pesa nyingi zitatokea.

Kwanza mradi kukaa miaka mingi haujakamilika tu ni hasara kubwa.

Hapa hasara haiepukiki acha kuitetea serikali.
Garama za mradi zinaongezeka Kila kukicha
1.kuna wizi mkubwa sana ulitokea wa vitu mbalimbali pale
2. Kwa kuchelewa huu mradi Interest rate ya deni inaongezeka
3.Tayari depreciasion ya majengo inaendelea kukuwa kabla majengo ayajakaliwa
4.kuna kampuni ya ulinzi inalipwa kukinda majengo ambayo ayaingizi kitu
Ukweli ni kuwa mradi huu walengwa wote wameamia Dodoma kikazi na Akuna mtu anefanya kazi Dodoma akanunua nyumba Dar kwa sasa. Serikali siitetei lakini hii do hali halisi kuwa mradi umeshindwa endelea kwa sababu ya Watumishi wa serikali kuhamia Dodoma .mradi huu kwa sasa kama ungelifanyika Dodoma hakika ungeisha fasta.nini Kifanyike??? Muhimbili kwa sasa Wapo Mbioni kujenga Hospitali Shule pale Mlonganzila....Kutokana na Population ya Dar kwa sasa ikiwemo na Kigamboni Serikali inaweza kutumia pesa za kujenga hii hospital shule Kigamboni na kusave 1. Pesa zikanunua huu mradi 2.Wakazi wa Kigamboni wakapata hospital ya rufaa ikawa win win situation. Au IFM Wana miaka zaidi ya mitano wanatafuta pesa ya kujenga new campus pale Msata. Wangeyachukuwa haya majengo yakawa new IFM campus na uzuri wake vijana wengi wa IFM wanaishi tayari Kigamboni....hii ni mifano michache tu ambayo if done Dege Eco City can be profitable🙏
 
Mama anaposafiri, ajaribu kuuza huu mradi kwa ma celebrity wa Hollywood huko.

Anapokutana na watu kama kina Mel Gibson, kina elon, isiwe tu stori za kawaida.

Mama ukikutana na mtu kama Elon mwambie aje state House ya Tanzania, mwambie njoo nina mazungumzo makubwa ya kibiashara na wewe.

Ukifanikiwa kuongea na macelebrity 50 kuna watakao potezea lakini wengine wanaweza wakaelewa.

Imagine Elon Musk amekubali kuja bongo.

Akija prezidaa mwenyewe unampokea mapokezi yenye hadhi ya ikulu, mixer matarumbeta. Mpaka ikulu, makamera kama yooote, BBC, cnn, itv macho yoote kwake(wanapenda sana sifa hawa nguruwe)

Kesho yake chukua helicopter, kisha mpe ride dege beach yooote, muonyeshe mijengo kwanza kwa juu apagawe halafu unamrudisha ikulu, unamwambia "let's talk the business now"(hapo mnaongea ukiwa unamuonyesha wale tausi na swala wa ikulu maana lazima aje na kile kitoto chake)

Wakati anawaza kuhusu deal, unamtoa mpaka kwenye pantoni(hakikisha kwenye pantoni kuna watu wachache wanaojielewa, wasije kupanda wauza madafu mwishowe wafosi kumuuzia Elon madafu)

Anavuka anakutana na chuma zinamsubiri, akipanda ni bakora mpaka dege, unamuonyesha mijengo tena, akimaliza kukagua mijengo yote unampeleka Beach.

Mkifika Beach mnakuta boti zinawasubiri, mnapanda haooo mnapepea(kama namuona vile na anavyopendaga kuvaa masuti muda wote kama mnyasa 😄 ) straight to state House ikulu, mkifika ikulu unamwambia unaona umbali kutoka ikulu mpaka mijengo ilipo, njia zote zinapitika muda wote

Nitakupa ulinzi straight kutoka jumba jeupe, halafu nitakuruhusu ujenge na kibandari kidogo dogo, kwa ajili ya kupitishia mizigo yako.

Deal done, baada ya mwaka tesla zinakua zinazalishwa kigamboni hapo.

Imagine tesla inatengenezwa Kigamboni, unashindwa vipi kumiliki gari?
 
hivi kuna mtu hapa anauliza ila hana mtandao wa jf. haiwezekan ukamaliziwa maana ukibak finishing tu.kisha nyumba zikapangishwa kwa bei nafuu
Lengo ili kuwa kuziuza kwa Wafanya kazi wa Seilrikali na watu wenye kipato cha kati- Bank zingewalipa NSSF cash 100% ya Nyumba zote wao Bank wakabaki Wana kusanya Hela zao Toka kwenye Mishahara ya Wafanya kazi wa Serikali for 15-20 Years. Sasa ukipangisha ata 1 M kwa mwezi aitorudisha pesa walizowekeza NSSF.
 
Garama za mradi zinaongezeka Kila kukicha
1.kuna wizi mkubwa sana ulitokea wa vitu mbalimbali pale
2. Kwa kuchelewa huu mradi Interest rate ya deni inaongezeka
3.Tayari depreciasion ya majengo inaendelea kukuwa kabla majengo ayajakaliwa
4.kuna kampuni ya ulinzi inalipwa kukinda majengo ambayo ayaingizi kitu
Ukweli ni kuwa mradi huu walengwa wote wameamia Dodoma kikazi na Akuna mtu anefanya kazi Dodoma akanunua nyumba Dar kwa sasa. Serikali siitetei lakini hii do hali halisi kuwa mradi umeshindwa endelea kwa sababu ya Watumishi wa serikali kuhamia Dodoma .mradi huu kwa sasa kama ungelifanyika Dodoma hakika ungeisha fasta.nini Kifanyike??? Muhimbili kwa sasa Wapo Mbioni kujenga Hospitali Shule pale Mlonganzila....Kutokana na Population ya Dar kwa sasa ikiwemo na Kigamboni Serikali inaweza kutumia pesa za kujenga hii hospital shule Kigamboni na kusave 1. Pesa zikanunua huu mradi 2.Wakazi wa Kigamboni wakapata hospital ya rufaa ikawa win win situation. Au IFM Wana miaka zaidi ya mitano wanatafuta pesa ya kujenga new campus pale Msata. Wangeyachukuwa haya majengo yakawa new IFM campus na uzuri wake vijana wengi wa IFM wanaishi tayari Kigamboni....hii ni mifano michache tu ambayo if done Dege Eco City can be profitable🙏
Whether inaitetea au huitetei, serikali ilifanya makosa kwa kuchukua pesa za watu bila ruhusa yao na kujenga mradi ambao inaonekana wazi kabisa haukufanyiwa feasibility study hata ya watoto wa shule wanaojifunza tu.

Kwa sababu ingefanywa feasibikity study ya kweli hata ya kujifunzia tu, kama hiyo issue ya wafanyakazi kuhamia Dodoma ndiyo sababu, kama kuna mtoto smart angeuliza swali mbona walengwa wenyewe wanahamia Dodoma?

By the way kwa nini serikali inaenda kutumia pesa za mafao za watu bila ruhusa yao wakati kuna NHC inafanya biashara ya nyumba, ina majumba kibao, ina access na ruhusa zote za serikali, ina access na mikopo ya ndani mpaka nje, inaweza kupewa ardhi bure kwa miradi ya manufaa kwa umma?

Hii habari inaonesha hakuna pesa za mafao zilizo salama Tanzania. Siku yoyote wanasiasa wakipungukiwa fedha za uchaguzi au kwa tamaa zao tu wataziingilia hizi fedha na kujifaragua kwa miradi yoyote ya uongo na kweli, na mwisho wa siku watakuuzia story ndefu kuhusu hasara wakati watu washakula pesa.

Hizo solutions zako zinaonesha hujui uchumi wala siasa. Kama ingekuwa that simple wangeshafanya. Hujui hasara iliyopatikana hata na kuchelewesha mradi tu. Unafikiri kuna genuine good faith kutoka serikalini. Serikali imeufelisha huu mradi makusudi watu wapige hela, huelewi wapi?

Hivi wewe kweli unaamini serikali imejenga mradi Kigamboni wakati wafanyakazi wanahamia Dodoma kwa kutokujua wafanyakazi wanahamia Dodoma na huu mradi utawakosa walengwa? Watu wa serikalini hawakulijua hilo?
 
Ni dhahiri
Nimekumbuka zile 30 billion zilikuwa za miradi ya NHC Kawę na mingine.

Either way na Dege Village inahitaji government intervention vilevile, kama NHC hakuna tofauti.

Kwa sababu hata NHC Nehemia alikopa China, akajenga white elephants zake ambazo hazina returns. Matokeo yake deni sasa hivi lipo hazina linahudumiwa na walipa kodi.

Same raisi na hii Dege Village ni wakati wa serikali kukubali yaishe; wa bebe mradi una direct na indirect economic benefits nyingi kuliko kuendelea na hizi dana dana.
 
Garama za mradi zinaongezeka Kila kukicha
1.kuna wizi mkubwa sana ulitokea wa vitu mbalimbali pale
2. Kwa kuchelewa huu mradi Interest rate ya deni inaongezeka
3.Tayari depreciasion ya majengo inaendelea kukuwa kabla majengo ayajakaliwa
4.kuna kampuni ya ulinzi inalipwa kukinda majengo ambayo ayaingizi kitu
Ukweli ni kuwa mradi huu walengwa wote wameamia Dodoma kikazi na Akuna mtu anefanya kazi Dodoma akanunua nyumba Dar kwa sasa. Serikali siitetei lakini hii do hali halisi kuwa mradi umeshindwa endelea kwa sababu ya Watumishi wa serikali kuhamia Dodoma .mradi huu kwa sasa kama ungelifanyika Dodoma hakika ungeisha fasta.nini Kifanyike??? Muhimbili kwa sasa Wapo Mbioni kujenga Hospitali Shule pale Mlonganzila....Kutokana na Population ya Dar kwa sasa ikiwemo na Kigamboni Serikali inaweza kutumia pesa za kujenga hii hospital shule Kigamboni na kusave 1. Pesa zikanunua huu mradi 2.Wakazi wa Kigamboni wakapata hospital ya rufaa ikawa win win situation. Au IFM Wana miaka zaidi ya mitano wanatafuta pesa ya kujenga new campus pale Msata. Wangeyachukuwa haya majengo yakawa new IFM campus na uzuri wake vijana wengi wa IFM wanaishi tayari Kigamboni....hii ni mifano michache tu ambayo if done Dege Eco City can be profitable🙏
Huu mradi utauzwa kwa bei ya kupa kwa wahuni, wataununua na within few months/years utamalizwa na kuwa na faida kubwa. Mark hii post utaniambia.
 
Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mariam Kisangi.

Mradi wa Dege Eco Village ulinzishwa kwa lengo la kuwekeza fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, ambao ulilenga kuwa na faida zaidi kutokana na uwekezaji wake.

Mradi huo ulisimamishwa na Serikali na umekuwa na maswali mengi kutoka kwa wabunge na wananchi ikiwa inakaribia miaka tisa sasa tangu usimamishwe.

Serikali imekuwa ikielekeza kuwa inatafuta mwekezaji wa kuununua mradi huo ambao hadi mwishoni mwa 2023 ulikuwa na thamani ya Dola za Marekani 220 milioni (Sh501 bilioni).
Hahahaa......Ngoja nicheke tu.
 
Mimi nasubiri tu wataka kumpa nani. Mengine hayanihusu.
 
Wazimu ilikuwa kuusimamisha mradi. Tayari pesa nyingi ilishatumika. Logistics za kuufufuwa ni gharama kubwa. Mkandarasi naye ana madai yake. Mitambo imeharibika sana.
Jiwe aliona dili imepigwa na yeye hana mgao.
 
Hasara ya kutokuendelea nao ni ipi?sio baada ya muda mfupi utaona yanaendelezwa na mfanybiashara mmoja na anapiga hela,au panauzwa kabisa na hela hazitajulikana zimeingia mfuko gani.Kwanini serikali isiendeleze hata kila mwaka maghorofa mowili na watu wakapanga kama kwenye apartments za Morocco au hata kule Kawe,ili angalau hela iwe inarudi kidogo kidogo?
 
Back
Top Bottom