Serikali yafuta kipaumbele cha Mkopo kwenye ualimu wa sanaa

hao wana vita namasomo ya sanaa mkopo uko palepale tu...xasa mbna mnawaonea wivu arts xna kufaulu kwao c mngexoma na nyie kwn nan aliwalzmxha kwenda xaync
KAMA NI WA ARTS AMA BIASHARA USIJISUMBUE HATA UWE NA DIV1.7
KAMA MBISHI UTALETA MREJESHO
 
Na mwakani huo ualimu wataaza kuomba ajira kwa kuandika barua kama kazi zingine
 
Kwa huyo wa HGE aombe jamani msaidieni mkopo atapata tuu tena aombe vile vyuo ambavyo lazima mkopo upate ukienda tuu hapo Eg udism Lakin ni kweli mwaka huu EDUCATION ni non - priority kasoro Sauti tuu ya mwanza ndo priority
 
Hiyo hapo priority ya bachelor of art with EDUCATION ipo hapo tu kwingine kwote hakuna priority
 

Attachments

  • 1470065068124.jpg
    1470065068124.jpg
    46 KB · Views: 26
Back
Top Bottom