BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,249
- 11,924
Hongereni sana kwa kufaulu. Hapangiwi mtu kusoma kozi Fulani au chuo Fulani.
Ushauri kwa vijana wetu ni muhimu.
Wapo watu wana mitaji ya kuanzisha shule zao hao wakisomea ualimu wa sanaa vyema sana.
Wapo watu wana konnection na Shule binafsi n.k.
Mwenzangu namie mtoto wa mkulima hebu Pima,Waalimu wa Arts toka 2016, 2017, 2018, 2019, 2020, 2021, 2022, 2023 zaidi ya 95% wapo kitaa.
Ni sawa Education kuna mikopo ya elimu ya juu ila baada ya kuhitimu muafaka ni upi?
Wapo wanaosema kusoma ni kuongeza maarifa sio lazima kuajiriwa ila wasiwadanganye mbona wao wameajiriwa?
Dhana ya kujiajiri inataka mtaji pia.
Ukisema ufungue shule na update usajili ni gharama pia.
Za kuambiwa changanya na za kwako.