Nipe Maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 337
- 190
Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni Saad Mtambule amefungua rasmi Mnada ambao ni jukwaa linalowapa nafasi Wajasiriamali kuweza kuwafikia Watanzania kwa urahisi.
Huna NIDA? Cheti cha Kuzaliwa? Una Shida na Tanesco? DAWASA? BRELA? Unataka kuonana na Mkuu wa Wilaya? Shida ya Ardhi au Sheria? NK ,Njoo Mnadani, Bila Kusahau Upimaji Afya Bure, Burudani na Shopping ya Bei Chee.
Ni Tarehe 28, 29 &30 mwezi huu hapa Mwenge Jijini Dar es Salaam.