Serikali yafunga ushahidi kesi ya Ponda

Serikali yafunga ushahidi kesi ya Ponda

wameletwa na makanisa? Acha ujuha wewe. Pakitokea machafuko waislam vs wakiristo cia hawatakuwa upande wakiristo. Mbona rwanda walikimbia wakaachia wauane wenyewe kwa wenyewe? Halau unajiita mkiristo msomi
Waislamu hamna uwezo wa kuleta machafuko sana sana ni hii kuvizia mtu mmoja au wawili FBI wanakuja kuibua kila kitu nakuambia subiri uone unamjua Mohamed Gilani yule alilipua ubalozi wa Marekani sasa hivi ananyolea Bati na taarifa alizotoa ndio zimeprompt CIA na FBI kuja kuwakamata waliobakia kama wewe moja wapo jitose bahari kuliko kwenda Guantanamo!
 
si unajua makafiri huwa woga sana wakimuona muislam. wanaweza wakawa 100, marisadi tele, mbwa mizinga. lkn wakimuona muislam 1 wanaona kama wapo watu 1000. huu ni moja ya miujiza mikubwa hapa duniani

Wanaogopa kwa sababu ya roho ya uuaji mliyonayo si vinginevyo.Mafundisho yenu ni kuua na si huruma.Wakristu ni wastahimilivu na wavumilivu na hii ni kwasababu ya elimu na malezi mazuri.Mtoto wa Kiislamu akizaliwa anaambiwa na wazazi Mkristu ni kafiri, akifika madrasa anaambiwa hivyo hivyo, akifika msikitini shekh anapigilia msumari.Hapo unategemea nini hata atakapokuwa mtu mzima?Usijipe moyo kwamba mnaopgopwa,hata Muislamu muelewa anakuona huna akili.
 
kwasabu wanajua waislam always niwapenda vurugu na dini yetu haijaruhusu, ila yenu mnasema jino kwa jino huyo allah mnaemtumikia hebu ngoja tusubiri tuone
si unajua makafiri huwa woga sana wakimuona muislam. wanaweza wakawa 100, marisadi tele, mbwa mizinga. lkn wakimuona muislam 1 wanaona kama wapo watu 1000. huu ni moja ya miujiza mikubwa hapa duniani
 
Kuwa na adabu, imeandikwa anakabiliwa na tuhuma za wizi, hizo tuhuma bado hazijathibitika pasipo na shaka. Mwizi baba ako..!

Mimi nafikiri ikiisha hii wamfungulie kesi ya UGAIDI, ni GAIDI tu mfuasi wa Osama!, na Uislam wenyewe haujui
 
Mimi nafikiri ikiisha hii wamfungulie kesi ya UGAIDI, ni GAIDI tu mfuasi wa Osama!, na Uislam wenyewe haujui
Hapo kwenye blue sioni namna ya kumtetea hasa nikikumbuka alivyoleta tifu pale mwembe chai enzi ya Ben..! Halafu hapo kwenye red naomba unipatie dini yake kama Uislam haujui..!
 
soon dola ya kiislamu itaenea middle east, west africa, east africa and all over the world so jiandaeni wneye chuki na uislam khilafa is coming

chezea merikani weye? Ala? Chezea dola ya kirumi weye? Acha bhana ulisa syria, iraq, palestina, libya kwa ghadafi, enhe niendelee na orodha? Mi sichukii uislam nachukia na matendo yanayofanywa kwa mwavuli wa uislam.
 
soon dola ya kiislamu itaenea middle east, west africa, east africa and all over the world so jiandaeni wneye chuki na uislam khilafa is coming

Mnachotaka kumbe ni kuenea tu?asa ndo mpaka muibe na muue kama magaidi jamani?kumconvince mtu hamwez mpaka fujo?mwanamke akigoma unapomtongoza huna haja ya kumbaka.
 
Ndugu zangu. Nawaomba wale wote mnaoweza kumtetea Ndugu Ponda dhidi ya mashitaka anayokabiliwa nayo, basi aende kule kotini akawasiliane na wakili wa utetezi ili apewe nafasi hiyo. Vinginevyo tukikaa tu na kuendelea kumtetea kupitia JF ambako hakuna kesi dhidi ya Ponda, tutasababisha mtu huyu afungwe kwa kukosekana ushahidi wa kumtetea, halafu ndio tutaendelea kulalamika zaidi kwamba kaonewa. Haya shime, katoeni ushahidi Mahakamani utakaomsaidia ku counter hoja zilizowasilishwa hapo Mahakamani dhidi ya mtu huyu. Kumtetea Ponda humu JF hakumsaidii kabisa kwa sasa, ni sawa na kupiga kelele tu, halafu mwisho wa siku akapigwa mvua hivi hivi kwa uzembe wenu wenye ushahidi wa kumuokoa.
 
soon dola ya kiislamu itaenea middle east, west africa, east africa and all over the world so jiandaeni wneye chuki na uislam khilafa is coming

Kwa uwezp gani kaka ? Elimu gani ? Maarifa yapi ? Nyenzo zipi ? Hata kama mtavaa mabomu kama mnanyavyo Zanzibar you are too late guys hamuwezi mnajidanaganya .
 
tuache sheria ichukue mkondo wake, kama hana hatia atakuwa huru na kama anahatia atahukumiwa kama wahalifu wengine.
 
wakili mkirsito. Jaji mkiristo dhidi ya sheikh. Angalikuwa padri upesi wangalisema hana kesi ya kujibu. Mwalimu nyerere mungu amrehemu. Katuachia matatizo malkubwa ya udini hapa tanzania

hivi kweli wewe ni muslamu? Unafuatilia mwenendo wa kesi hii? Usisumbuliwe sana na imani ktk jambo la haki tena mbele ya sheria....muombe mwandishi wa hii habari akupatie mlolongo mzima wa kesi.

Msikiliza shauri,mwendesha shauri kwa niaba ya mshitaki na mpinga mashitaka kwa niaba ya washitakiwa wanaifanya kazi hii kwa kiwango kipi? Si vema kutema sumu za udini usio na tija hapa jamvini wakati hujihusishi na hao walo mbele ya sheria!!! Kwa andiko lako ni wazi umeamua kuwa mnazi tena kwa level ya mtu usiyejali uislam na tanzania
 
Hizo ni kelele za chura haziwazui tembo kunywa maji.....Wataangaika saana mwisho wa yote PONDA ataachiwa huru na baadae Sheikh PONDA ataifungulia serikali kesi ya kumdharirisha na atalipwa mahela mengitu na harakati zitaendelea km kawa...Hakuna anaeweza kumfunga Sheikh PONDA serikali inajua impact yake mwanzo mwisho nini inakifanya sasa ni kuwatishia kisaikolojia....FUNGA UONE MAJIVU YATAKVYOKUA SEHEMU YA MICHANGA

Unaota wewe ebu nenda ukale kiti moto
 
wameletwa na makanisa? Acha ujuha wewe. Pakitokea machafuko waislam vs wakiristo cia hawatakuwa upande wakiristo. Mbona rwanda walikimbia wakaachia wauane wenyewe kwa wenyewe? Halau unajiita mkiristo msomi

Kwahiyo muislam akiiiba au akivunja sheria asihukumiwe?kama unataka kuishi kwenye lawless country hamia somalia
 
Kuwa na adabu, imeandikwa anakabiliwa na tuhuma za wizi, hizo tuhuma bado hazijathibitika pasipo na shaka. Mwizi baba ako..!

Mwizi unamchukulia kama mwizi tu,kwani sababu ya Ponda na watuhumiwa wengine waliofikishwa mahakamani ni ipi?watuhumiwa wengine wamekiri au hukusoma maelezo ya Tanzania Daima kwa makini?rudi tena kayasome uyaelewe usiwe mvivu wa kufikiri ndio maana unatukana sasa
 
kumbe Ponda mbali ya ugaidi pia mwizi??hawa watu wanatumia dini ku cover maovu yao??Dini zote huwa zinahubiri amani., upendo ila wachache wanabadili maandiko ili kukidhi maovu yao!
mkuu naona unashangilia. tunajua wewe ni mpinzani, wenzio tunaomboleza ekari 4 katikati ya jiji zinabadilishwa kwa pori la eka 40 huko mwanaromango kisarawe. bora hata wengekuja kwangu ningewapa hilo pori la eka 100 bure. ni haki yako kushangilia kwa sababu wewe ni anti islam. lakini naamini hata wewe kutoka moyoni kabisa unashangaa kituko hicho cha bakwata.
 
Usimhukumu mtu kwa dini yake,sasa unachokitetea hapo kitu gani?
Maswali ya kujiuliza:-

1)Bakwata waliuza eneo hilo kwa mmiliki mwingine kwa kufuata kanuni na sheria za nchi?

2)-Kama ndio je utaratibu mnauchukua kwa kudai eneo la mmiliki mwingine ni za kisheria au za kihuni?

3)-Kama sio kwa nini msiende mahakamani kwa kufuata taratibu zilizopo kudai hizo mnazoziita ni haki zenu.
Nchi haindeshi kwa matakwa ya mtu/dini/kikundi au chochote kile cha kufanana na hivyo,nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na usipozifuata yatakukuta kama ya Ponda na wengineo.
 
Back
Top Bottom