Serikali yafunga ushahidi kesi ya Ponda

Serikali yafunga ushahidi kesi ya Ponda

hi ndo maana ya uhuru wa maoni(KUSEMA UONGO) na hi ndo maana ya uchochezi(KUSEMS UKWERI,KWAUSHAHIDI WA VITENDO NA KAULI-reiea, dk.sivalon)? amani NI yetu sote iwapo wanadhani KUWADHIBITI WATUFULANI WAO WATAISHI KWA AMANI sio KWERI. KULINDA na KUDUMISHA uadilifu NA HAKI ndio ufumbuzi wa amani. KUMBUKENI WANA JF, libya, islaeri, somalia, KWOTE HUKO nia ni kudhibiti vikundi vichache matokeo yake woote hawalali kwa furaha na amani. Ukiona mwenzako anadhurumiwa mkanye anaye dhuumu kama hujui kuwa kuna mtu anadurumiwa sikiliza mpande2husika, kisha angalia sheria kuchakachua sheria kwa faida unayoita kulindaamani huko ni kuibomoaamani! CHAKUSIKITISHA HUMU JF kuna baadhi ya watu wanajivika upelelezi, upolisi na uhakimu MNADHANI WOTE HATUJUI? matusi, kejeri,majigambo hayafai!
 
Naamin wengi wanaochangia mada humu ndani ni wasomi! Tuache kuchanganya makosa ya Ponda na dini zetu. Ponda kashtakiwa kwa makosa yake na si uislamu wake, ndio maana BAKWATA hawamtambui. Tuache ukristo na uislamu wetu, tujadili mada husikua ya Ponda na wafuasi wake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
inawezekana ponda akakutwa na hatia kwasababu mmiliki wa eneo aliyeuziwa na bakwata akawa na nyaraka zote za umiliki, lakini ujumbe ushafika na kufahamika kwamba bakwata wapo kwa maslahi ya matumbo yao na sio waislam, wamekabidhiwa kulinda mali wao wanauza, ina lilahi waina ilahi rajiuni!
 
inawezekana ponda akakutwa na hatia kwasababu mmiliki wa eneo aliyeuziwa na bakwata akawa na nyaraka zote za umiliki, lakini ujumbe ushafika na kufahamika kwamba bakwata wapo kwa maslahi ya matumbo yao na sio waislam, wamekabidhiwa kulinda mali wao wanauza, ina lilahi waina ilahi rajiun!
 
Inawezekana ponda akakutwa na hatia kwasababu aliyeuziwa eneo akawa na nyaraka zote za umiliki alizopewa na bakwata, lakini waislam wameshafahamu kwamba kazi inayofanywa na bakwata sio kulinda mali za waislam bali ni kuuza mali hizo, viongozi wa bakwata wanakesi ya kujibu kesho kwa mwenyezi mungu! inalilah waina ilahi rajiuni!
 
Inawezekana ponda akakutwa na hatia kwasababu aliyeuziwa eneo akawa na nyaraka zote za umiliki alizopewa na bakwata, lakini waislam wameshafahamu kwamba kazi inayofanywa na bakwata sio kulinda mali za waislam bali ni kuuza mali hizo, viongozi wa bakwata wanakesi ya kujibu kesho kwa mwenyezi mungu! inalilah waina ilahi rajiuni!
 
Mkurugenzi wa mashtaka aliyezuia dhamana ni mkristo,Wakili wa Serikali mkristo,Hakimu anayeongoza kesi Mkristo.Waislamu mnaona hichi kitu

kwa hivyo ulitaka hao wote wabadili dini kwa ajili ya kesi hii, au kwamba kesi yenye mtuhumiwa muislam ipangiwe maofisa waislam?
- tatizo lenu waumini wa hii dini mnaishi kihisia na hamna elimu!
 
Back
Top Bottom