Serikali yafunga ushahidi kesi ya Ponda

Serikali yafunga ushahidi kesi ya Ponda

Mkurugenzi wa mashtaka aliyezuia dhamana ni mkristo,Wakili wa Serikali mkristo,Hakimu anayeongoza kesi Mkristo.Waislamu mnaona hichi kitu
 
.....Dini zote huwa zinahubiri amani., upendo ila wachache wanabadili maandiko ili kukidhi maovu yao!
Siyo kweli kabisa. Hivi dini inayohimiza WEZI WAKATWE MIKONO NA MIGUU na MZINZI MWANAMKE AFUKIWE CHINI NA KUPIGWA MAWE KICHWA na KULIPIZA KISASI nayo ni dini inayohubiri UPENDO!!!!! Inayosema MWANAUME ANAWEZA KUGAWA PENZI KWA WAKE MPAKA WANNE nayo inahubiri upendo!!!! Acha hizo bwana!!!
 
Mkurugenzi wa mashtaka aliyezuia dhamana ni mkristo,Wakili wa Serikali mkristo,Hakimu anayeongoza kesi Mkristo.Waislamu mnaona hichi kitu
Kwa mtizamo huu tutafika kweli!!??? Nadhani tatizo ni uwepo wa wasomi wa sheria wanaotoka dini hiyo, full stop. Mambo mengine ni brabra za vijiwe vya kahawa na kashata.
 
Ndugu zangu. Nawaomba wale wote mnaoweza kumtetea Ndugu Ponda dhidi ya mashitaka anayokabiliwa nayo, basi aende kule kotini akawasiliane na wakili wa utetezi ili apewe nafasi hiyo. Vinginevyo tukikaa tu na kuendelea kumtetea kupitia JF ambako hakuna kesi dhidi ya Ponda, tutasababisha mtu huyu afungwe kwa kukosekana ushahidi wa kumtetea, halafu ndio tutaendelea kulalamika zaidi kwamba kaonewa. Haya shime, katoeni ushahidi Mahakamani utakaomsaidia ku counter hoja zilizowasilishwa hapo Mahakamani dhidi ya mtu huyu. Kumtetea Ponda humu JF hakumsaidii kabisa kwa sasa, ni sawa na kupiga kelele tu, halafu mwisho wa siku akapigwa mvua hivi hivi kwa uzembe wenu wenye ushahidi wa kumuokoa.

waislamu mko juu ccm inawaogopa sana kwani ndio mnayoiweka madarakani komaeni Ponda shujaa anatoka kwani nae alipigia ccm kampeni tusimchague Dr Slaa ataleta ukatoliki shime waislamu ccm inawaogopa
 
Mkurugenzi wa mashtaka aliyezuia dhamana ni mkristo,Wakili wa Serikali mkristo,Hakimu anayeongoza kesi Mkristo.Waislamu mnaona hichi kitu

hapo sasa waislam ndo mjue maana na. faida ya elimu..kutwa kukaa vibarazan kucheza bao mnaacha kuwapeleka watoto shule mnawapeleka madrasa pekee...elimu ya dini iende sambamba na elimu ya darasani... mngekua mmeelimika wasomi mngekua kwenye izo nafas za mahakimu na wasimamiz wa kesi
 
waislamu mko juu ccm inawaogopa sana kwani ndio mnayoiweka madarakani komaeni Ponda shujaa anatoka kwani nae alipigia ccm kampeni tusimchague Dr Slaa ataleta ukatoliki shime waislamu ccm inawaogopa

Ndugu.Unafikiri wapo sasa hao wenye ushahidi wa kumchomoa Ponda dhidi ya hoja zilizowasilishwa Mahakamani? They are just shouting and shouting and shouting everywhere as if Mahakama inasikiliza shouting. Watu wanalaumu kila kitu as if wamezuiwa kumtetea mtu huyo kwa mujibu wa sheria. Ndio tabu ya kuzoea mambo ya kihuni, utataka kulazimisha kila kitu kifanywe kihuni, hata Dini pia utataka iendeshwe kihuni!
 
Usimhukumu mtu kwa dini yake,sasa unachokitetea hapo kitu gani?
Maswali ya kujiuliza:-

1)Bakwata waliuza eneo hilo kwa mmiliki mwingine kwa kufuata kanuni na sheria za nchi?

2)-Kama ndio je utaratibu mnauchukua kwa kudai eneo la mmiliki mwingine ni za kisheria au za kihuni?

3)-Kama sio kwa nini msiende mahakamani kwa kufuata taratibu zilizopo kudai hizo mnazoziita ni haki zenu.
Nchi haindeshi kwa matakwa ya mtu/dini/kikundi au chochote kile cha kufanana na hivyo,nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na usipozifuata yatakukuta kama ya Ponda na wengineo.
ni tatizo kubwa kujadiliana na kifuu cha nazi badala ya kichwa. hivi hujui bakwata imejivika kila kitu cha waislamu? utaenda mahakama ipi usikilizwe. unajua wameuzi vingapi na mahakamani hapakusaidia? niondolee utaahira wako hapa.
 
Ndugu sheria ya nchi hii haina dini, basi mnauwezo wa kumkataa hakimu inaruhusiwa..mwambieni wakili wenu.. Acha kulalamika chukua hatua,
Nyerere ameingiaje hapo..
wakili mkirsito. Jaji mkiristo dhidi ya sheikh. Angalikuwa padri upesi wangalisema hana kesi ya kujibu. Mwalimu nyerere mungu amrehemu. Katuachia matatizo malkubwa ya udini hapa tanzania
 
hawatazidishiwa wenye kudhulumu ila kupata hasara.............
UISLAM ni mti wa matunda mzuri wacha waurushie mawe
wakamate mashekh,wafungie radio.
waacheni wafuasi wa shetani wahalalishe ndoa za jinsia moja,ulevi na ulaji wa vibudu kisha watarajie kuwa ufalme wa mbinguni ni WAO ..wamedanganywa na bilisi
 
Mi naamini Ponda wakati anavamia eneo lile alijua kabisa anafanya makosa, na alijua atafikishwa mahakamani kwa vurugu na uvamizi, kwa sababu tu kutaka umaarufu akafanya alivyofanya, mi siamini kama Ponda anatetea uislam kwa dhati nahisi anatumia tu dini kwa faida zake ye mwenyewe kwa kutazama uelewa wa watu anaowachochea, yaani ana akili na anawatumia aliowazidi akili kufanya mambo yake
 
Kuwa na adabu, imeandikwa anakabiliwa na tuhuma za wizi, hizo tuhuma bado hazijathibitika pasipo na shaka. Mwizi baba ako..!

ha ha ha, una undugu naye nini? mbona la ugaidi hujakanusha..punguza hasira
 
kumbe Ponda mbali ya ugaidi pia mwizi??hawa watu wanatumia dini ku cover maovu yao??Dini zote huwa zinahubiri amani., upendo ila wachache wanabadili maandiko ili kukidhi maovu yao!

ndio maana tunaamua kuwachomea madhahabuni pamoja na makanisani mwenu mmezidi kuzusha tuhuma zidi ya waislam
sasa ngoja mzidi kutuchokoza tuhamasishane tuone kama mtatoka majumbani mwenu
marekani na nguvu zake zote lakini bado alqaida inastawi tena mara hii ni africa kwa kuibuka vikundi kibao mpaka hela zao za kodi zina ishia kupigana na sis lakini wana blo sasa subirini vijana warudi kama kila siku hamtakuwa mna changisha fedha kwaajili ya kujenga makanisa
 
ndio maana tunaamua kuwachomea madhahabuni pamoja na makanisani mwenu mmezidi kuzusha tuhuma zidi ya waislam
sasa ngoja mzidi kutuchokoza tuhamasishane tuone kama mtatoka majumbani mwenu
marekani na nguvu zake zote lakini bado alqaida inastawi tena mara hii ni africa kwa kuibuka vikundi kibao mpaka hela zao za kodi zina ishia kupigana na sis lakini wana blo sasa subirini vijana warudi kama kila siku hamtakuwa mna changisha fedha kwaajili ya kujenga makanisa

Kuuwawa kwa Osama bin Laden ni kuvunja uti wa mgongo wa Alqeda., walijaribu kujipenyeza Mali Wafaransa wamewamaliza, Ponda yupo jela anatoa huduma tuu huko na wenzie pia wanatoa huduma! FBI wameshatua mtasakwa kama swala!
 
hiyo impact kama ni negative wala siyo kitu cha kujisifia kabisa.
mtawajumuisha mpaka na wale wasio na hatia.
Wanaotenda maovu,na wale wanaoshuhudia maovu pasi na kuchukua hatua japo kwa kukemea tu pia nao ni waovu wenye hatia!
 
ha ha ha, una undugu naye nini? mbona la ugaidi hujakanusha..punguza hasira
Hili la ugaidi nitalikanusha baadaye coz bado nalifanyia uchunguzi.! Kuhusu udungu ni kweli ni ndugu yangu maana waislamu wote ni ndugu na ndo maana hata yesu ni ndugu yangu..! Naomba pia nifafanue zaidi ya kuwa gaidi siyo ndugu yangu..!
 
hi ndo maana ya uhuru wa maoni(KUSEMA UONGO) na hi ndo maana ya uchochezi(KUSEMS UKWERI,KWAUSHAHIDI WA VITENDO NA KAULI-reiea, dk.sivalon) amani yetu wote iwapo wanadhani KUWADHIBITI WATUFULANI WAO WATAISHI KWENYE AMANI sio kufanya uadilifu inasikitisha saana KUMBUKENI WANA JF, libya, ilalaeri, somalia, KWOTE HUKO nia ni kudhibiti vikundi vichache matokeo yake woote hawalali kwa furaha na amani. Ukiona mwenzako anadhurumiwa mkanye anaye dhuumu kama hujui kuwa kuna mtu anadurumiwa sikiliza mpande2husika, angalia sheria! CHAKUSIKITISHA HUMU JF kuna baadhi ya watu wanajivika upelelezi, upolisi na uhakimu MNADHANI WOTE HATUJUI?
 
Back
Top Bottom