Serikali yaandaa mkakati wa kuwatapeli walimu

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,818
Reaction score
9,817
Wako kwenye hatua za mwisho za kuhakikisha kila mwalimu mwenye sifa anapewa leseni na atapaswa kuilipia kiasi cha shilingi laki 1 na 20 elfu.

Kuwa na leseni ni sahihi kabisa ila hiyo ada bila mshahara kuongezeka ni wizi.

Anyways, WASIMAMIZI WA CHAGUZI ZA KITAPELI ZA CCM MMEFIKIWA😀
 
Sijui kwa nini ccm hawana shukurani, hata boda boda nao walifikiwa!
 
Chama cha walimu,kimewaliza walimu kuwakata fedha kila mwezi kulingana na mshahara wako.
Sasa CWT,kinakufa asubuhi na mapema.
 
Hao ma agent wa ccm acha wakamuliwe tu
 
Kwa mshahara upi? CWT nao wanachukua 2% kila mwezi. Bado kuna payee, bima, pssf, Bayport, Fanikiwa, Platinum, NMB, CRDB, na takataka nyingine! Hali itakuwa ni tete.
 
Hayo mambo ya leseni yatasababisha upungufu mkubwa sana wa walimu hasa vijijini. Labda iwe rahisi kuipata hiyo leseni
 
Inamaanisha bila leseni hautatakiwa kufundisha.

Sasa hapa ukileteana zengwe na mtu akikukomalia kwenye leseni umekwisha.

It's funny that taaluma yenye wahitimu wengi, ambao hata ajira zao hazitoki na hawawezi kujiajiri inawekewa leseni.

Nilifanya kazi na wachina wale jamaa wanaheshimu mno degree ya ualimu. Na walikua disappointed wakiona mwenye degree ya ualimu hana performance ya kuridhisha.
 
WALIMU tena na kidogo chao wanakitaka.... kwa kisingizio cha leseni
 
Kwa mshahara upi? CWT nao wanachukua 2% kila mwezi. Bado kuna payee, bima, pssf, Bayport, Fanikiwa, Platinum, NMB, CRDB, na takataka nyingine! Hali itakuwa ni tete.
ni umasikini totally kwa walimu, mshahara wa laki tano, laki nne ukatwekatwe utabaki kiasi gani cha kuishi wiki nne? Labda walimu wa vijijini wenye mashamba yao watalima na kula shambani. Hawa wa mjini wataishi vipi na kamshahara kadogo kalichokatwakatwa? Itasababisha walimu wa kike wawe malaya, una ishirini yako unaopoa mwalimu wa kike kwenda kujipigia shoo, ishirini hatakataa, njaa kali na mshahara hautoshi
 
Natunza kibunda nianze kuwatega hao walimu
 

Attachments

  • downloadfile-46.jpg
    30.7 KB · Views: 3
Labda serikali imeona sekta ya elimu imekuwa na wahitimu wengi wa fani ya ualimu kwa hiyo iwapunguze kwa kigezo cha leseni. Leseni halafu unafundisha kijijini kwenye mazingira magumu, hii imekaaje?
 
Itapunguza ufanisi katika kufundisha na wengi hawatapenda kusomea ualimu labda mshahara uwe mkubwa sana kama kivutio
 
Uncle yake adriz ni mwalimu wa madrasa. Nayo yatozwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…