Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Kila ubongo una ukomo wake wa kufanya kazi. Ulifanya kwa kadiri ya uwezo wako na yeye kafanya kwa kadiri ya uwezo wake. Nawapenda woteUlitumia siku ngapi kufuatilia, wengine tulipoona majina hayapo yanayotuhusu tukaendelea na mishe nyingine
Soma uzi uuelewe acha kukurupukaSamahani . Hivi waalimu waliojiriwa ni direct F4 au ? Ili hizo attachment zitumike kwa usahihi
Mvivu huyu hataki kusomaSoma uzi uuelewe acha kukurupuka
Eeh ni sawa lakini makosa yako tu. Af pia ni vizuri kuwaza au kufikiria katika positive side, sio in negative way.Ebu tizama kipengele namba tatu cha mtoa uzi alafu uje na hizo assumption zako.
Eeh ni sawa lakini makosa yako tu. Af pia ni vizuri kuwaza au kufikiria katika positive side, sio in negative way
Kwa elimu hii ya kijinga utaajiliwa wapi,,?nje,,,,Serikali haiwezi kuajiri wote...kuna private sector ...kuna Taasisi na kuna mataifa ya nje yenye uhitaji
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Kszi umbea tuuu
Una uhakika na ukisemacho, cheki vizuri! Ni zaidi ya hayo uyasemayo. Unadhani hizo nafasi hazijaziba riziki za watu?Majina machache ndo yamejirudia, almost watu watatu hivi, lakini kwa mtazamo wangu ni makosa ya kawaida hayo
Hiiiiii Umenikumbusha ile issue ya EXPANSION JOINT pale UDSMHongera ,,sana mleta Uzi,,,ingekuwa Nchi zingine ,,, ungeitwa ikuru ,,,,,ukapewa cheti,,,,,kwa kazi hii uliyofanya....kwa ni Bongo ,,,,mmmmm,,,,watu km nyie hamutakiwi.
Mpiga dili mkuu atawezaje kuwamaliza wapiga dili wenzakea,ni porojo tu.The earliest chinese philosopher once said "If a leader is not virtue even though you give order will not be acceptedSerikali inayoongozwa na malaika mkuu inafanya madudu ya ajabu namna hii ,wakati alisema amewamaliza wapiga dili .
Tumieni akili mnapo post vituKatika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.
1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323
2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325
3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;View attachment 1085329
2015;View attachment 1085330
4. Cheki hawa hapa, mmoja kaongezewa SURNAME halafu mwingine namba yake ya F4 imeandikwa kwa irabu 'O' ilihali matokeo yanaonesha aliyefanya mtihani ni mtu mmoja tu.
View attachment 1086167
View attachment 1086170
5. Hawa hapa hawakusoma AGRICULTURE F4. Huyo aliyemaliza F4 2016 alipata 'DIV ZERO'. Je, aliendaje advance? Hata kama angeenda, kuna F4 wa 2016 wa 'School candidate' aliyekwisha maliza SHAHADA?
View attachment 1086203
View attachment 1086214
View attachment 1086215
The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!
Tumieni akili mnapo post vitu
Kwani hao wameshajiriwa??
Mfumo wa saivi huwezi ajiri watu wawili kwa wakati mmoja! Mashine itatema tu