Serikali yaajiri walimu 3,081 kupunguza uhaba wa walimu wa sayansi, sanaa ina ziada ya walimu 7,463

Akitaka kubadilishana we Waziri utapata hasara gani wengine wameolewa sasa ulikowapeleka utawapatie wenza
Bodaboda na baadhi ya vijana sehemu husika walikopelekwa hao ajira mpya.Huko vijijini na baadhi ya miji,ajira mpya wamekua mkombozi kwa vijana na waume wawatu ambao wanataka kuongeza wake.
 
Huu ugomvi sijui utakuwaje, walimu wengi Wa primary na sekondari haziivi ( I can say they have different polarity), walimu Wa msingi wanajiona ndio wao, sekondari ndio wao hapo sasa
 
Kwani mwalimu wa diploma ana mkopo wa bodi ? Mateso aliyopata kwa kusoma bila mkopo ndio malipo yake anayapata kwa sasa
kwa logic yako hii inamaana kua:- haina haja kwa walimu wa diploma kujiendeleza kielemu, kwani wakijiendeleza kielemu, hawataongeza chochote ktk mishshara yao. hivi unajiona uko sahihi?
 
Hiyo yakupangiwa moja kwa moja shuleni itawakosesha rushwa ya ngono maafisa wa elimu mbalimbali ambao walikua wanapewa ngono ili wapange waalimu shule wazitakazo na zinazofikika na wao kiurahisi kwenda kusuza rungu,hapo mwalimu wakike akilambwa nikwamva ametaka mwenyewe.
 
kwa logic yako hii inamaana kua:- haina haja kwa walimu wa diploma kujiendeleza kielemu, kwani wakijiendeleza kielemu, hawataongeza chochote ktk mishshara yao. hivi unajiona uko sahihi?
Hujielewi. Tangu lini mwalimu akaongezewa mshahara kwa kujiendeleza kielimu. Kujiendeleza kielimu kuna mahusiano na ongezeko la mishahara, hivi hata hujui kuna waalimu wa GRADE A wana mishahara mikubwa kuliko hapa BeD
 
hongera kwa kuelewa uongo.
walimu wa diploma na cheti huwa na ukomo ya kuongeeka kwa mishshara yao. kwa walimu wa cheti, ukomo wao ni gredi E (gredi yenye mshahara wa laki tisa na vipoint kabla ya makato). unasifia laki tisa. hela ya mwanangu ya mafuta ya gari kwa mwezi
 
9
Kuboresha ni kufanyaje ?

Hivi unajua hata mshahara 999999999999999999999hi h kamwe
Nakupa home work utafute nini maana ya kuboresha maslahi ya walimu ukishindwa muulze hata jirani yako akishindwa muende kwa kijana wa darasa later 4
 
Walimu wa arts namba zinaendelea kusomeka wamesema mpaka uhitaji utakapojitokeza. It means mpaka vifo na kustaafu Ndo uje uajiriwe cha msingi ni kuchange mindset zetu Na kufocus fursa zingine coz maisha still yanaendelea... Ingawa inauma Sana but no way out.
 
Hongera sana serikali. Wanasayansi wamenyanyasika sana vyuoni hususani shahada kwa kulipa ada kubwa karibu Mara mbili ya wanasanaa na pia kukesha wakipinda migongo mezani ilhali wanasanaa wako horizontal.
Naiomba serikali pia iwajali hawa wanasanaa. Kama haiwezi kuwaajiri kwa sasa, basi serikali iongee na taasisi za fedha ili ziwakopeshe kwa udhamini was vyeti vyao waweze kujiajiri na kuanza kurejesha mikopo polepole.
Kijana akipata mkopo wa milioni mbili ataweza kujiajiri vizuri tu. Tusiwwache hawa vijana maana wengine walipenda wasome sayansi lakini hakukuwa na waalimu was masomo hayo.
kwayo kutoajiliwa kwa wana art kumepunguza machungu ya wanasayansi kwa kuwa waliumia vyuoni?....alafu unawaombea wakopeshwe hao wana arts?...akili yako na huyo mteka watu ni moja tu!! .ngoja tuone kama hii nchi mtaiweza kwa unafiki huu
 
Walisema walimu wa Sanaa wapo wa ziada sasa mbona kuna wengine waliosoma masomo ya sanaa wameajiliwa ukiangalia peji ya mwisho na ni majina matatu 3 ya mwisho
sasa hilo unashangaa wakati kuna wengi wamefukuzwa kwa vyet fake laki bashite kaachwa...mbona kawaida sana kwa serilikali hii
 
Kwani mwalimu wa diploma ana mkopo wa bodi ? Mateso aliyopata kwa kusoma bila mkopo ndio malipo yake anayapata kwa sasa
Ada yao ilikuwa kidogo sana na serkali inaongezea kiasi kikubwa vile vile pesa za mafunzo kwa vitendo(TP) wanapewa toka serkalini. Nashangaa kuona na wao kwa nini hawarejeshi hizo fedha?
 
Hiyo yakupangiwa moja kwa moja shuleni itawakosesha rushwa ya ngono maafisa wa elimu mbalimbali ambao walikua wanapewa ngono ili wapange waalimu shule wazitakazo na zinazofikika na wao kiurahisi kwenda kusuza rungu,hapo mwalimu wakike akilambwa nikwamva ametaka mwenyewe.

Mi afisa elimu alinipora demu wangu hivihivi.
 
Back
Top Bottom