Serikali ya wanyonge

Hii picha sio ilichukuliwa kipindi cha awamu iliyopita? Maaja dhamira ya anko Magu ya kuboresha mazingira na ubora wa elimu amefanya kwa kiasi kikubwa..
 
Tafuta definition ya serikali
 
Hahaha kwanza anaweza kuwasaidia halafu ndio ikawa sababu ya Kufilisiwa na serikali. ..maana wata Dhani kuwa ana taka Kugombea ubunge--so anatafuta sympathy
Wewe unachekesha kweli, uache kusaidia famiia yako uende kusaidia wapiga kura wa CCM, waache tu mpaka watakapopata akili ya kujua CCM ni kichaka cha uovu
 
Hata ukifua ngua nguo ni kazi bure! sasa ungebahatika kuona vyooni wanakojisaidia ndio ungejua bado tuko nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…