Serikali ya Uturuki yazima mitandao yote ya kijamii baada ya ISIS kuwachoma moto askari wao

Duuuuh hawa jamaa katir sana...
Mkuu tuweke unazi pembeni

Kwenye vita adui anayekumininia risasi ukimkamata utamfanya nini??utamuachia,utampa favour

Hakuna cha ukatili vita ndio ilivyo no mercy kwa adui yako ndio maana Putin anarusha makombora ..in war ukimkamata adui ni kuua tu kwenye uwanja wa mapambano hakuna ukatili as long ww ni mjeda ,..
 
Yani hapa kila mtu anajifanya kusikitika bila kukumbuka kua hiyo ni vita ya visasi,ukiingia kwenye anga zawatu umekwenda na maji.

Ukioneshwa na mauaji yanayofanywa huko ndio utalia zaidi maana ni watoto wazee yani ni hatari!!

Ee Mwenyezi Mungu tunusuru na mitihani hii yadunia!
 
Ujue hawa Isis wameumbwa na moyo pande la nyama,.wanaosikitika watakuwa hawafahamu kwenye war ground hakuna urafiki Mimi wala sisikitiki,wewe unirushie makombora halafu nikikukamata nikucheke ..WTF

Turkey,Iran,Russia,Assad wanawaangushia makombora ya masafa marefu,Warcrafts ,mabomu ya kila aina,ndege zinawamiminia mabomu

Sasa wao wakiwakamata wajeda hasira zao zote wanammalizia hiyo must be..huwezi kumuonea huruma adui yako kwenye uwanja wa mapambano

As long ni wao wenyewe wajeda vs wajeda .wasiwahusishe RAIA ..

Tusiombe vita itokee ase
 
Hao ISIS wamewageuka waturuki,kila siku assad alikuwa anawapigia kelele kuwa uturuki wanaruhusu hawa watu kupitisha silaha,sasa walipoona uturuki anaanza kuwageuka ndo maana nao wameanza kulipa kisasi,
ndo maana uturuki sikuhizi mabomu yanalipuka,
sasa wanazima mitandao kwa aibu,
jordan nao wanageukwa,mwanzo wao ndo walitoa hadi mafunzo kwa hawa watu huku marekani akiwapa silaha,
mmarekani anawaingiza chaka,
dawa iliyobaki wapigane watakapochoka wataacha wenyewe,ili heshima iwepo
 
Kitengo cha mawasiliano na propaganda cha ISIS kiko too advanced mpaka inatia shaka,hebu angalieni hizo picha zilivyopigwa kitaalam na editing juu.hili igizo sjui linaisha lini
 
turkey kwasasa inatia huruma kwakweli maana imejikuta ipoipo tu haielewi hata inafanya nn....hata zile meeting na russia kule nafikiri amekua mtu wa kuitikia tu kila kiachoemwa yaan tangu yale mapinduz yaliyoshndwa uturuki hajielew elewi,IS wanaiandama,pkk nao wamechachamaa daah
Huyu Rais Edogarn alikuwa hasikii wala haoni kipindi hiko akishirikiana NATO wakiwaunga mkono ISIS. Sasa baada ya kudungua ndege ya urusi kisha kuomba msamaha basi wenzie ndio wakaanza kumketea njama.
 
Hao ISIS wamewageuka waturuki,kila siku assad alikuwa anawapigia kelele kuwa uturuki wanaruhusu hawa watu kupitisha silaha,sasa walipoona uturuki anaanza kuwageuka ndo maana nao wameanza kulipa kisasi,
ndo maana uturuki sikuhizi mabomu yanalipuka,
sasa wanazima mitandao kwa aibu,
jordan nao wanageukwa,mwanzo wao ndo walitoa hadi mafunzo kwa hawa watu huku marekani akiwapa silaha,
mmarekani anawaingiza chaka,
dawa iliyobaki wapigane watakapochoka wataacha wenyewe,ili heshima iwepo
Ni kweli mkuu, huyu Edorgan alikuwa hasikii wala haoni.

Sasa kazi kwake.....!!!

Namngojea Saudia na Qatar pale mambo yatakapo mgeukia
 
Back
Top Bottom