Serikali ya Uturuki yazima mitandao yote ya kijamii baada ya ISIS kuwachoma moto askari wao

Hapo anaye wachoma wenzie hivyo anaenda kuonja pepo na mabikira 70 na nguvu ya kutembea na wanawake 100 sijui kwa siku
Halafu na siku ya kiama na mimi nikawekwe jiko moja na hawa kwa dhambi zangu za uzinzi ? Hapana aisee kuna haja ya kuokoka

Allah Akbar
Hao jamaa wanawaua waislam wenzao zaidi kuliko hata wasio waislam Kama ulikuwa hujui.Halafu umesahau kuwa hao jamaa wamekuwa backed na US?
 
hii dini sijawahi kuilewa! ! nisamehewe BUT I will NEVER EVER belong to that religion. MUNGU WETU NI WA AMANI NA UPENDO, MUNGU WETU SI WA MAUAJI, naipenda dini yangu!
Kwani ile dini ya Anti Balaka umewahi kuielewa?,,,,,,,,Mbona hilo kundi LA magaidi lipo backed na ambao mpo dini moja?
 
Sema Waabudu majini siyo binadamu wote
Usijitie upofu sababu haki na batili unao uwezo wa kuvipambanua.Allah anasema kuwa wakristo na wayahudi wanaujua uislamu vizuri kama wanavyojua watoto wao.Kumbuka ukifa katika hali hiyo ni adhabu Kali inakusubiri na ukiendelea na maovu utakuja kulipwa kadiri ya uovu uliochuma.

Adhabu alioandaliwa kafiri Farao si sawa na adhabu alioandaliwa kafiri AbdulMutwalib.
 
Mwishoni jamaa wapiga Allah Akbar!!! Harafu eti uislam ni dini ya Mungu muumbaji?!! Shit.. Hiyo video unaweza kuruka hadi dakika ya 15 ndo hilo tukio linaanzia
Kwa hiyo hao ndo bendera ya uislamu sio?
 
Wacha ufala weweee ndio nini hiyooo??? Eti mungu Israeli sijui mjinga yakobo eti elia wafirika tumejaa ujinga tuuu Fala kabisaaaa
Najisikia kama nikutukane matusi mazito ya nguoni lakini vidole vinakataa kutaipu, ila basi labda nikupe hilo dogo tu MBWA WEWE
 
Kuna mijitu Mijinga humu,yan jitu linashindwa kujiuliza sababu lenyewe linakashifu tu na kulaani
 
Back
Top Bottom