Serikali ya uingereza imekanusha kusema kwamba sumu ya novichok ilitoka nchini Urusi

Je, mchezo kama huu, unaweza kuwa ndio unaofanyika na watu wasiojulikana, ili serikali yetu ionekane ndiyo inayohusika na hivyo kufarakanishwa na wananchi wake? Au kujenga sababu za kuhalalisha mataifa ya nje kuiingilia nchi yetu ili kukidhi matakwa ya wazungu (rejelea mashtaka ya akina Lema - Chadema kwa balozi wa EU)?
Very interesting!
Very possible except kwa issue kama TL kwa sababu some maths don't add up!

In short, hizo ni False Flag operations na CIA walizitumia sana wakati wa Cold War under Operations Gladio!

Hao hao CIA waliwahi kuandaa False Flag operations nyingine codenamed Operations Northwood! Ni operations ya kijinga iliyowalenga hadi US civilians under the false flag of Cuba!

Kama si busara za JF Kennedy, Operations Northwoods ingepita manake ilishapata baraka za DoD na Joint Chiefs of Staff!
 
Nilimsikiliza msemaji mmoja wa Urusi anasema, Pamoja na nchi nyingi kufukuza na nyingine kuonyesha nia ya kufukuza wanadiplomasia wake, lakini wanapata mawasiliano ya kichinichini kutoka nchi hizo zikisema wazi wanafanya hivyo kwa shinikizo la US sio mapenzi yao. Kama ni kweli basi US ni zaidi ya Superpower.

Michezo mingi inaonekana kama huwa inapangwa.
 
Very Possible mkuu,
Niliwaza hivi na mimi mwanzoni....!
Sure... kunaweza kuwa na theories hata 3+... ndo maana inakuwa kiroja UK kutaka ku-conclude nani kahusika kwa kigezo tu cha kwamba imetumika Russian military grade poison na ni Russia ndio wenye interest na victim!!

Sijui kama wana justification zingine za msingi zaidi ya hizo!
 
musiba should learn from this anaweza kufanyiwa lolote ili chama fulani kichafuke. mtag hapa kama unajua ID yake
 
Nilimsikiliza msemaji mmoja wa Urusi anasema, Pamoja na nchi nyingi kufukuza na nyingine kuonyesha nia ya kufukuza wanadiplomasia wake, lakini wanapata mawasiliano ya kichinichini kutoka nchi hizo zikisema wazi wanafanya hivyo kwa shinikizo la US sio mapenzi yao. Kama ni kweli basi US ni zaidi ya Superpower.

Michezo mingi inaonekana kama huwa inapangwa.

Marekani siyo taifa la kawaida ndugu yangu,
Ndiyo maana mimi naogopa sana hasa kipindi hiki ambapo anapoteza ushawishi wake kwa kasi sana. Nahisi kuna siku atafanya jambo baya sana ili kutaka kuzuia anguko lake na akasababisha madhara makubwa sana sanaaaa.
 
Hivi kwanini tumewadharau kiasi kwamba tumewasahau kabisa Foreign Intelligence Service of Ukraine?!

Hawa nao naona wana sababu za kutosha za kufanya assassination attempt kwa Sergei!

Si kwa sababu wana tatizo na Sergei but for a better course!

Ningekuwa pale FISU wala nisingesita kutafuta mbinu za kuichonganisha Russia na NATO!!

Na FISU ni rahisi sana kwao kupata kama sio kuwa nayo Novichok poison!!
 
Hivi kwanini tumewadharau kiasi kwamba tumewasahau kabisa Foreign Intelligence Service of Ukraine?!

Hawa nao naona wana sababu za kutosha za kufanya assassination attempt kwa Sergei!

Si kwa sababu wana tatizo na Sergei but for a better course!

Ningekuwa pale FISU wala nisingesita kutafuta mbinu za kuichonganisha Russia na NATO!!

Na FISU ni rahisi sana kwao kupata kama sio kuwa nayo Novichok poison!!

Hahahahahaha,
Mkuu umewaza kimapana sanaaa, BIG UUUUP!
Kuna dada moja mzungu juzi alisema hivi kuhusu FISU tukacheka tu,
Lakini ukweli ni kwamba hata Ukraine nayo ina uwezo wa kutengeneza ile sumu tena na kuitumia bila shida.
Tena ambavyo Serikali yao imeparanganyika sasa hivi nalo linawezekana kabisa mkuu...Ndiyo yale yale ya ISRAEL mwaka 1967 kuzamisha USS LIBERTY ya Marekani na kutaka kumsingizia EGYPT ili Marekani amvamie lakini ikavuja.

NB: Mkuu umewaza mbali sanaaa hadi umeniogopesha,
Kipindi hiki FISU wanahusika sana na kufanya kazi chafu za kuuza silaha za USSR kwenye Black Market. Tena kuna Poland nao hawashindwi kabisa kufanya hizi figisu dhidi ya Urusi.

Palantir soma bandiko la #48 la Mkuu Chige.
 
Hii ingetokea tanzania hao wanasayansi wa jeshi wangeambiwa wachakachue data...

Ndio tatizo la nchi kuongozwa na mwanamke kibibi...
 
Hii ndiyo hoja ambayo Mkuu Chenchele hajaiona,
Haya mambo ukifuatilia yalivyoanza kama una uwezo mzuri wa kuchambua lazima utajua kuna kitu hakipo sawa.
All in all nimefurahi wameanza kuumbuana!.. Na kama kweli wanajiamini na ushahidi wao wampe Russia kakipande ka hiyo sumu, naamini atawaletea hadi tarehe na saa ilipotengenezwa:D
 
Hapo wanathibitisha jambo moja kwa namna nyingine!

Kwamba, yeyote among military players anaweza kuipata hiyo sumu!! Kwamba, kuwa ni bidhaa ya Kirusi haimaanishi ni Warusi tu ndio wanaweza kuwa nayo!

So, kama anyone among the players anaweza kuipata hiyo sumu; kwanini ionekane ni Russia pekee ndio wanaweza wakawa wamehusika?!

Jibu la haraka ni kwamba Russia ndio wanaweza kuwa na interest na Sergei Skripal!

Kama ndivyo, kwanini ionekane ni Russia peke yao ndio walikuwa interested na Sergei wakati jamaa alikuwa ni Double Agent?

What if wakati MI6 wanadhani Sergei ni wao; GRU walimshitukia kwamba alikuwa anatoa siri kwa MI6 lakini "salama" yake aendelee kuwatumikia MI6 with fabricated or less harmful Intel ili mradi tu MI6 waendelee kumuamini kumbe huku akiwadukua mdogo mdogo in favor of Mother Russia!

Kwamba, hata Sergei alipokuja kukamatwa baadae na kuwa charged with high treason charges; yote hayo ilikuwa ni GRU play!!

But miaka kadhaa baadae, MI6 wanagundua kumbe miaka yote hii walikuwa wanachezewa na GRU wakisaidiwa na Sergei anayeishi kwa pesa za Walipa kodi wa UK!

What if MI6 au washirika wake hawakuweza kuvumilia kufanywa maboya kiasi hicho na kuamua kumpeleka Sergei alikostahili kupelekwa!

But HOW? "Genius" way ni kutumia Russia's killing machine with SVR's assassination style ili kuwa-set up the Russians!
Bravo, it's surely a possibility.
 
Hahahhaaa, kwamba Russia wameiva kupitiliza katika hili??
Huoni watu wanavyohaha kuropoka lakini ushahidi hawataki kuutoa!..Unalalamika jirani yako kakuibia na viatu alisahau lakini anakutaka uvionyeshe viatu alivyosahau unasema atavibeba si onyesha kimoja kingine ficha!..
 
Natamani Russia ampate aliyefanya ampeleke mbele ya Baraza Tuone kambi hapo ndani!.. Maana huu upuuzi siku moja nchi itakuja pigwa Nerve Gas asingiziwe!..

Masaa machache tu yajayo tutaangalia Live bila chenga...!
Hadi wakajiamini hivi kuna kitu kichafu washakijua...
 
Back
Top Bottom