Serikali ya uingereza imekanusha kusema kwamba sumu ya novichok ilitoka nchini Urusi

Siku zote nasema, hawa jamaa watafanya chochote kuhakikisha maslahi yao haya athiriwi au yanaboreshwa.
Toka mwanzo nguvu kubwa ilikua inatumika kuichafua Urusi na kuhamasisha nchi nyingine kuchukua hatua dhidi ya Urusi kwa hii tuhuma huku warusi wakishinikiza uchunguzi huru ufanyike na majibu yaonyeshe uhusika wao, cha ajabu masusio ya kombe la dunia na kufurumusha wanadiplomasia wa kirusi ndio ikapewa kipaumbele.

Kuna mambo mengi sana yamejificha juu ya hili sakata, unaweza kukuta ni mchezo wa hao hao Waingereza walitaka kumuuzia kesi na kumchafua Mrusi, hata kwa wenzetu kuna wakati mipango inagoma kwenda kama ilivyopangwa.
Uzuri wataalam wa jeshi limegomakutumika kisiasa.
Safi kwa jeshi kutotumika kisiasa ila sio majeshi yetu yanavyotumika hovyo ni aibu tu
 
Nitoke nje ya mada kidogo.

Nimefurahi sana leo muungano aliouonyesha Edorgan na washirika wake Iran an Urusi.
Alafu una ambiwa hakuna mwandishi yeyote aliye ruhusiwa kuingia kwenye huo ukumbi wa majadiliano.

Huyu Erdogan lazima awape kiwewe NATO maana jamaa kawa kichwa ngumu mno tangu lile jaribio la kutaka kupinduliwa.
 
Mzeee somaga article mpaka mwisho...Tweet imefutwa sababu baada ya Lab technicians ku- cornfirm kuwa sumu ni military grade UK government ikamlaumu Russia moja kwa moja kitu ambacho wataalamu wa maabara wamesema sio jukumu letu kusema imetoka wapi bali kutafiti inatumiaka mazingira gani ni kazi yetu...kwahiyo tweet imefutwa kulinda heshima ya investigation staffs.
IMG_20180404_180051_065.jpg
 
Alafu una ambiwa hakuna mwandishi yeyote aliye ruhusiwa kuingia kwenye huo ukumbi wa majadiliano.

Huyu Erdogan lazima awape kiwewe NATO maana jamaa kawa kichwa ngumu mno tangu lile jaribio la kutaka kupinduliwa.
Hapo ndipo urafiki na Russia federation uliporudi
Warusi walimshtua dakika za mwisho kuwa kuna mapinduzi zidi yako
Na waliofanya hivyo ni washirika wake wakubwa
Ndio akaamua kuwapa kisogo
 
UK ina haja ya kuiomba msamaha Russia hata kama wao hawataki utoto wao!. Wamemchafua Putin na wale wajinga wajinga wakafata mkumbo hadi kutimua balozi leo inaonekana ile sumu ni Russian product but can be made anywhere!.
Hii inaashiria ni kukurupuka na siasa za kike, kuwahi conclusion kabla ya fact!. Anyway PM wao ni KE!. Nasubiria aibu ya balozi zilizotimuliwa!.
Ila na sisi African nations tujifunze kitu kutokana na huu ujinga!!. Sio viongozi hata wananchi tujifunze pia!.
 
Hapo wanathibitisha jambo moja kwa namna nyingine!

Kwamba, yeyote among military players anaweza kuipata hiyo sumu!! Kwamba, kuwa ni bidhaa ya Kirusi haimaanishi ni Warusi tu ndio wanaweza kuwa nayo!

So, kama anyone among the players anaweza kuipata hiyo sumu; kwanini ionekane ni Russia pekee ndio wanaweza wakawa wamehusika?!

Jibu la haraka ni kwamba Russia ndio wanaweza kuwa na interest na Sergei Skripal!

Kama ndivyo, kwanini ionekane ni Russia peke yao ndio walikuwa interested na Sergei wakati jamaa alikuwa ni Double Agent?

What if wakati MI6 wanadhani Sergei ni wao; GRU walimshitukia kwamba alikuwa anatoa siri kwa MI6 lakini "salama" yake aendelee kuwatumikia MI6 with fabricated or less harmful Intel ili mradi tu MI6 waendelee kumuamini kumbe huku akiwadukua mdogo mdogo in favor of Mother Russia!

Kwamba, hata Sergei alipokuja kukamatwa baadae na kuwa charged with high treason charges; yote hayo ilikuwa ni GRU play!!

But miaka kadhaa baadae, MI6 wanagundua kumbe miaka yote hii walikuwa wanachezewa na GRU wakisaidiwa na Sergei anayeishi kwa pesa za Walipa kodi wa UK!

What if MI6 au washirika wake hawakuweza kuvumilia kufanywa maboya kiasi hicho na kuamua kumpeleka Sergei alikostahili kupelekwa!

But HOW? "Genius" way ni kutumia Russia's killing machine with SVR's assassination style ili kuwa-set up the Russians!
Safi sana umekomaa sana
Unakumbuka Putin alishawai kusema kamwe hawezi kumsamehe msaliti
Ilikuwaje UK wakakubali kubadilishana agents bila kuchukua taadhari ya hali ya juu
Unakumbuka yule aliyeuliwa kwa miale ya nyuklia na Russia mbona UK awakulalamika kiasi hiki
Hapa patakuwa na kitu
Na Putin kasema kama norvichok ingetumika basi yule jamaa angekufa pale pale
 
Mzeee somaga article mpaka mwisho...Tweet imefutwa sababu baada ya Lab technicians ku- cornfirm kuwa sumu ni military grade UK government ikamlaumu Russia moja kwa moja kitu ambacho wataalamu wa maabara wamesema sio jukumu letu kusema imetoka wapi bali kutafiti inatumiaka mazingira gani ni kazi yetu...kwahiyo tweet imefutwa kulinda heshima ya investigation staffs.View attachment 734221

Nimesoma vizuri mkuu and It's simply another political fiasco hasahasa kama utategemea chanzo kimoja cha habari.
Ulisikiliza nini Boris John alisema alipokuwa anahojiwa ??? "Even the Scientists are certain that the poison comes from Russia"...Bunge la Uingereza na Theresa May wakasema kabisa "This Amounts to Aggression" wewe haya hujayaona umeone tu hilo la tweet ??? Haya mkuu hivi ulisikia alichokisema Theresa May alivyoenda European Union ???

NB: Mwisho kabisa utakuja pale pale kwamba kwanini walifukuza Diplomats wakati hawana uhakika kwamba sumu imetoka Urusi au lah wakati kuna utaratibu maalumu kwenye Convention Against Chemical Weapons. Mwisho wa siku hata wajaribu kusemaje THIS IS A DIPLOMATIC BLUNDER OF ORWELLIAN VIBE. Bunge limesema yake, Waziri Mkuu kasema yake, Wizara ya Mambo ya nje wamesema yao, Jeshi la wanasayansi wamesema yao (Why all these Inconsistencies).

Baadhi ya viongozi nchini Ujerumani wameshaanza kutoa matamko masaa machache yaliyopita,
Wanachambua mlolongo wote huu....Sometimes circumstances speak louder than Articles in the magazines.
 
UK ina haja ya kuiomba msamaha Russia hata kama wao hawataki utoto wao!. Wamemchafua Putin na wale wajinga wajinga wakafata mkumbo hadi kutimua balozi leo inaonekana ile sumu ni Russian product but can be made anywhere!.
Hii inaashiria ni kukurupuka na siasa za kike, kuwahi conclusion kabla ya fact!. Anyway PM wao ni KE!. Nasubiria aibu ya balozi zilizotimuliwa!.
Ila na sisi African nations tujifunze kitu kutokana na huu ujinga!!. Sio viongozi hata wananchi tujifunze pia!.

Hii ndiyo hoja ambayo Mkuu Chenchele hajaiona,
Haya mambo ukifuatilia yalivyoanza kama una uwezo mzuri wa kuchambua lazima utajua kuna kitu hakipo sawa.
 
Back
Top Bottom