Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,425
Wizi na dhuluma havijawahi kuwa barakaYaani tuwalipe fidia wanyarwanda? wakenya mkuu are you serious?
Naona hajui nn maana ya mipaka ya nchiWatu watuvamie, waingie nchini kwetu bila kufuata utaratibu halafu uwachekee? Hiyo itakua nchi au choo?
Wazungu wameenda kwa dhuluma na unyang'anyi.Wizi na dhuluma havijawahi kuwa baraka
Yaani kusema kweli mtoa post anaandika kwa mihemko! Wakati mwingine ni hawa hawa wanakuja hapa kusema mwendazake alikuwa mhutu! Ingetokea aliwalipa fidia wangekuja na ngonjera za kuwa kwa vile ni wahutu wenzie kawapa fidia!Hili andiko umepotoka mkuu. Jifunze kitoinenea mabaya nchi yako. Mnaweza kuwa tofauti kivyama lakini nchi kwanza vyama baadae
Mngeweza kuwarejeshea mifugo yao na kuwaambia wasiilete tena, ikiwa kama yaliyofanyika yalikuwa haki kwanini Hangaya anaomba radhi kwa kuchomwa vifaranga vya kenya?Yaani kusema kweli mtoa post anaandika kwa mihemko! Wakati mwingine ni hawa hawa wanakuja hapa kusema mwendazake alikuwa mhutu! Ingetokea aliwalipa fidia wangekuja na ngonjera za kuwa kwa vile ni wahutu wenzie kawapa fidia!
Kusema kweli nchi hii mtu anaweza kuwalisha hata vinyesi kwa vile ni jirani au mwekezaji mnacheka tu! Sie tunaotembea nchi jirani wenzetu wakao serious na nchi zao tena niwashenzi kweli kweli! Pata tatizo ndo utawajua!
Mungu ibariki KenyaTanzania ilipora ng'ombe 4,000 toka Kenya. Ikawaweka mahabusu wafugaji wa Kenya, kisha kuwaachia wafugaji mikono mitupu.
Wiki mbili baadaye, Kenya ikakamata ng'ombe 9,000 wa Tanzania walioingia ardhi ya Kenya. Wakawashikilia ng'ombe kwa siku 7, kisha wakawarudishia wafugaji wa Tanzania.
Wakati wa kukabidhi ng'ombe wale kwa Watanzania, gavana wa Kenya alisema, "Utawala wa Magufuli ni aibu kwa Afrika. Watanzania inalia, Wakenya inalia. Wamasai ya Tanzania hawana shida. Wamasai ya Kenya hawana shida. Shida ni Magufuli.
Sisi tumeamua kuirudishia wafugaji ya Tanzania ng'ombe yao. Uhuru Kenyata ameamua wale wafugaji ya Kenya walionyang'anywa ng'ombe yao na Magufuli, serikali ya Kenya itawalipa. Mfugaji itaamua ilipwe pesa au ipewe ng'ombe"
Unawaza karibu sanaYaan walipwe fidia kwa ku kuingiza mifugo kwenye mapori ya Tanzania? Nani kavunja sheria hapo?
Think twice kabla hujaandika chochote
Unyama wa serikali ya awamu ya 5 ulijumuisha hadi wizi wa mifugo ya nchi jirani kwa kisingizio cha kuvuka mpaka.
Mifugo kutoka Rwanda na Uganda ilitaifishwa baada ya kuvuka mpaka na kuingia kwenye mapori ya Tanzania, badala ya kurejeshwa zilikotoka viongozi wa Tanzania wakaamua kuzipora na bila shaka waligawana, maana mifugo ile haionekani popote.
Natoa wito kwa viongozi wa Tanzania wa sasa kuwalipa fidia wale wote walioporwa mifugo yao kutoka Uganda na Rwanda ili kurejesha mshikamano uliovurugwa na jiwe.