City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,097
- 12,013
Unaniuliza Mimi? Wewe chawa uliyeko huko hujui kodi ya serikali kwa tanesco kwa faida ya bilioni 120? Ndio maana nawaita mabumundaKabla ya Kodi,baada ya Kodi ilikuwa ngapi?
Unaniuliza Mimi? Wewe chawa uliyeko huko hujui kodi ya serikali kwa tanesco kwa faida ya bilioni 120? Ndio maana nawaita mabumundaKabla ya Kodi,baada ya Kodi ilikuwa ngapi?
Ukituletea uzi kutujuza about the person who ordered the 2025 random killing of thousands of innocent civilians tutakuelewa.My Take
Samia ataendelea kusalia kama Rais aliyefanikiwa sana kwenye nyanja ya Uchumi na biashara hapa Tanzania.
Mageuzi aliyoyafanya kwenye mashirika haya ya Umma yamefaulu ,hatutegemei tena hasara huko tuendko.
Bado mashirika machache sana mfano Air Tanzania na TTCL.
Pia soma Ojambi Masaburi: Rais Samia amebadili historia mbaya ya Tanesco kutoka kuleta hasara hadi kuingiza na kutoa gawio kwa Serikali | JamiiForums Ojambi Masaburi: Rais Samia amebadili historia mbaya ya Tanesco kutoka kuleta hasara hadi kuingiza na kutoa gawio kwa Serikali
================
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema imeridhishwa na hali ya uzalishaji wa umeme , ambapo sasa nchi ina uwezo wa kuzalisha jumla ya megawati 4,400 huku matumizi yakiwa ni megawati 2,071 hatua ambayo imeendelea kuimarisha hali ya upatikanaji wa umeme.
Hayo yamejiri Februari 20,2026 baada ya Kamati hiyo kufanya ziara ya kukagua miradi ya umeme katika Mkoa wa Dar es Salaam, ambapo imetembelea Kituo cha Kusafirisha Umeme kwenda Zanzibar cha Ras Kilomoni na Kituo cha kuzalisha Umeme kwa Gesi Asilia cha Kinyerezi I na II.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Subira Mgalu, amesema kumekuwa na maendeleo makubwa katika eneo la uzalishaji wa umeme, na sasa TANESCO inaendelea na jitihada za kujenga njia za kusafirisha umeme, ikiwemo ya kutoka Bwawa la Julius Nyerere hadi Chalinze, kisha Kinyerezi hadi Mkuranga, eneo lenye viwanda vingi vya uzalishaji.
View attachment 3546701
“Tunaipongeza sana TANESCO kwa utekelezaji wa miradi ya umeme. Ile hali ya kukatika kwa umeme imepungua, na sasa hakuna mgao. Kamati inashauri kuwa nguvu kubwa sasa itumike katika kuhakikisha umeme unamfikia mlaji wa mwisho, hususani katika maeneo ya viwanda na migodi,” alifafanua Subira.
Upo sahihi mkuu kuna walakini kwenye faida zao, mwananchi anabamizwa ili shirika lipate faida, na hizi habari nadhani maelekezo yanatoka kwa serikali, haiwezekani mashirika yawe na viburi namna hiiUkisikia hizo faida kwa mashirika ujue mwananchi ndiye anaumia wala siyo suala la kuchekelea labda kama mtu anaishi kwa shemeji yake!
Mfano:Ukihitaji nguzo moja kuunganisha umeme kwa sasa ni 520,000/= hii ni Jan 2026.
Ukiunganishwa leo Feb 20 basi ukinunua LUKU mara ya kwanza unakatwa kodi ya jengo ya toka mwaka huu wa fedha umeanza ie July 2025! Haijalishi jengo lilikuwepo au la!
NB: Mwanzoni tuliambiwa fulani hataki kodi za dhulma.
😁
BTW: ATCL nayo imeanza kutengeneza faida??
Anabamizwaje wakati bei za unit zinajukikana?Upo sahihi mkuu kuna walakini kwenye faida zao, mwananchi anabamizwa ili shirika lipate faida, na hizi habari nadhani maelekezo yanatoka kwa serikali, haiwezekani mashirika yawe na viburi namna hii
Machawa Walisema shirika linapata hasara unaamini ila likipata faida huamini.Kuamini machawa wanachoongea ni kuikosea akili yako.
Inahusikaje n mada? In fact ningekuwa kwenye position hiyo ningeoda na kuongoza harakati.Ukituletea uzi kutujuza about the person who ordered the 2025 random killing of thousands of innocent civilians tutakuelewa.
Otherwise, faki zati demon-possessed bichi.
huwezi kuelewa hizi mambo mkuuAnabamizwaje wakati bei za unit zinajukikana?
Hakuna AKILI yoyote hapo, labda kwa MAZWAZWA kama wewe.My Take
Samia ataendelea kusalia kama Rais aliyefanikiwa sana kwenye nyanja ya Uchumi na biashara hapa Tanzania.
Mageuzi aliyoyafanya kwenye mashirika haya ya Umma yamefaulu ,hatutegemei tena hasara huko tuendko.
Bado mashirika machache sana mfano Air Tanzania na TTCL.
Pia soma Ojambi Masaburi: Rais Samia amebadili historia mbaya ya Tanesco kutoka kuleta hasara hadi kuingiza na kutoa gawio kwa Serikali | JamiiForums Ojambi Masaburi: Rais Samia amebadili historia mbaya ya Tanesco kutoka kuleta hasara hadi kuingiza na kutoa gawio kwa Serikali
================
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema imeridhishwa na hali ya uzalishaji wa umeme , ambapo sasa nchi ina uwezo wa kuzalisha jumla ya megawati 4,400 huku matumizi yakiwa ni megawati 2,071 hatua ambayo imeendelea kuimarisha hali ya upatikanaji wa umeme.
Hayo yamejiri Februari 20,2026 baada ya Kamati hiyo kufanya ziara ya kukagua miradi ya umeme katika Mkoa wa Dar es Salaam, ambapo imetembelea Kituo cha Kusafirisha Umeme kwenda Zanzibar cha Ras Kilomoni na Kituo cha kuzalisha Umeme kwa Gesi Asilia cha Kinyerezi I na II.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Subira Mgalu, amesema kumekuwa na maendeleo makubwa katika eneo la uzalishaji wa umeme, na sasa TANESCO inaendelea na jitihada za kujenga njia za kusafirisha umeme, ikiwemo ya kutoka Bwawa la Julius Nyerere hadi Chalinze, kisha Kinyerezi hadi Mkuranga, eneo lenye viwanda vingi vya uzalishaji.
View attachment 3546701
“Tunaipongeza sana TANESCO kwa utekelezaji wa miradi ya umeme. Ile hali ya kukatika kwa umeme imepungua, na sasa hakuna mgao. Kamati inashauri kuwa nguvu kubwa sasa itumike katika kuhakikisha umeme unamfikia mlaji wa mwisho, hususani katika maeneo ya viwanda na migodi,” alifafanua Subira.
We aren’t interested in chawacracy.Inahusikaje n mada? In fact ningekuwa kwenye position hiyo ningeoda na kuongoza harakati.
Wahuni wote hawatakiwi kuachwa wahatibu Nchi.
Huna hojaWe aren’t interested in chawacracy.
We’re a country of laws; no room for barbaric, extrajudicial killings!
So, again, faki zati demon-possessed bichi.
Ni mtizamo wako lakini vipi miradi unayoona inafanana na mtizamo wako?Mie nijuavyo, hakuna rais wa hovyo tuliyewahi kumpata kama huyu, hata namna aluvyoapishwa tu inaakisi kbs uhalisia huo!.
Pia huyu ni rais pekee ktk historia ya marais wetu aliyewahi kufeli form 4 kwa kuambulia D somo moja tuu ya kiswahili!.
Kwa kifupi hana akili ya kufanya shirika lolote la umma lijiendeshe kwa faida zaidi ya ufisadi kuongezeka kwa kudanganywa kibwege!
tuwekee takwimuSubiria taarifa zao mwisho wa mwaka wa fedha.
Mfano Tanesco Toka mwaka Jana wanapata faida
Buku 7Hivi mwana kila post unalipwa bei gani?