kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 118
- 237
Kabisa mkuu na katika mawazuri waliofanya vizuri ni huyiWilliam Lukuvi aliimudu sana hii wizara,sikuona ni kwanini aliondoshwa.
Kuna wau walipimiwa tangu 2016 2017 wakalipia gharama zilizohitajika na kuahidiwa baada ya miezi mitatu au sita watapewa mrejesho hakuna kituSerikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imetenga kiasi cha TZS bilioni 50/= kwaajili ya programu ya kupanga...
Sahizi amekuwa mshenga kwenye harusi za wazee wenzanke!!.William Lukuvi aliimudu sana hii wizara,sikuona ni kwanini aliondoshwa.
MoisemusajiografiiSerikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imetenga kiasi cha TZS bilioni 50/= kwaajili ya programu ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi nchini. Pesa hizo zitakopeshwa kwa Halmashauri 55 nchini kutekeleza programu hiyo.
"Kuhusu masuala ya ardhi, namshukuru rais wetu Samia kwa kuipatia wizara shilingi bilioni 50 na kati ya kiasi hicho mkoa wetu wa Mwanza umepata shilingi bilioni 6.91, pesa ambazo zimesaidia sana upimaji viwanja katika halmashauri zetu ikiwemo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela"- Dk Angeline Mabula, Waziri wa Ardhi
Programu ya Upimaji na umilikishaji wa ardhi itasaidia jamii kuepuka migogoro ya ardhi, pamoja na hayo Serikali ya Rais Samia iko kazini migogoro ya ardhi inapatiwa ufumbuzi.
Jambo zuri sana.Bravo,bravo,bra!Two and ahalf bravos!
Mtajiumiza bure mioyo yenu.William Lukuvi aliimudu sana hii wizara,sikuona ni kwanini aliondoshwa.
Soma TenaSerikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imetenga kiasi cha TZS bilioni 50/= kwaajili ya programu ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi nchini. Pesa hizo zitakopeshwa kwa Halmashauri 55 nchini kutekeleza programu hiyo.
"Kuhusu masuala ya ardhi, namshukuru rais wetu Samia kwa kuipatia wizara shilingi bilioni 50 na kati ya kiasi hicho mkoa wetu wa Mwanza umepata shilingi bilioni 6.91, pesa ambazo zimesaidia sana upimaji viwanja katika halmashauri zetu ikiwemo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela"- Dk Angeline Mabula, Waziri wa Ardhi
Programu ya Upimaji na umilikishaji wa ardhi itasaidia jamii kuepuka migogoro ya ardhi, pamoja na hayo Serikali ya Rais Samia iko kazini migogoro ya ardhi inapatiwa ufumbuzi.
Hata mi sijui kwanini walimuondoa Lukuvi! Ccm no wapuuzi Sana!William Lukuvi aliimudu sana hii wizara,sikuona ni kwanini aliondoshwa.
Duh !! Nilisikia kwamba katika siasa haijalishi wewe uko smart kiakili kiasi gani au unajua kuongea kiasi gani hivyo vigezo haviwezi kukusaidia chochote!! Kinachotakiwa kwenye siasa ni kuwa na bahati tu ndio kitu muhimu !! Je ni kweli ??!Sahizi amekuwa mshenga kwenye harusi za wazee wenzanke!!.