Serikali ya Rais Samia Kupima na Kumilikisha ardhi

Duh !! Nilisikia kwamba katika siasa haijalishi wewe uko smart kiakili kiasi gani au unajua kuongea kiasi gani hivyo vigezo haviwezi kukusaidia chochote!! Kinachotakiwa kwenye siasa ni kuwa na bahati tu ndio kitu muhimu !! Je ni kweli ??!
Ni siasa ni zaidi ya hapo na bahati ni sehemu ya siasa.
 
Kabisa mkuu na katika mawazuri waliofanya vizuri ni huyi
Amekuwa kwenye uongozi tangu enzi za Nyerere, amepewa muda wa kupumzika. Amepiga vya kutosha. Siku za mwisho alionyesha kuchoka kabisa. He needs physical, mental, and psychological rest. You can see fatigue on his face. He is really tired!
 
Duh !! Nilisikia kwamba katika siasa haijalishi wewe uko smart kiakili kiasi gani au unajua kuongea kiasi gani hivyo vigezo haviwezi kukusaidia chochote!! Kinachotakiwa kwenye siasa ni kuwa na bahati tu ndio kitu muhimu !! Je ni kweli ??!
Hiyo ni kweli kabisa. Ndiyo maana maraisi wengi siyo from the best brains/high IQ. Siasa ni ujanja ujanja.
 
Hiyo Hela yote ya Nini wakati mjini tunapimiwa viwanja Kwa hela
Hiyo idara ilishshakuwa saccos ni bora wakaibinafsisha tukajua moja, wahusika wanakula mishahara ya bure hakuna wanachofanya zaidi ni kuongeza migogoro katka jamii.
 
Back
Top Bottom