Serikali ya Magufuli imetiwa mfukoni na StarTimes

Serikali ya Magufuli imetiwa mfukoni na StarTimes

Sijui kwanini isiwe ni utapeli.
Tuliaminishwa local tv zitakua bure, king'amuzi kikapigiwa chapua na Television ya Taifa.
Leo hii tunalipia. Huu sio utapeli?

NSSF walitumia gia ya kutoa mafao ya kujitoa ili tujiunge na mfuko huo.

Leo hii tunaambiwa mpaka miaka 55, je huu sio ulaghai na utapeli?

Mh rais tunaomba uingilie kati huu utapeli tunaofanyiwa.
 
Please can you explain in details.

The Govt has set aside rules and regulations to be adhered and followed. Some people by choice they do not adhere with those rules which they were supposed to abide. Regulatory authority which has the power to enforce those rules and regulations is aware of what is going on but reluctant to take any measures or act upon the wrong doer. What is the matter here?
 
nimeomba tuhoji kwa nidhamu jinga wewe,jamii forums ni international kunawatu hku ulaya wanajifunza kiswahili kwakusoma hii Pia,msitudhalilishe Kama taifa! Usiongee Kama umelelewa majalalani,shika adabu yako!!!

Jamani tueleweshane taratibu tu, jambo hili ni letu sote kukosoana hapa na pale kupo ila tukufanye kwa staha. Imetumika nahau ya kuweka mfukoni kwa sababu si kawaida ya serikali ya awamu ya tano kukaa na jambo dogo kama hili kwa muda mrefu, miezi minne! Inatia shaka
 
humu kuna watu wakupgwa makofi kabisaa,haiwezekani upinge local channel zisiwe bure au mimba zenu zimepatikana guest ndo mmezaliwa na mawazo hasi kabisaa
 
Let us give TCRA more time,bacause any rules and regulations sometimes it needs some reviews /change or any amendments in order to work properly.
In order to keep good records,you have to submit your suggestions /opinions to TCRA.
Otherwise your indicators have been noted.
 
Hongera kuishi ulaya ya Mbagala
 
humu kuna watu wakupgwa makofi kabisaa,haiwezekani upinge local channel zisiwe bure au mimba zenu zimepatikana guest ndo mmezaliwa na mawazo hasi kabisaa
Changia hoja vizuri hasira za nini?
Si vizuri hata kidogo kuwaita ndugu zako watoto wa guest house.
Kuna vitu tunamisi katika masuala ya biashara na kudhani kila kitu kiwe ni bure tu.
 
Mjifunze kuandika kwa adabu,serikali imetiwa mfukoni manake nini?? Unaidhalilisha nchi yako na watu Wake. Kujua kusoma na kuandika isiwe tabu ahlaaa!! Badili kichwa cha habari ili wastaarabu tuchangie hoja
Hiyo star times ina mfuko mkubwa kiasi gani cha kuenea serikali yote? Kama huyu mchochezi weka ndani
 
UFAFANUZI.
1/Kwa sasa ving'amuzi vyote channels zinazoitwa za ndani(Free channel) zinalipiwa except TBC1. Hakuna cha bure tena. Hatujui huo mpango umeanzia wapi, maana TCRA wapo wapo tu, hawajitambui kabisa.

2/Channels za bure zilizokuwa zinazungumziwa ni ITV, EATV, Star Tv, TBC1, Channel Ten. Zote hizo kwenye Star Time zilikuwa bure kabisa, ila kwa sasa zimeondolewa kimya kimya na kiujanja ujanja sana, TBC1 pekee ndio imeachwa na bahati mbaya sana Watanzania wengi hawaipendi. Good news ni kwamba TV1 ipo bure kwenye king'amuzi cha Star Time na tetesi za uhakika zinasema wakati wowote ule kuanzia sasa nayo itakuwa ya kulipiwa.

3/Toka siku zile za mwanzo kabisa 2010 wakati watanzania tunalishwa Hadithi tamu za kuhamia mfumo wa kidigitali, watu wenye hekima walituambia kuwa mpango mzima ilikuwa imefunikwa na Black market, tulikuwa tunakwenda kutapeliwa mazima. Hizi issue zote ni miradi ya watu fulani kuvuna Pesa faster faster. Tutalizwa mpaka basi.
 
Changia hoja vizuri hasira za nini?
Si vizuri hata kidogo kuwaita ndugu zako watoto wa guest house.
Kuna vitu tunamisi katika masuala ya biashara na kudhani kila kitu kiwe ni bure tu.
hivi mkuu mtu anaunga hoja kuwa tulipie hivi atakuwa ana akili kweli huyu
 
Let us give TCRA more time,bacause any rules and regulations sometimes it needs some reviews /change or any amendments in order to work properly.
In order to keep good records,you have to submit your suggestions /opinions to TCRA.
Otherwise your indicators have been noted.

There more than thousands complaints with TCRA on this issue even TCRA themselves they can witness this. Government rules, laws and regulations are not coconut tree or a mango tree that after sowing or rather planting it you have to wait for some years for the same tree to bear fruits. we are already behind in governance issue, there is no time to waste by waiting for sluggish civil servants whose sluggishness, all these years, have placed us to where we are now! I know they are our uncles, me too I am very sorry for them, still stern measures must be taken!
 
Jamani tueleweshane taratibu tu, jambo hili ni letu sote kukosoana hapa na pale kupo ila tukufanye kwa staha. Imetumika nahau ya kuweka mfukoni kwa sababu si kawaida ya serikali ya awamu ya tano kukaa na jambo dogo kama hili kwa muda mrefu, miezi minne! Inatia shaka
. Asante mkuu pole kunakatoto kamenipiga kikumbo kanazungumza hovyo.
Hili swala ulilohoji ni la msingi sana na limeudhi wengi pengine tuendelee kulisemea kwa sauti ya juu.
 
. wewe ulipatikana jalalani Sasa pima jalalani na guest bora wapi?? Au hatahilo huwez pima maana naona jf imevamiwa na MR najua hujaelewa manake mental retarded

Sioni kwa nini kirengased umekasirishwa na Eddy Love namna hii. Nilitamani ungechukua hii fursa kumuelezea kwa utaratibu ulimaanisha nini. Pengine mwisho wa siku mkajikuta wote mna lengo moja kwa namna mbili tofauti katika kulifikia. Nafasi ya kushauriana, kuhojiana na kuulizana bado ipo lakini si kuulizana guest na jalalani kupi ni bora.Tutulize mizuka jamani
 
Ccm nani kawaloga?hivi hata kwenye mambo ya kijinga mnaunga mkono tuu ,mtu maskini atapaje habari kama Chanel xote anatakiwa alipie?itafikia mahali sekali itachukua kodi ya kupumua kwasababu ndo iliyobaki.mnakamu maxiwa hata ngombe wagojwa kuna vyazo vingi vya kodi madini,ges nk.
 
Ni wazi kuna mkakati maalumu wa kuwanyima haki wananchi kupata habari na kutoa maoni yao kwa uhuru zaidi kama ilivyokuwa imeanza kuzoeleka.

1. Weka sheria za makosa ya mtandao na takwimu.
2. Nyofoa matangazo live ya kinachoongelewa bungeni.
3. Ondoa local channels kwenye king'amuzi cha "serikali" kilichonunuliwa na walala hoi wengi zaidi.
4. Siasa hadi 2020.
5. Intimidation za kila aina majukwaani na kwingineko... sijaribiwi... Yaya gete.....
 
Mjifunze kuandika kwa adabu,serikali imetiwa mfukoni manake nini?? Unaidhalilisha nchi yako na watu Wake. Kujua kusoma na kuandika isiwe tabu ahlaaa!! Badili kichwa cha habari ili wastaarabu tuchangie hoja
Babu soma Uzi acha uvivu wa kifikiri.
 
Nina azam nayo ni hivyo hivyo tu wanakuachia tbc peke yake doooh
 
Back
Top Bottom