Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,289
Ngoja tuone huu mchezo utaishia wapi.
Ila tunakoelekea ni shimon kbsa. Na wahusika wapo busy kufungia magazeti ila vitu km hiv hawana time kbsa.
Watoto wa Lumumba watapinga huu uzi kwa nguvu zote ila mkumbuke itafika kipind kila kitu kitakuwa uchi