The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,250
Malalamiko Kama haya hapo ndio huwa naukumbuka ule wimbo wa wacha waisome namba
Sidhasni kama unajua usimame wapi kwani nakuona hata haki yako huijui! amka wewe!Aachana nae Huyo boya,,,,,mkuu ilo tatizo kwenye visimbuzi vyote,,,mi natumia [HASHTAG]#zuku tv[/HASHTAG] nao ndio ivyoivyo;,,kifurushi kikiisha upati local channel yoyote
Heshimu mawazo ya mwenzako... sio kila kitu kiko kisiasaSiyo kweli mkuu kama hoja yako inasimama kwenye hizo hoja ulizoainisha huna hoja mkuu jipange tena.
Heshimu mawazo ya mwenzako... sio kila kitu kiko kisiasa
1992 Wakati tunaachiwa Chadema na mwasisi wake Mzee Mtei chama kilikuwa kimepanga makaburini ufipa, cha ajabu Leo miaka 24 baadae chama bado kimepanga makaburini ufipa kwenye kijumba chakavu
Shame kwa viongozi wa Chadema!!!
Alafu bado sisi bavichaaa bila aibu tunabwabwaja tutailetea mabadiliko na maendeleo makubwa nchi ,
Shame to us!!!
Viongozi wa Chadema badilikeni mfanye vitu kwa mfano , hizi ngonjera za kuhubiri maneno matupu na baadae tunaishia kupokea na kukumbatia Mafisadi waliofukuzwa ccm!! hakuna mwananchi Mwenye akili atakayoiamini Chadema na kuipa nchi.
(Kutoka Chadema Asilia.)
Mjifunze kuandika kwa adabu,serikali imetiwa mfukoni manake nini?? Unaidhalilisha nchi yako na watu Wake. Kujua kusoma na kuandika isiwe tabu ahlaaa!! Badili kichwa cha habari ili wastaarabu tuchangie hoja
Addictions in Tvs watching sometimes is waste of time.
Some of our time we have to spent in reading books.
Ndiyo nini sasa! Aaaaaghrrr. Pppppppptu. "Rubish".Siyo kweli mkuu kama hoja yako inasimama kwenye hizo hoja ulizoainisha huna hoja mkuu jipange tena.
Wananchi muwe watulivu wakati tunamfatilia aliyeleta Ujumbe huu.
Huu sijui ni UJINGA au UPUMBAVU??! Hoja iliyo mezani inahusu STARTIMES, Mwingine anaingiza yasiyohusika!!1992 Wakati tunaachiwa Chadema na mwasisi wake Mzee Mtei chama kilikuwa kimepanga makaburini ufipa, cha ajabu Leo miaka 24 baadae chama bado kimepanga makaburini ufipa kwenye kijumba chakavu
Shame kwa viongozi wa Chadema!!!
Alafu bado sisi bavichaaa bila aibu tunabwabwaja tutailetea mabadiliko na maendeleo makubwa nchi ,
Shame to us!!!
Viongozi wa Chadema badilikeni mfanye vitu kwa mfano , hizi ngonjera za kuhubiri maneno matupu na baadae tunaishia kupokea na kukumbatia Mafisadi waliofukuzwa ccm!! hakuna mwananchi Mwenye akili atakayoiamini Chadema na kuipa nchi.
(Kutoka Chadema Asilia.)
nimeomba tuhoji kwa nidhamu jinga wewe,jamii forums ni international kunawatu hku ulaya wanajifunza kiswahili kwakusoma hii Pia,msitudhalilishe Kama taifa! Usiongee Kama umelelewa majalalani,shika adabu yako!!!wewe nawe utakuwa bichwa maji hebu jiulize serikali imetangaza local channel bure lakini startimes wamekiuka hayo masharti na huu mwezi wa 4 serikali ipo kimya je serikali yako haijawekwa mifukoni mpaka imeshndwa kutoa tamko
You are missing a point. The issue here is not about watching Tv, the issue here is about abiding and implementing rules and regulations set.
Sidhasni kama unajua usimame wapi kwani nakuona hata haki yako huijui! amka wewe!
Kuna watu nadhani wanafikiria kwa kutumia masaburi,kwasababu hoja iliyopo mezani ni tofauti na unachokizungumza,akili yako imechanganyikana na mshipa wa .......[emoji51][emoji51][emoji51],watu kama nyie ndio mnarudishaa maendeleo nyuma,mtoa post ameongelea kitu cha maana kbs coz hakihusiani na siasa na kina mgusa kila mwananchi awe ccm au chadema,umekurupuka ulipokuwepo unaanza kucomment usefenge wako[emoji51][emoji51],siku nyingine utapakatwa kwa maneno yako kisefenge,pumbavuuuuu1992 Wakati tunaachiwa Chadema na mwasisi wake Mzee Mtei chama kilikuwa kimepanga makaburini ufipa, cha ajabu Leo miaka 24 baadae chama bado kimepanga makaburini ufipa kwenye kijumba chakavu