Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Kifuatacho baada ya serikali kufilisika ni kuuza kwa bei chee raslimali za nchi mpaka mende na panya wote.
 
Naona tatizo letu ni kufanya matumizi sana ktk miradi mbalimbali kama ya ujenzi, kilimo, n.k bila kusahau posho kwa hiyo fedha zipo nyingi ktk uchumi na hiyo ndiyo inasababisha matatizo kama mfumuko wa bei (money supply inflation), serikali inabidi ss kufanya mbinu mbalimbali za kupunguza fedha ktk uchumi kama kwa mfano kuuza govt bond n.k
KWANZA ni kubana matumizi kabla hujakimbilia kuuza Government bonds.kikwete amepanua sana taasisi za serikali na kuongeza mikoa mingi bila sababu za msingi.wauza madawa ya kulevya wanahujumu uchumi kwa kutakatisha fedha jambo a,mbalo ni hatari kwa uchumi wa nchi.lazima serikali iwe na mkakati wa kuongeza uzalishaji na pengine kuongeza masaa ya kufanya kazi serikalini na watu binafsi,kupunguza siku za mapumziko na mwisho kupanua wigo wa kodi.kuna watu hawalipi kodi TANZANIA!
 
Tatizo pia anapenda sana sifa.hivi kuna ulazima gani wa kuwa na IGP MSAIDIZI kwa nchi masikini kama yetu? kuna ulazima wa kuwa na baraza la mawaziri zaidi ya 60?
 
KWANZA ni kubana matumizi kabla hujakimbilia kuuza Government bonds.kikwete amepanua sana taasisi za serikali na kuongeza mikoa mingi bila sababu za msingi.wauza madawa ya kulevya wanahujumu uchumi kwa kutakatisha fedha jambo a,mbalo ni hatari kwa uchumi wa nchi.lazima serikali iwe na mkakati wa kuongeza uzalishaji na pengine kuongeza masaa ya kufanya kazi serikalini na watu binafsi,kupunguza siku za mapumziko na mwisho kupanua wigo wa kodi.kuna watu hawalipi kodi TANZANIA!

Toka lini serikali corrupt ikakusanya kodi?
Hivi Tanzania inahitaji baraza kubwa la mawaziri?
Manaibu waziri karibu wizara zote wana kazi kweli?
India na ukubwa wake ina mawaziri wangapi?
Misanaha ya kodi ni mikubwa mno kwa nchi maskini kama yetu.
Watu kama Prof. Lupumba wana ushauri mzuri tu lkn nani atawasiliza?
Kusema kuna mawaziri mizigo ni namna ya kumwambia mkuu wa kaya umeshindwa kazi
Hadi 2015 tutaona mengi kama sio nchi kuporomoka kabisa
 
Eti unakuta watu wanakuja hapa na kuitetea hili Chamo chovu kabisa lazima uwe na akili ya maiti.
 
tpmazembe naangalia TBC1 hapa saada mkuya amesema deni la taifa hadi dec mwaka jana ni trilion 27,ameongea na media leo idara ya habar maelezo
 
Last edited by a moderator:
Wanajichimbia kaburi..naona sababu ya mwigulu kuchaguliwa akapige domo kwamba mambo yapo sawa kumbe nchi imekufa
 
Back
Top Bottom