Wakuu. Kuna biashara nataka kuitangaza Kenya. Kama mjuavyo, biashara huchangamka watu wanapopata mshahara, hasa serikali inapotoa mshahara.
Naomba kujua Kenya wanapokea mshahara tarehe ngapi? Nimegoogle nimeambulia patupu.
MK254 Natanguliza shukrani.