Maghorofa ya Kariakoo hayadondoki kwa sababu ya sementi "ya siku hizi" bali yanadondoka kutokana na ukilaza wa baadhi ya Wahandisi!!Sementi /saruji iliyotumika kujenga bandari ya Dar es Salaam kipindi cha mkoloni siyo saruji inayotumika kwa kujenga bandari ya Bagamoyo kwa sasa na hao wachina na waomani!! Usishangae kabla ya 35 years hiyo Bagamoyo port ikahitaji ukarabati wa nusu ya gharama za ujenzi!! Unajua hii bandari ilifikiriwa 'kiharaka haraka 'sana!