Serikali ya CCM yazipa sapoti CHADEMA, CUF na ACT

CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.

Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau wote wa kisiasa, Bunge lilitunga Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024, Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, na Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Kwa mara ya kwanza, katika historia ya nchi yetu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe. Tulifanya ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa kisiasa nchini. Miongoni mwa maboresho kwenye Sheria ya Uchaguzi yalikuwa ni kuongeza takwa la kila mgombea kupigiwa kura hata akiwa mgombea pekee, hatua ambayo inafuta kilichojulikana kama mgombea kupita bila kupingwa. Vilevile, utungaji wa Kanuni za uendeshaji wa uchaguzi ulifanyika, na Serikali imeendelea kuimarisha uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini, ambapo hadi Juni, 2025, Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi bilioni 87.81 kwa vyama vinavyostahili kupata ruzuku kama CCM, CHADEMA, ACT et el.
Kijana kazini kwako kuna kazi
 
Kumbe ruzuku isingetoka hiyo No reform tusingeisikia
 
Kubish
We Mjinga sana 🤔🤔 Rais hana hela, hizo ni kodi kama ilivyo pesa za ruzuku kwa vyama ni kodi yetu watanzania 🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣 rudi shule kasome elimu ya Uraia, unaongozwa na ujinga,tumia akili
Kubishana na mtu asiejielewa ni kutumia rasilimali nguvu kwa hasara 😀😀😀😀😀 achana nae
 
Inaonekana wewe ni Idiot, you don't know the basic Civic education, very elementary issues.

Mambo ambayo wewe huelewewi form two student anaelewa.

Narudia Rais hana pesa za namna hiyo, mshahara na stahiki zake Bado ni ndogo, pesa unachanganya kodi ya Watanzania,
 
CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.

Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau wote wa kisiasa, Bunge lilitunga Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024, Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, na Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Kwa mara ya kwanza, katika historia ya nchi yetu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe. Tulifanya ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa kisiasa nchini. Miongoni mwa maboresho kwenye Sheria ya Uchaguzi yalikuwa ni kuongeza takwa la kila mgombea kupigiwa kura hata akiwa mgombea pekee, hatua ambayo inafuta kilichojulikana kama mgombea kupita bila kupingwa. Vilevile, utungaji wa Kanuni za uendeshaji wa uchaguzi ulifanyika, na Serikali imeendelea kuimarisha uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini, ambapo hadi Juni, 2025, Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi bilioni 87.81 kwa vyama vinavyostahili kupata ruzuku kama CCM, CHADEMA, ACT et el.
Kazi na utu tunasonga mbele
 
Chadema si mnaifungia waacheni chadema huwa wamenyooka awamu hii wemejua kutonesha uhalisia nchini katika siasa
 
Taka taka
 
Chadema hairuhusiwi kufungua ofisi zake, jingine mgombea ni mmoja, picha ni moja amepata kura 2 ni nani mwingine aliyepata kura za kumzidi huyu, tambua hawajaweka kiwango cha kura za ushindi.
 
CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.

Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau wote wa kisiasa, Bunge lilitunga Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024, Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, na Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Kwa mara ya kwanza, katika historia ya nchi yetu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe. Tulifanya ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa kisiasa nchini. Miongoni mwa maboresho kwenye Sheria ya Uchaguzi yalikuwa ni kuongeza takwa la kila mgombea kupigiwa kura hata akiwa mgombea pekee, hatua ambayo inafuta kilichojulikana kama mgombea kupita bila kupingwa. Vilevile, utungaji wa Kanuni za uendeshaji wa uchaguzi ulifanyika, na Serikali imeendelea kuimarisha uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini, ambapo hadi Juni, 2025, Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi bilioni 87.81 kwa vyama vinavyostahili kupata ruzuku kama CCM, CHADEMA, ACT et el.
Hizo pesa hata kama kato ni zake, si zetu wote? Ni mfuko wa Taifa, wewe wala huelewi wajibu na haki zako na kazi ya Rais. Wewe unaona Rais ni kama Mungu.
 
Cha serikali cha ccm? Aiseeee Kuna haja ya no reform no electionnnnnnn
 
Back
Top Bottom