Serikali ya CCM tambueni kabisa kuwa kila jambo mnalofanya wananchi kwa sasa wana uelewa

sambulugu

JF-Expert Member
Jun 1, 2021
3,941
7,385
1. Serikali ya CCM tambueni kabisa kuwa kila jambo mnalofanya wananchi kwa sasa wanauelewa nalo wa hali ya juu

2. Mkanganyiko juu ya chanjo ni muhimu serkali ikatumia busara na kuacha mihemko, Bishop Gwajima na watu wengi pia wana mawazo mchanganyiko juu cha chanjo kwahiyo askofu asionekane ni mpinga chanjo huku mkitambua zoezi la chanjo mpaka sasa limewafiki watanzania laki tatu mpaka tano ambayoni kama asilimia moja au mbili ya watanzania.

3. Mkanganyiko wa chanjo ya corona Zanzibar juu ya mahujaji kutorususiwa kuingia Saudia maana chanjo haitambuliki, serkali ije na majibu juu ya hilo na si vinginevo!

4. Kuhusu Jerry Silaa jambo lake lilikuwa dogo tu, spika na bunge kuja mbele ya Televisioni na kueleza wananchi jinsi wanavYotoa kodi kupitia misharaha yao lakini kwa kitendo cha jana Silaa kupewa adhabu huku bunge na kamati haijaeleweka kwa wananchi mtambue kabisa watanzania wanayo akili ya kutosha sana watachenjua.

5. CCM ijipange kwa changamonto zijazo na zilipo kwa sasa, wajue adui yao yuko ndani na nje ya chama wasionekane wanaotoa mawazo mbadala ni maadui wa chama na Rais.

6. CCM ijue vuguvugu la vyama vikongwe kutolewa madarakani limepamba moto Afrika kwahiyo CCM itambue watanzania mda wowote na saa yeyote ikitokea taasisi ya chama inayojisimamia itachukua nchi mapema sana kama hamtajipanga vizuri.

7. Serikali ijifunze kufanya maamuzi kwa haraka pale changamoto zinapotokea kwa mfano suala la makato miaamala ya simu uamzi umechelewa sana na kusababisha athari wa wananchi japo naipongeza kwa marekebisho kiduchu yaliyofanyika.

8. Nimalizie kusema ni vizuri sana CCM ikayakumbuka maneno ya mwl Nyerere kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM na sasa upo jipangeni kwa hilo na Mungu aibariki sana nchi yetu.
 
Uzi wangu naona mod hauonekani Kuna shida gani?
 
Rais wa Zambia amteua Mkuu wa Gereza alilokuwa amefungwa kuwa Deputy Commissioner General wa magereza
 
2656558_102011131.jpg
 
Na leo ujumbe umefika oale Tegeta dah.
 
Back
Top Bottom