Serikali ya ccm oneni aibu wakati mwingine

abdulian

Member
Joined
Sep 23, 2026
Posts
29
Reaction score
68
Iko hivi,baada ya maporomoko ya Hanang 2023,wadau mbalimbali wakishirikiana na serikali walitoa misaada mbalimbali.Benki ya Dunia kwa maelezo ya baadhi ya viongozi ilitoa takriban sh billion nne kujenga madaraja kwenye mto wa mafuriko na kuupanua mto.Cha ajabu ccm imejenga madaraja manne TU yenye upana wa MITA mbili.Hapo mmeongeza tatizo badala ya kulitatua.Likitokea tena madhara yatakuwa makubwa zaidi.Nayo serikali ya UAE na red cross kwa maelezo ya baadhi ya viongozi walitoa karibu bn saba kujenga nyumba za wahanga,aibu iliyoje nyumba moja ni vyumba viwili vya ukubwa wa MITA mbili kwa moja na nusu yaani unaweka kitanda cha 2*6 chumba kimejaa.Duh nitaeleza mengine next time.
 
Mita 2 kwa 1 na nusu! 🤔
 
Attachments

  • Snapinsta.app_470920726_18067288405686622_4062895287562125908_n_1080.jpg
    Snapinsta.app_470920726_18067288405686622_4062895287562125908_n_1080.jpg
    142.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom