Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Nime msikiliza waziri mkuu mwiguru japo uchaguzi mliofanya ni haramu na wadamu.
kuwa unasimamia maadili ambayo kampuni ya Ester ya mabasi sio yangu ila jina la kampuni ni la mke wangu ambaye ni neema.
Kwa serikali ya CCM ambayo sasa inawatafuna wenyewe sasa haya ni mambo ambayo muwezi kufanya.
*Idara za ulinzi kuwa za maagizo sio kuwa uhuru na kuwa kikundi cha watu.
*Utumishi kuwa sehemu za maagizo ya watu na kuwa sehemu ya kufanyia chama tawala.
*Wizara nyeti kuwekwa familia,ndugu,jamaa na marafiki na sio kuwekwa watu wenye taaluma.
*Mtindo wa magari ya serikali kuficha utambulisho wao plate number na vioo vyeusi.
*Kuto kusikiliza kuanzia mkaguzo mkuu mpaka wananchi.
Hapa mkirudi mtaani labda kama watakuwa na pesa ya kumudu au wakaishi nchi za nje.