Serikali ya CCM itapata suluhisho la Suala la OIC kama walivyoahidi

Tz haina dini,na hayo mambo ya OIC sidhani kama ni ishu kivile,je na wakristu na wasio na dini wakianzisha taasisi zao? Huoni utatokea mgawanyiko. OIC hapana!
 
CCM walijua OIC haiwezekani lakini still bado wakawaahidi waislamu kuwa watawafanikishia.

CCM is an ally of BAKWATA. Unachokisema sikiungi mkono.

Tanzania lazima itaingizwa OIC. Si lazima iingizwe na Kikwete.

Hiyo ni 'project' ya waislamu. No matter how long it will take, nchi hii lazima ijiunge OIC.

Uliza kwa nini Mzee wa Kiraracha karudi Bungeni. Ni mshadadiaji namba moja wa maswala ya OIC na Kadhi.

Msahafu wa Waislamu unasema hivi:
"Seek out your enemies relentlessly." (Surah 4:103-)

Naenda zangu bar.
 
Selemani,

..kitu kingine ni kwamba CCM inawatumia hawa Muslim radicals to the their dirty job wakati wa uchaguzi.

..mwaka 2005 CCM iliwalaghai kwa suala hili la OIC na Mahakama ya Kadhi wakati ikijua kabisa litaleta mifarakano.

...mwaka huu yalifanyika maandalizi ya kujenga chuki dhidi ya Wachaga, na kuchochea tishio la Ukatoliki.

..sasa kila baada ya uchaguzi zinakuja hizi stories za "HEALING PROCESS" au "KUTIBU MAJERAHA"

..this thing will one day blow up right in CCM faces.
Joka Kuu, suala la udini liko overblown. The only threat of udini in our politics is its ability to influence voters. Thats it. Like what Kakobe was trying to do in this past election. Or what Baba Askofu Mokiwa warned us of. Otherwise Bongo ninayoijua mimi hatupigani kwa sababu ya udini. Tanzania hakuna radical muslims jamani. You think kuna muislam hata mmoja yuko tayari kujilipua Tanzania hii? And there is a lot of us who are born with parents of mixed dini and we practice our Islam the best way we can. I urge Christians not to be paranoid, because that is all to it. Uislamu ni dini poa sana, if you get to understand it--and muslims wa kibongo are very tolerant.
 
Hivi ninyi waislam kikubwa mnachotafuta kutoka OIC ni nini haswa????? Au ni mkumbo tu ilimradi ionekane tu ni wanachama!!! Vinchi vyenyewe vilivyopo kwenye OIC vimetapakaa umaskini tu. Kwa taarifa yenu ndg zetu waislam suala la kujiunga na OIC ni la kikatiba wala halitegemei discretion ya kiongozi. Watanzania hatuhitaji mahakama ya kadhi wala kujiunga na OIC. Nchi yetu siyo ya kidini.
 
Surah Al Jinn 72 - (THE SPIRITS)

001 Say: It has been revealed to me that a company of Jinns listened (to the Qur'an). They said, 'We have really heard a wonderful Recital!

002 'It gives guidance to the Right, and we have believed therein: we shall not join (in worship) any (gods) with our Lord.

003 'And Exalted is the Majesty of our Lord: He has taken neither a wife nor a son.

Hapo ndo patamu eheheheheeee
Jamani msifanye jukwaa hili kama jukwaa la dini. Haya yapelekeni jukwaa la dini twaja kuyajadili huko.:nono:
Kwenye jukwaa hili tunazungumzia mstakabali wa nji.
 
Joka Kuu, suala la udini liko overblown. The only threat of udini in our politics is its ability to influence voters. Thats it. Like what Kakobe was trying to do in this past election. Or what Baba Askofu Mokiwa warned us of. Otherwise Bongo ninayoijua mimi hatupigani kwa sababu ya udini. Tanzania hakuna radical muslims jamani. You think kuna muislam hata mmoja yuko tayari kujilipua Tanzania hii? And there is a lot of us who are born with parents of mixed dini and we practice our Islam the best way we can. I urge Christians not to be paranoid, because that is all to it. Uislamu ni dini poa sana, if you get to understand it--and muslims wa kibongo are very tolerant.
Do you think with this stupid defense we doesn't know what is behind the curtains?
Where Did Kakobe and Mokiwa try to politicize or convince voters to elect a certain leader? mi nakuona ni mjinga yule yule siku zote kwa pumba hujambo!
 
Usiongee pumba kama huna ushahidi. tunajua uwezo wako wa uelewa ni mdogo, hebu soma hiyo list hapo chini kwenye red highlight. HAta hizo zingine nyingi abazi sikuhighlight si zakiislam sema tu zina waislam wengi

List of OIC Members

CountryAgency WebsiteAfghanistanAfghan Investment Support Agency (AISA)www.aisa.org.afAlbaniaALBINVESTwww.albinvest.gov.alAlgeria, People's Democratic Republic ofAgence Nationale de Developpément des Investissements (ANDI)www.andi.dzAzerbaijan, Republic ofAzerbaijan Investments Promotion and Advisory Foundation (AIPAF)www.azerinvest.comBahrain, State ofEconomic Develoment Boardwww.bahrainedb.comBangladesh, People's Republic ofBoard of Investment (BOI)www.boibd.orgBenin, Republic ofCentre de Promotion des Investissements-Brunei Dar-us-Salaam, Sultanate of
--Burkina Faso--Cameroon, Republic ofCellule de Gestion du Code des Investissements (CGCI)-Chad, Republic of--Comoros, Federal Islamic Republic of the--Cote d'Ivoire, Republic ofCentre de Promotion des Investissements en Côte d'Ivoire (CEPICI)-Djibouti, Republic ofAgence nationale pour la promotion des investissements (ANPI)www.djiboutinvest.djEgypt, Arab Republic ofGeneral Authority for Investment & Free Zones (GAFI)www.gafinet.orgGabon, Republic ofAgence de Promotion des Investissements Privés (APIP)www.invest-gabon.comGambia, Republic of theThe Gambia Investment Promotion and Free Zones Agencywww.gipfza.gmGuinea, Republic ofOffice de Promotion des Investissements Privés (OPIP)www.mirinet.com/opip/Guinea-Bissau, Republic of--Guyana, Republic ofGuyana Office for Investment (GO-INVEST)www.goinvest.gov.gyIndonesia, Republic ofInvestment Coordinating Board (Badan Koordinasi Penanaman Modal - BKPM)www.bkpm.go.idIran, Islamic Republic ofOrganization for Investment, Economic and Technical Assistance of Iran (OIETAI)www.iraninvestment.orgIraq, Republic ofKurdistan Board of Promoting Investment (KBPI)www.kinvest.orgJordan, Hashemite Kingdom ofJordan Investment Board (JIB)www.jordaninvestment.comKazakhstan, Republic ofKazinvestwww.kazinvest.kzKuwait, State ofThe Inter Arab Investment Guarantee Corporation (IAIGC)www.iaigc.orgKyrghyzistan, Republic of GOSCOMINVEST-Lebanon, Republic ofInvestment Development Authority of Lebanon (IDAL)www.idal.com.lbLibyaLibyan Foreign Investment Board (LFIB)www.investinlibya.comMalaysiaMalaysian Industrial Development Authoritywww.mida.gov.myMaldives, Republic ofForeign Investment Services Bureau (FISB)www.investmaldives.orgMali, Republic ofCentre National de Promotion des Investissements (CNPI)www.cnpi-mali.orgMauritania, Islamic Republic ofDirection de la Promotion de l'Investissement Privéwww.mauritania.mrMorocco, Kingdom ofMinistère de l'Economie et des Financeswww.invest-in-morocco.gov.maMozambique, Republic of --Niger, Republic ofCentre de Promotion des Investissements (CPI)www.investir-au-niger.org/Nigeria, Federal Republic ofNigerian Investment Promotion Commission (NIPC)www.nipc-nigeria.org/Oman, Sultanate ofOmani Centre for Investment Promotion & Export Development (OCIPED)www.ociped.com/Pakistan, Islamic Republic ofBoard of Investment (BOI)www.pakboi.gov.pk/Palestine, State ofPalestinian Investment Promotion Agency (PIPA)www.pipa.gov.ps/Qatar, State ofInvestment Promotion Departmentwww.mec.gov.qa/en/Saudi Arabia, Kingdom ofSaudi Arabia General Investment Authority (SAGIA)www.sagia.gov.sa/Senegal, Republic ofInvestment Promotion and Major Works Agency (APIX)www.investinsenegal.com/Sierra Leone, Republic ofMinistry of Trade, Industry and State Enterpriseswww.sledic-sl.org/Somalia, Democratic Republic of --Sudan, Republic of theSudanese Investment Authoritywww.sudaninvest.org/Surinam, Republic of the--Syrian Arab Republic--Tajikistan, Republic ofAgency for Promotion of Foreign Investments (APFI)-Togo, Republic of--Tunisia, Republic ofForeign Investment Promotion Agency (FIPA)www.investintunisia.com/Turkey, Republic ofUnder Secretariat for Treasury, General Directorate for Foreign Investmentwww.treasury.gov.tr/Turkmenistan, Republic of--Uganda, Republic ofUganda Investment Authority (UIA)www.ugandainvest.com/United Arab Emirates, State ofDubai Development and Investment Authority (DDIA)www.ddia.aeUzbekistan, Republic ofForeign Investment Agencywww.gov.uz/Yemen, Republic ofGeneral Investment Authority (GIA)www.giay.org/

splash_1__01.jpg
splash_1__02.jpg
splash_1__03.jpg
splash_1__04.jpg
splash_1__05.jpg
splash_1__06.jpg
splash_1__07.jpg
splash_1__08.jpg
splash_1__09.jpg
splash_1__10.jpg
splash_1__11.jpg
splash_1__12.jpg
splash_1__13.jpg
splash_1__14.jpg
splash_1__15.jpg
splash_1__16.jpg
splash_1__17.jpg
splash_1__18.jpg
splash_1__19.jpg
splash_1__20.jpg
splash_1__21.jpg
splash_1__22.jpg
splash_1__24.jpg
splash_1__26.jpg
splash_1__28.jpg
splash_1__30.jpg
splash_1__31.jpg
splash_1__32.jpg
splash_1__33.jpg
splash_1__34.jpg
Huu ujinga wa kutaka vitu vya bure tu ndio unawasumbua wenzetu waislamu. Wanataka pesa bila jasho. Wanadhani kuna pesa iko mahali unakwenda kuzoa tu!
Twafikiriaje kuomba misaada wakati mali asili zetu hao hao waislamu wenzenu wanagawia wazungu bure? Badala ya kupigana na adui dhuluma mnapigana kupata mtu atakayewapa pesa ya bure?! Mungu wangu! wasaidie watu hawa.
Enyi waislamu hatuhitaji pesa ya bure toka nchi za Kiislamu ila tunaitahi kuboresha uchumi wetu kwa mali tulizonazo ambazo zinaweza kutuwezesha kufikia kilele cha mafanikio bila kukinga bakuli na kusema saidia maskini.
Ebu waambie waislamu wenzenu hao wachukie ufisadi na sio kutughiribu kwa pesa za OIC.
 
Usiongee pumba kama huna ushahidi. tunajua uwezo wako wa uelewa ni mdogo, hebu soma hiyo list hapo chini kwenye red highlight. HAta hizo zingine nyingi abazi sikuhighlight si zakiislam sema tu zina waislam wengi

List of OIC Members

CountryAgency WebsiteAfghanistanAfghan Investment Support Agency (AISA)www.aisa.org.afAlbaniaALBINVESTwww.albinvest.gov.alAlgeria, People's Democratic Republic ofAgence Nationale de Developpément des Investissements (ANDI)www.andi.dzAzerbaijan, Republic ofAzerbaijan Investments Promotion and Advisory Foundation (AIPAF)www.azerinvest.comBahrain, State ofEconomic Develoment Boardwww.bahrainedb.comBangladesh, People's Republic ofBoard of Investment (BOI)www.boibd.orgBenin, Republic ofCentre de Promotion des Investissements-Brunei Dar-us-Salaam, Sultanate of
--Burkina Faso--Cameroon, Republic ofCellule de Gestion du Code des Investissements (CGCI)-Chad, Republic of--Comoros, Federal Islamic Republic of the--Cote d'Ivoire, Republic ofCentre de Promotion des Investissements en Côte d'Ivoire (CEPICI)-Djibouti, Republic ofAgence nationale pour la promotion des investissements (ANPI)www.djiboutinvest.djEgypt, Arab Republic ofGeneral Authority for Investment & Free Zones (GAFI)www.gafinet.orgGabon, Republic ofAgence de Promotion des Investissements Privés (APIP)www.invest-gabon.comGambia, Republic of theThe Gambia Investment Promotion and Free Zones Agencywww.gipfza.gmGuinea, Republic ofOffice de Promotion des Investissements Privés (OPIP)www.mirinet.com/opip/Guinea-Bissau, Republic of--Guyana, Republic ofGuyana Office for Investment (GO-INVEST)www.goinvest.gov.gyIndonesia, Republic ofInvestment Coordinating Board (Badan Koordinasi Penanaman Modal - BKPM)www.bkpm.go.idIran, Islamic Republic ofOrganization for Investment, Economic and Technical Assistance of Iran (OIETAI)www.iraninvestment.orgIraq, Republic ofKurdistan Board of Promoting Investment (KBPI)www.kinvest.orgJordan, Hashemite Kingdom ofJordan Investment Board (JIB)www.jordaninvestment.comKazakhstan, Republic ofKazinvestwww.kazinvest.kzKuwait, State ofThe Inter Arab Investment Guarantee Corporation (IAIGC)www.iaigc.orgKyrghyzistan, Republic of GOSCOMINVEST-Lebanon, Republic ofInvestment Development Authority of Lebanon (IDAL)www.idal.com.lbLibyaLibyan Foreign Investment Board (LFIB)www.investinlibya.comMalaysiaMalaysian Industrial Development Authoritywww.mida.gov.myMaldives, Republic ofForeign Investment Services Bureau (FISB)www.investmaldives.orgMali, Republic ofCentre National de Promotion des Investissements (CNPI)www.cnpi-mali.orgMauritania, Islamic Republic ofDirection de la Promotion de l'Investissement Privéwww.mauritania.mrMorocco, Kingdom ofMinistère de l'Economie et des Financeswww.invest-in-morocco.gov.maMozambique, Republic of --Niger, Republic ofCentre de Promotion des Investissements (CPI)www.investir-au-niger.org/Nigeria, Federal Republic ofNigerian Investment Promotion Commission (NIPC)www.nipc-nigeria.org/Oman, Sultanate ofOmani Centre for Investment Promotion & Export Development (OCIPED)www.ociped.com/Pakistan, Islamic Republic ofBoard of Investment (BOI)www.pakboi.gov.pk/Palestine, State ofPalestinian Investment Promotion Agency (PIPA)www.pipa.gov.ps/Qatar, State ofInvestment Promotion Departmentwww.mec.gov.qa/en/Saudi Arabia, Kingdom ofSaudi Arabia General Investment Authority (SAGIA)www.sagia.gov.sa/Senegal, Republic ofInvestment Promotion and Major Works Agency (APIX)www.investinsenegal.com/Sierra Leone, Republic ofMinistry of Trade, Industry and State Enterpriseswww.sledic-sl.org/Somalia, Democratic Republic of --Sudan, Republic of theSudanese Investment Authoritywww.sudaninvest.org/Surinam, Republic of the--Syrian Arab Republic--Tajikistan, Republic ofAgency for Promotion of Foreign Investments (APFI)-Togo, Republic of--Tunisia, Republic ofForeign Investment Promotion Agency (FIPA)www.investintunisia.com/Turkey, Republic ofUnder Secretariat for Treasury, General Directorate for Foreign Investmentwww.treasury.gov.tr/Turkmenistan, Republic of--Uganda, Republic ofUganda Investment Authority (UIA)www.ugandainvest.com/United Arab Emirates, State ofDubai Development and Investment Authority (DDIA)www.ddia.aeUzbekistan, Republic ofForeign Investment Agencywww.gov.uz/Yemen, Republic ofGeneral Investment Authority (GIA)www.giay.org/

Huu ujinga wa kutaka vitu vya bure tu ndio unawasumbua wenzetu waislamu. Wanataka pesa bila jasho. Wanadhani kuna pesa iko mahali unakwenda kuzoa tu!
Twafikiriaje kuomba misaada wakati mali asili zetu hao hao waislamu wenzenu wanagawia wazungu bure? Badala ya kupigana na adui dhuluma mnapigana kupata mtu atakayewapa pesa ya bure?! Mungu wangu! wasaidie watu hawa.
Enyi waislamu hatuhitaji pesa ya bure toka nchi za Kiislamu ila tunaitahi kuboresha uchumi wetu kwa mali tulizonazo ambazo zinaweza kutuwezesha kufikia kilele cha mafanikio bila kukinga bakuli na kusema saidia maskini.
 
Kaka, that is exactly my point, there is big chunk of us that we don't care. Which makes OIC an issue for minority muslims.

Hesabu hiyo ya kuwa mbumbumbu kwa dini yao imeipata wapi? Hilo ni lako peke yako and infact it really an issue to us Muslims who real Muslims and not "your majority"!
 
Kupiga rakaa ndiyo kufanya nini?

Selemani, tatizo siyo OIC kuwepo nchini Tanzania, la hasha OIC na ije, tatizo ni jinsi jumuia za Kiislamu nchini Tanzania zinavyosisitiza OIC ijadiliwe kwenye vikao vya bunge kwa kupitishwa mswada wa kisheria kuiruhusu OIC.

Mojawapo ya sheria zilizoiunda OIC kuwa wanachama ni lazima mwanachama awe taifa (kama TZ tulivyojiunga na OAU, UN....) ili nchi ipate uhalali wa kukopeshwa.

Msisitizo wetu OIC ni shirika dogo sana lenye umuhimu kwa viongozi goigoi na omba omba, ukisoma katiba yao na vikao vyao, utaona wanaoruhusiwa kuingia kwenye vikao ni waislamu pekee.

Kama niya yao ni kusaidia nchi maskini kwa nini wasifungue ofisi yao nchi bila kuingilia katiba ya nchi?

Jesus hate those who lie as well! Hebu angalia listi ya wanachama iliyowekwa hapio juu. Mara ile unasahau na kutaka kudanganya watu, hasara yako.
 
Selemani,

..kitu kingine ni kwamba CCM inawatumia hawa Muslim radicals to the their dirty job wakati wa uchaguzi.

..mwaka 2005 CCM iliwalaghai kwa suala hili la OIC na Mahakama ya Kadhi wakati ikijua kabisa litaleta mifarakano.

...mwaka huu yalifanyika maandalizi ya kujenga chuki dhidi ya Wachaga, na kuchochea tishio la Ukatoliki.

..sasa kila baada ya uchaguzi zinakuja hizi stories za "HEALING PROCESS" au "KUTIBU MAJERAHA"

..this thing will one day blow up right in CCM faces.

Naona unajifunua taratibu, endelea hatuwa ya pili!
 
Tz haina dini,na hayo mambo ya OIC sidhani kama ni ishu kivile,je na wakristu na wasio na dini wakianzisha taasisi zao? Huoni utatokea mgawanyiko. OIC hapana!

Taasisi zipi tena unazotaka? Ikiwa Vatican tuna uhusiano nao au hawa ni kikundi cha mpira?
 
Joka Kuu, suala la udini liko overblown. The only threat of udini in our politics is its ability to influence voters. Thats it. Like what Kakobe was trying to do in this past election. Or what Baba Askofu Mokiwa warned us of. Otherwise Bongo ninayoijua mimi hatupigani kwa sababu ya udini. Tanzania hakuna radical muslims jamani. You think kuna muislam hata mmoja yuko tayari kujilipua Tanzania hii? And there is a lot of us who are born with parents of mixed dini and we practice our Islam the best way we can. I urge Christians not to be paranoid, because that is all to it. Uislamu ni dini poa sana, if you get to understand it--and muslims wa kibongo are very tolerant.

Subira huvuta heri. Tumekuwa tukijisumbuwa nawe bure. Mpanda ngazi na mshuka ngazi ndio tofauti yetu.
 
Jamani msifanye jukwaa hili kama jukwaa la dini. Haya yapelekeni jukwaa la dini twaja kuyajadili huko.:nono:
Kwenye jukwaa hili tunazungumzia mstakabali wa nji.

Kwani si mmekuwa mkisema kuwa suala la OIC ni udini? Kama ni hivyo basi iondolewe hii mada na hapa si pahala pake!
 
Do you think with this stupid defense we doesn't know what is behind the curtains?
Where Did Kakobe and Mokiwa try to politicize or convince voters to elect a certain leader? mi nakuona ni mjinga yule yule siku zote kwa pumba hujambo!

Your half brother, he is, please spare him!
 
Back
Top Bottom