Serikali ya CCM itapata suluhisho la Suala la OIC kama walivyoahidi

Selemani said:
Being a muslim, i feel like the OIC issue is raised more by Christians than us. Everywhere I hear/read about OIC it is from some fear mongering christians. Ijumaa naenda pale Al-Maamur kupiga rakaa, not even a single time nimesikia kuhusu OIC.

The point is, tulieni--to many of us (Muslims) OIC sio ishu kiiiiiivyo.

Selemani,

..you need to get Al-Huda magazine subscription.

..find time to hang out with Muslim spokesperson like Maalim Basalehe,Mohamed Said, etc

..also join Warsha to re-orient and re-educate yourself about Muslim "issues" in this country
 
Asante maji moto! Tulifunga na kusali kuhusu udini wa JK, tunashukuru mambo yanaenda vizuri, waislamu wakitaka nchi ya kidini wakaitafute nje ya Tanganyika.

Isije ikawa unajiangalia kwenye kioo!!!
 
Jaribu kumkumbusha ahadi ambazo linahusu taifa kwa ujumla maana Taifa letu sio la waislamu,kumbuka tupo waislamu na wakristu kwa hiyo lazima usawa uwepo kwa makundi yote na usionyesha kuwa JK ni mwislamu ndiyo apitishe

Kila kundi lina haki ya kuomba kinachowahusu. Maalbino wasiuliwe, Wamachinga wasinyanyaswe, Watu wa dini wadai misamaha ya kodi na Waislamu waachwe wadai kile wanachoona kinawafaa!
 
Why do they wants special treatments? Tanzania hakuna habari ya udini wala lisitutenganishe hilo. Jenga nnchi kwa maslahi ya wote.

Majimoto your very right.
Baba huwezi kuepuka hilo kwani makaburi yetu yanalingana???
 
Mie nadhani hapa hao waliokubali ahadi hawakua na uwezo wa kupambanua mambo na kujua ya kwamba walikua wanadanganywa...kiukweli kabisa kwa nchi yetu ya Tanzania ilivyo, swala la OIC wasahau, labda wagawe nchi sehemu mbili upande mmoja uwe wa waislamu na mwingine uwe wa wakristo, vinginevyo...watanzania hatupo tayari tukiona nchi yetu inakua na muelekeo wa kidini...kwani najaribu kujiuliza, ni kipi hasa sasa hivi wamekosa hao wanaotaka nchi iingie kwenye hizo taasisi za kidini ..Cha msingi kila mmoja wetu ailewe nchi yetu haina dini ila watu wake wanadini..kwa hiyo mie nadhani hapa..tuongelee mambo mengi ya maana zaidi, kwani tuna vitu vingi sana vya kuisaidia nchi yetu kuliko mambo ya dini..hata mie nisiamini dini yoyote sasa nitaanzisha jumuiya na kuitaka Tanzania iwe member.. Mungu Ibariki Tanzania, na wabariki watu wote wenye mapenzi mema na nchi yetu

Hivyo kwa mtazamo wako Waislamu si Watanzania? Sema Wakiristo wa Tanzania hamko tayari lakini hilo bado halijawa sababu ya Waislamu wasipate walichotaka. Udini wenu ni halali hata kwenye kampeni lakini kiwa OIC sio halali. Kama ulivyosema labda mtaamuwa kuunda Taifa lenu pekee lisilozingatia maslahi ya Waislamu. NI haki yao na kwa nguvui za mwenye dini watapata wanachotaka na tuone!
 
Selemani,

..you need to get Al-Huda magazine subscription.

..find time to hang out with Muslim spokesperson like Maalim Basalehe,Mohamed Said, etc

..also join Warsha to re-orient and re-educate yourself about Muslim "issues" in this country

Kaka, that is exactly my point, there is big chunk of us that we don't care. Which makes OIC an issue for minority muslims.
 
Being a muslim, i feel like the OIC issue is raised more by Christians than us. Everywhere I hear/read about OIC it is from some fear mongering christians. Ijumaa naenda pale Al-Maamur kupiga rakaa, not even a single time nimesikia kuhusu OIC.

The point is, tulieni--to many of us (Muslims) OIC sio ishu kiiiiiivyo.

Kupiga rakaa ndiyo kufanya nini?

Selemani, tatizo siyo OIC kuwepo nchini Tanzania, la hasha OIC na ije, tatizo ni jinsi jumuia za Kiislamu nchini Tanzania zinavyosisitiza OIC ijadiliwe kwenye vikao vya bunge kwa kupitishwa mswada wa kisheria kuiruhusu OIC.

Mojawapo ya sheria zilizoiunda OIC kuwa wanachama ni lazima mwanachama awe taifa (kama TZ tulivyojiunga na OAU, UN....) ili nchi ipate uhalali wa kukopeshwa.

Msisitizo wetu OIC ni shirika dogo sana lenye umuhimu kwa viongozi goigoi na omba omba, ukisoma katiba yao na vikao vyao, utaona wanaoruhusiwa kuingia kwenye vikao ni waislamu pekee.

Kama niya yao ni kusaidia nchi maskini kwa nini wasifungue ofisi yao nchi bila kuingilia katiba ya nchi?

Wewe unaeleta post au contribution za kidini, personal issue ni *****_jf ni great thinkers_katume salam kwny mipasho ndo size yako
 
Selemani said:
Kaka, that is exactly my point, there is big chunk of us that we don't care. Which makes OIC an issue for minority muslims.

Selemani,

..the problem is that moderate Muslims are not making their voice heard about other issues.

..the "vocal minority" are the ones who are now viewed as the face and spokesperson for the Muslim community.

..also the " we dont care" attitude is not the best option moving forward.

..the "vocal minority" have been very successful in radicalizing moderate Muslims.

..There r tensions in this country and it is not wise to ignore them.
 
Being a muslim, i feel like the OIC issue is raised more by Christians than us. Everywhere I hear/read about OIC it is from some fear mongering christians. Ijumaa naenda pale Al-Maamur kupiga rakaa, not even a single time nimesikia kuhusu OIC.

The point is, tulieni--to many of us (Muslims) OIC sio ishu kiiiiiivyo.
Kula tano!! ni issue ambayo inawatisha sana ndugu zetu Christians, sijui kwanini!!

Kwa kuwashauri, ni kwamba as long as CCM waliitoa hii kwenye ilani yao, basi haitokuja kutokea, ni Waislam wasioelewa mambo tu ambao kweli walidanganyika na ahadi hizo za CCM au Kikwete eti kujiunga na OIC wakati hakuweza kufanya hivyo pale swala hilo lilipokuwa kwenye ilani.

In short CCM kwenye uchaguzi huu uliopita waliitumia udini na uelewa mdogo wa Waislam kuwadanganya na kupata kura zao kwa misingi ya udini. Waislam makini waliliona hilo!!
 
Kikwete aliwaahidi waislamu kupitia Bakwata kwamba watulie kwanza hadi uchaguzi upite. Tunaomba tujue moja kama ana uwezo wa kushughulikia uanzishwaji wa OIC ama la mapema iwezekanavyo kabla hajaondoka madarakani asije akamtupia mpira mtu mwingine.

Namkumbusha tu msinipige mawe.

wasted :nono:
Speak Only When You Feel Your Words Are Better Than Silence
 
Surah Al Jinn 72 - (THE SPIRITS)

001 Say: It has been revealed to me that a company of Jinns listened (to the Qur'an). They said, 'We have really heard a wonderful Recital!

002 'It gives guidance to the Right, and we have believed therein: we shall not join (in worship) any (gods) with our Lord.

003 'And Exalted is the Majesty of our Lord: He has taken neither a wife nor a son.

Hapo ndo patamu eheheheheeee
 
Selemani,

..kitu kingine ni kwamba CCM inawatumia hawa Muslim radicals to the their dirty job wakati wa uchaguzi.

..mwaka 2005 CCM iliwalaghai kwa suala hili la OIC na Mahakama ya Kadhi wakati ikijua kabisa litaleta mifarakano.

...mwaka huu yalifanyika maandalizi ya kujenga chuki dhidi ya Wachaga, na kuchochea tishio la Ukatoliki.

..sasa kila baada ya uchaguzi zinakuja hizi stories za "HEALING PROCESS" au "KUTIBU MAJERAHA"

..this thing will one day blow up right in CCM faces.
 
Surah Al Jinn 72 - (THE SPIRITS)

001 Say: It has been revealed to me that a company of Jinns listened (to the Qur'an). They said, 'We have really heard a wonderful Recital!

002 'It gives guidance to the Right, and we have believed therein: we shall not join (in worship) any (gods) with our Lord.

003 'And Exalted is the Majesty of our Lord: He has taken neither a wife nor a son.

Hapo ndo patamu eheheheheeee

copy paste yako sijaielewa bado..
 
Back
Top Bottom