Hapana niliunga mkono sera ya mabadiriko nje ya ccm na sasa naiunga mkono serikali iliyo madarakaniMkuu serikal hii si naww ulikuwemo kwenye ile nyimbo ya wataisoma namba wapinzan? Subir 2020 ukapange mstar utende haki vizur kwenye powerrrrrrrrrr###
Are you crazy?Uchumi utakaporuhusu basi maslahi ya wafanyakazi yataboreshwa.
Kwa sasa juhudi iliyopo ni ya kukuza uchumi kwanza.
Are you crazy?Uchumi utakaporuhusu basi maslahi ya wafanyakazi yataboreshwa.
Kwa sasa juhudi iliyopo ni ya kukuza uchumi kwanza.
Hawezi kujibu kwa sababu si kwamba hajui ila ameamua kushindana tuAre you crazy?
If no, please answer my questions;
1.Tangu mwaka 1961-2015 Uchumi wa Tanzania ulikuwa unakua kila mwaka?
2.Je, nyongeza ya mshahara ni huruma za rais au ipo kisheria?
3.Rejea swali la pili, (a)Kama lipo kisheria je, pametafsiriwa vipi kuhusu ukuaji wa uchumi? (b)kama suala la nyongeza ya mshahara liko chini ya mikono ya rais je, rais aliyeko madarakani ana mtazamo gani juu ya watumishi wa umma ukilinganisha na marais wengine?
Serikali hii mpya iliyoaminiwa na umma wa Tanzania imetugeuka watumishi wa umma kwa namna isiyoelezeka,rais aliahidi kuboresha maslahi ya watumishi wa umma kwa nguvu zote lakini mambo yamekuwa tofauti:
i)hakuna nyongeza ya mishahara
ii)hakuna kupandishwa Madaraja
ii)uhamisho umezuiliwa n.k
Napenda kuikumbusha serikali kutosahau kundi hili la watumishi wa umma hasa wa kada za chini,juu ya mchango mkubwa walioutoa na wanaoendelea kuutoa kunyamaza kimya haimanishi hoja hazipo au matatizo yamekwisha
serikali ndio yenye wajibu wa kutekeleza ahadi zake ilizozitoa isikimbie kivuli chake kwa kukwepa wajibu wake kwa kisingizio cha uhakiki tulioaminishwa utaisha baada ya miezi miwili lakini sasa ni mwaka unaenda,
sisi watumishi wa umma wengi wetu tunaweka nguvu na akiri zetu kwenye majukumu haya ya serikali na si vinginevyo hivyo ni vema maslahi yetu yaangaziwe kwa jicho pevu,shime serikali mficha maradhi kifo humuumbua.
Kugoma inaweza isiwe suruhisho tuikumbushe serikali itimize wajibuDawa ni kugoma kama walimu bila maandamano. Matokeo si unayaona? Na baado. Sifurahii kuihujumu nchi yangu bali kama hamna namna ya kufisha ujumbe kwa wakubwa wetu, utafanyaje?
Kugoma inaweza isiwe suruhisho tuikumbushe serikali itimize wajibu
Cjui kama anakuelewa maana watu wengine kama kenge hawasikii had dam masikioniUnayefurahia mateso ya watumishi wa umma elewa hawa wanakuhudumia we na familia yako,ukiugua utaenda ktk hospital ambapo utamkuta daktari ana stress na serikali yake,akikuzidishia dozi ukifa elewa si kosa lake,mnapeleka watoto zenu shule,wakirudi na ziro usidhani zinatokea kwa bahati mbaya,ni hizo sindano unazofurahia ziwaingie,mateso ya watumishi tutagawana na nyie raia wapumbavu,,,,
Mkulu ana akili sana alichokifanya kwenye vyama vyote vya wafanyakazi kaweka makada ndo makatibu na wenyevitiHamna umoja kabisa wa kuamua mambo yenu hasa pale mnapoona haki zenu mbali mbali kama waajiriwa wa Serikali zinapokosekana. Hili litaendelea kuwagharimu kwa kipindi kirefu kijacho.
vyama vya wafanya kazi vimewasaidiaje?au hawajaliona hilo?Serikali hii mpya iliyoaminiwa na umma wa Tanzania imetugeuka watumishi wa umma kwa namna isiyoelezeka,rais aliahidi kuboresha maslahi ya watumishi wa umma kwa nguvu zote lakini mambo yamekuwa tofauti: