Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

Kazi kweli kweli. Kwa nini Rostam alikuwa na more less majibu ya haya tunayaona leo?? Hivi inawezekana kuwa pesa ina nguvu?? Nahitaji kuelimishwa zaidi!!!!

Una maanisha kwamba RA amewanunua watendaji wote kuanzia brela, cmsa na wengineo???
 
Mie nawaambia subirini Mengi atakavyoenda kujietetea kwenye vyombo vya habari. Huyu bwana kama walivyowenzake kwenye board na mafisadi wengine, wao ni wachafu tuuuu. Usiku mtu anakuwa mchawi mchana anakuwa mwema. No way
 
Hawa waanzilishi wa NICOL (mengi,Idd Simba, Mosha, kaduma na wengineo) walijifanya ndio watetezi na wakombozi wa watanzania ambao hawana uwezo wa kumiliki mali. Sasa sijui watawabeba watanzania kwa mbeleko gani?

Kumbuka pesa za NICOL ndizo zilitumika kununua kiwanda cha madawa cha Moshi (kilikuwa na madeni Barclays Bank) ambacho mmiliki wake ni Mengi na kaka yake.
 
Hoja hii ya kiwanda cha madawa cha moshi kudaiwa na Barclays Bank na hali ya kiwanda chenyewe kinachechemea, ilipoletwa humu jamvini kuna watu waliipinga kwa nguvu zote; kisa anaejiita "mtetezi wa wanyonge" ameshikwa pabaya(anatuhumiwa) kuiingiza NICOL ktk uwekezaji wenye utata.

Angalia hata hili bandiko linvyochangiwa, kama vile watu hawajaliona... kumbe.....

Wakati kuna mukta wa ule wa mafisadi papa na nyangumi; niliwahi kusema hawa wanaojiita ni wapambanaji dhidi ya ufisadi nao wanamambo ya yaliyojificha nyuma ya pazia. Naona sasa wameumbuliwa!!!
 
Hii ishu ya NICOL inamuda kidogo. Hebu someni hapo chini maana ndio ishu za kiwanda cha madawa zilijulikana. We need actions. Ishu sio nani kafanya ishu ni sheria kuchukua mkondo wake. Hawa jamaa walizunguka nchi nzima hadi vijijini kuwaibia watu. Tunahitaji uwajibikaji.
Tanzania bourse suspends NICOL for nondisclosure

Tue Aug 25, 2009 10:30am EDT
* Month suspension for not saying drug unit in recievership
* Bourse also says failed to advise on TFDC unit performance
* Faces delisting if does not give information by month-end

DAR ES SALAAM, Aug 25 (Reuters) - The Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) has suspended Tanzania's National Investment Company NICOL.TZ (NICOL) from the bourse for failing to give notice that its drug subsidiary was in receivership.
Private equity firm NICOL listed all its 1.6 billion shares on the bourse just over a year ago and Interchem Pharmaceuticals & Beverages Ltd (IPBL), in which it has a 51 percent stake, was put into receivership late last year.
"Despite several reminders from the DSE, NICOL has failed to publish the required notice to date," the exchange said in a statement on Tuesday, adding that it had suspended NICOL from the exchange for one month from Aug. 21.
DSE, which has 15 companies listed, also said that NICOL had failed to update the public on the performance of its fish processing unit Tanzania Fisheries Development Company Limited TFDC.
NICOL officials were not immediately available to comment.
NICOL also holds 6.6 percent of National Microfinance Bank NMB.TZ and a stake in a local microfinance institution.
By the end of the month suspension, NICOL must publish all of the requested information, resubmit its financial statements, audited in line with International Financial Reporting Standards and show proof that any directors aged 70 or more had retired.
"NICOL's failure to comply with the ... directives will lead the DSE Governing Council to delist it," the statement said.
NICOL's shares closed trade on Aug. 20 at 270 Tanzania shillings ($0.205), compared with a high of 285 shillings on Feb. 19. Its shares debuted at 300 shillings and closed at 400 shillings on its first trading day.
Its total assets stood at 45.2 billion shillings at the end of last year, compared with 13.4 billion the year before. It made a pretax profit of 561.1 million shillings in 2008, up from a loss if 72.5 million shillings the previous year. (Reporting by George Obulutsa; editing by Daniel Wallis and Karen Foster) ($1=1315.0 Tanzanian Shilling)

© Thomson Reuters 2009. All rights reserved. Users may download and print extracts of content from this website for their own personal and non-commercial use only. Republication or redistribution of Thomson Reuters content, including by framing or similar means, is expressly prohibited without the prior written consent of Thomson Reuters. Thomson Reuters and its logo are registered trademarks or trademarks of the Thomson Reuters group of companies around the world.

Thomson Reuters journalists are subject to an Editorial Handbook which requires fair presentation and disclosure of relevant interests.
 
Wakuu niliwahi kutoa maoni humu jamvini kuwa wazo la kuanzisha mtaji wa wazalendo ni sawa lakini katika mtindo huu wa kununua hisa na kutegemea kuwa zita ongezeka thamani A BIG NO.
Kilichofanyika hapa ni A PRIMITIVE ACCUMULATION OF CAPITAL.
Na capital hiyo haijatumika vizuri na si ajabu hiyo capital itapotea kabisa.
Kwamba mahesabu yamefanywa kwa mtindo gani ni just a reflection on the movement of the capital.
Hivyo basi kama huo mtaji umewekezwa mahali ambapo hautarudi,wanunuzi wa hisa wasitegemee chochote.
Mbaya zaidi NICOL inaongozwa na wanasiasa ambao hawana ujuzi na utaalam wa kibiashara.
 
This was a disaster in the making na wataalam wengi walitahadharisha kuwa NICO Limited ni hatari na inahitaji ufuatiliaji lakini ukweli ni kuwa kampuni hii ilipata sapoti kubwa ndani ya vyombo vya usimamizi, na wangeendelea kuitetea na kuficha maovu yake kama isingetokea DECI ambayo iliwaumbua akina CMSA na wizara ya fedha, sasa wamekuwa kama mtu aliyeng'atwa na nyoka... lakini matatizo ya NICOL hayajaanza leo na kwa muda mrefu walikusanya pesa za wananchi na hawakuwa listed on the stock exchange.... historia yake hii wanajua wataalam wa finance... kama wapo humu ndani nadhani wanaweza kumwaga data.
Lakini masterminds behind this ni Felix Mosha, Idd Simba, Reginald Mengi na mzee Kaduma, but the one running the daily activities ni Felix Mosha.
 
Lol..
No one to trust! wapelekwe mahakamani Mosha, Mengi, Kaduma, Simba na kundi lake..this is unethical..kuibia wabongo huku unajidai ni "mpambanaji"..
Nafurahia uhuru wa habari...laiti ingekuwa sivyo rostam asingetufahamisha other side of the fisadi nyangumi ..ningekuwa kwenye upofu kwa jina la uzalendo lol.
 
Hili suala hapa ni lakitaluma zaidi kuliko siasa.......! Naona wajumbe wengi hapa tunalijadili kisiasa na kujaribu kupersonalise zaidi kuliko kutaka kujua technically, where the company (NICOL) went wrong!

Nashukuru Aljuniors kwa kuweka hapa FS zilizokataliwa na press release ya consortium. Niko na viswali kadha hapa;

Ukiangalia hizo accounts zilikuwa signed mwezi wa tatu mwaka huu, nijuavyo mimi auditor ndio huwa mtu wa kwanza/communicator wa kwanza kwa public, shareholders, government kuwa mambo ktk company fulani yapo ndivyo sivyo. Je, hawa CMSA, NBAA,BRELA walipata wapi au what triggered them au nini kiliwastua mpaka wadai kuwa zile FS zina makosa....nani aliwambia zina makosa? Wanasema hazijaandaliwa kufuatana na IFRS....mbona auditor hapo kny pg 4 na 5 anaconfirm kuwa accounts zimeandaliwa kufuatana na IFRS?

Ina maana huyu auditor hajiamini basi, ina maana akiwa field kny audit hakufanya assessment ya whether accounts zimeandaliwa kufuatana na IFRS na IASs? na yeye alifanya ukaguzi kutumia sheria ipi?ISA? au zipi....na kwa nini a state kny accounts kuwa accounts zimeandaliwa kwa in compliance with IFRS wakati siyo?

Yes, mimi nikiangalia hiyo format ya accounts, yes hazikutengenezwa in compliance with IFRS (Just format), mambo ya accuracy, completeness na existence tests ni kitu kingine....hapa na judge tu presentation yake kama nilivyoziona hapa!

Mtu wa kwanza kumnyoshea kidole ni auditor....njaa njaa za maauditor wetu ndo zinapelekea kufanya kazi kwa kulipua na kuend up na un confident opinion kama hizi....ni aibu kubwa sana kwa auditor for this matter!

Pili, kwa kampuni kubwa kama NICOL ambayo ipo registered DSE, ambayo public as whole ipo na interest nayo, hainiingii akilini kwa nini BOD waliamua kumchukua the auditor of that level! Kwanza hana resources za kutosha in terms of employees, IT, technical base etc hawa wanawafaa wajasiriamali wadogo yaani SMES.....why didn't they go for excellent auditors like PWC, KPMG,E&Y,DELLOITTE? ili kuhakisha interest za shareholders zinakuwa safegurd?

So kwa maoni yangu ingependeza hii kitu tuijaidili on technical grounds zaidi kuliko kuliweka suala hili la kisiasa zaidi.....itatusaidia hata kujifunza going forward!
 
Next level, nadhani unachanganya vitu hapa kwa kuanza kumnyooshea kidole auditor. Hiyo ni ya mbali zaidi. Kama unataka tuweke siasa kando na tuelekee kwenye Taaluma basi hao NICOL ni uozo wa kutupa. Labda nikufahamishe tu, auditor kazi yao ni kutoa opinion na sio kugundua wizi (detection of frauds). Nimesema hapo juu, km management itacollude basi hapo hata auditor afanye nini hataweza kuona nini kimetokea katika auditing ya kawaida unless ifanyike special audit. Kwa maana hiyo hawa jamaa walikuwa wanajua wanachofanya. Labda mfano uliohai zaidi ni mmoja wa Board member(senior board member) kuamua kuuzia kiwanda chake kampuni. Hapo kuna suala la independence. The guy has impaired independence. Kiutaalam hayo ya NICOL ni madudu. Ondoka hapo nenda kwenye IFRS. Ni karibu miaka 5 sasa toka Tz ilipoadopt IFRS lakini hawa jamaa bado wanatumie madudu ya TFS tena hawaeleweki wanachofanya. Hivi kampuni inayokusanya rasilimali za watu inashindwa hata kuandaa financial statements. Hili la statement ni la mbali na wanajificha huko, ila kubwa zaidi ni hizo acquisition za kijinga bila kutoa valuation ya wanachonunua.
Next Level njoo na hoja za kitaalam unazoona zitafanya tuwaamini hawa watu. Hii ni kama zile za kina Madoff sijui kwanini sheria hazitumiki. tena inawezekana wenye share wengi hawajui kilichotokoa. Jamani huu ni ujambazi.
 
Source Dailynews.
FORMER board member of the National Investment Company (NICOL), Judge Mark Bomani has advised current members to step down to pave the way for investigations into alleged financial scam.

The Nicol board faces a series of allegations involving preparing false financial statements to deceive its shareholders.

Bomani's comments comes a day after the Capital Markets and Security Authority (CMSA) issued a warning to board members for failure to comply with its directives regarding proper presentation of 2008 financial statements.

"I think the board members must follow the authority's advice because CMSA is the supervising authority of companies such as NICOL," Bomani said in a telephone interview.

"It would be better if they stepped down and give room for investigations and reduce tension to shareholders," said Bomani, adding that he withdrew from the board more than a year ago after he reached statutory age of 70 years.

The CMSA in a joint statement with Business Registration and Licensing Agency (Brela), Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) and National Board of Accountants and Auditors (NBAA) on Wednesday asked the shareholders to force the board members to resign and take them to court if they refused to heed.

Commenting on CMSA's statement, NICOL's Board Chairman, Mr Felix Mosha, yesterday admitted that the company's financial statements were not clean.

The chairman, who together with other shareholders, has been in friction with CMSA for a while, said yesterday that they are currently rectifying the mistakes.

"It's true there was problems in our financial statements…we are correcting them and we are in discussion with the CMSA over the matter," said Mr Mosha.

Mr Mosha yesterday assured shareholders that their money invested in the company were safe, saying "85 per cent of their money is safe with National Bank of Commerce."

The chairman, however, declined to comment on CMSA's view that they should resign or be kicked out of the board, or taken to court.

The CMSA also alleged that they observed after on spot inspection, that NICOL Directors made investment decisions without undertaking proper due diligence which resulted into questionable quality of investments in the companies such as Interchem Pharmaceutical, Beverage Limited (IPBL) and Twiga Feeds Ltd.

CMSA's statements came just few days after NICOL convened its annual general meeting last Saturday which was deemed illegal by the authorities. The meeting was postponed to tomorrow.

The verdict is expected to be delivered tomorrow by shareholders at the meeting, though CMSA maintained in their statement that they should not present financial statements to the shareholders because their books were not clean.

According to NICOL's website, board members comprise prominent personalities including Ibrahim Kaduma, Idd Simba, Hashim Mbita, Dr Martha Qorro and Thabita Siwale. Others like Reginald Mengi and Nehemiah Mchechu resigned recently after the revelation of the questionable report in NICOL.
 
The question here is NOT auditing, Financial Statements or the lack of it BUT a lack of equitable explanation on members funds that was thought to be an investment.
 
Naomba tuwakumbuke wa Share holders wa TOL, watu walinunua shares, baadae mambo kama haya yaka ibuka, na sasa nafikiri huyo huyo Mosha na wenzie wapo huko wanasubiri kumuuzia mtu bomu kwa faida zao bila kujali interest za monority shares holders ambao hawajui nini kina endelea huko.
 
Kuna joint press release imetolewa na DSE, CMSA NBAA, labda nashauri tuisome wote na ndipo tuendelee na mjadala kwani inaonekana tukija kwa upande wa auditors, the auditors withdrew their statement baada ya kutoridhika na mahesabu lakini NICOL waliichapisha katika ripoti yao ya mwaka, kwa hiyo wameidanganya umma na hasa shareholders wao. Ile Joint press release imeweka wazi technical na ethical shortcomings za wakurugenzi wa NICOL na inaonekana they were warned several times lakini walikaidi maagizo na maelekezo.
I know that there was a lot of good will extended toward this local endeavour lakini inaonekana kuwa wahusika walijisahau.
About politicizing this issue: To be honest RA is not my favorite politician to say the least, and definitely I don't have very high opinion of him, but he was right about NICOL and he had nothing to do with this, NICOL was a disaster waiting to happen, from the beginning.
 
Mkuu hii Nicol ni utapeli wa hali ya juu ila imefanywa kisayansi. Ukiangalia hata financial statements zao kuna vitu vingi sana walitakiwa kuviweka wazi. Hawakuweka wazi.

Anyway, sipendi kumgusa Mengi ila mmmmhhhh! Nicol ni wajanja wachache waliowakusanya wajinga wengi na kuwekeza hela zao kwenye makampuni za ndugu au marafiki na kisha kuyafilisi. Susuviri wewe ni kichwa mwanangu, nimekukubali.

Kwa hili nipo na Rostam. Tumechemsha big time kuwaibia walalahoi wa kitanzania kwenye NICOL.

Kama walalahoi wakiwa makini NICOL itakufa kwenye kipindi cha mwaka mmoja kuanzia leo! Utabiri wangu huo.
 
Ndugu wanajamvi,
Tangu juzi magazeti ya Tanzania yamekuwa yakiandika habari kwamba wakurugenzi wa NICOL wamekuwa wakisuasua kupeleka hesabu za mwaka kwa kwa soko la hisa la Dar Es Salaam (DSE), mamlaka ya Masoko na Mitaji (CMSA), Bodi ya Taifa ya Wakaguzi na Wahasibu (NBAA). Mamlaka hizi zilinusa kwamba mahesabu ya NICOL yalikuwa "yamechezewa" hivyo wamewataka wakurugenzi wake waachie ngazi.
Hii imekaaje?

Kampuni ya NICOL hatarini kufutwa katika soko la hisa
Na Ramadhan Semtawa

BARAZA la Uongozi wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), limeisimamisha kwa mwezi mmoja Kampuni ya Uwekezaji ya Taifa (NICOL), katika orodha ya makampuni yanayopaswa kuuza hisa kwenye soko hilo.NICOL ni kampuni iliyosajiliwa kwenye orodha ya makampuni ya kuuza hisa DSE na Julai 15, mwaka jana ilipewa kampuni mbiu ya 'Kampuni ya Wazawa'.

Kwa mujibu wa tangazo kwa umma ambalo gazeti hili ina nakala, DSE licha ya kuisimamisha NICOL kwa kipindi hicho, pia imetishia kuifuta katika orodha ya makampuni yanayopaswa kuuza hisa kwenye soko hilo endapo itashindwa kutoa na kuwasilisha vielelezo kwa maelekezo iliyopewa.

Kwa mujibu wa DSE, NICOL iliwasilisha taarifa kwenye soko hilo, ikionyesha kuwekeza fedha kutoka vyanzo mbalimbali, ikiwemo kiwanda cha Inter-chem Pharmaceuticals& Beverages Ltd (IPBL) na Tanzania Fisheries Development Co.Ltd (TFDC).

Hata hivyo, ilibainika kwamba, IPBL ni moja ya kampuni ambayo iliwekwa katika orodha ya kupigwa mufilisi.

"Baadaye DSE ikaelekeza NICOL ieleze umma mambo matatu, kuhusu athari za mufilisi wa IPBL katika thamani halisi ya mali za kampuni hiyo ya taifa," inasema sehemu ya tangazo hilo.

NICOL pia ilitakiwa kueleza, endapo ikitokea kuwepo kwa madeni au kupata msukosuko wa kifedha, ina mpango gani wa kunusuru hali hiyo.

"Hata baada ya kukumbushwa na DSE, bado NICOL ilishindwa kutoa taarifa kwa umma kwa wakati husika," inasema sehemu ya tangazo hilo.

Kwa mujibu wa DSE, Baraza la Uongozi la DSE katika mkutano wake wa kawaida wa 43, uliotishwa Agosti 21, 2009, ilijadili taarifa ya NICOL na kubaini kwamba ilishindwa kutimiza maelekezo hayo.

"Kwa hiyo, Baraza lilikubali kuisimamisha NICOL kutoka katika orodha ya kuuza hisa kwa kipindi cha mwezi mmoja kutoka siku hiyo ya Agosti 21, 2009.

"Baraza pia limeagiza NICOL katika kipindi hicho ambacho imesimamishwa, ifanye mambo ambayo ilielekezwa awali," inasisitiza sehemu ya tangazo la DSE.

Mambo mengine, NICOL pia inapaswa kueleza uzalishaji halisi wa sasa wa makampuni hayo, mawili ya IPBL na TFDC, ikilinganishwa na matarajio yake ya awali.

DSE pia imeagiza NICOL kuwasilisha tena taarifa ya Ukaguzi wa Mahesabu, ambayo iko katika viwango vinavyotambuliwa kimataifa na IFRS ikiwa pia ni maelekezo ya Soko la Mitaji na Bodi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu.

Katika maagizo hayo, NICOL pia inapaswa kuwasilisha uthibitisho wa wakurugenzi wake wenye umri wa miaka zaidi ya 70 na ustaafu wao, kama inavyoelekezwa kwenye Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002.

NICOL pia inapaswa kuonyesha timu ya menejimenti na wataalamu wake, wenye uzoefu wa kuendesha makampuni ya uwekezaji.

"Endapo NICOL itashindwa kutimiza maelekezo yaliyotolewa hapo juu, itasababisha Baraza la Uongozi la DSE kuifuta kutoka katika orodha ya kumbukumbu zake," ilieleza sehemu ya tangazo hilo.

NICOL ilianzishwa kwa mgongo wa Kampuni ya Uwekezaji ya Wazawa, lakini miaka ya karibuni imekuwa kimya kutoa taarifa kwa umma.

Chanzo: Mwananchi
 
Bnhai,

Nipo busy kidogo na mabox......will be back kuelezea kwa kina the role of auditor in this sagga and that of BOD as well!
 
Ndugu wanajamvi,
Tangu juzi magazeti ya Tanzania yamekuwa yakiandika habari kwamba wakurugenzi wa NICOL wamekuwa wakisuasua kupeleka hesabu za mwaka kwa kwa soko la hisa la Dar Es Salaam (DSE), mamlaka ya Masoko na Mitaji (CMSA), Bodi ya Taifa ya Wakaguzi na Wahasibu (NBAA). Mamlaka hizi zilinusa kwamba mahesabu ya NICOL yalikuwa "yamechezewa" hivyo wamewataka wakurugenzi wake waachie ngazi.
Hii imekaaje?

MODs,
Nashauri hii thread iunganishwe na ile ya "Ufisadi NICOL"
 
Back
Top Bottom