Serikali: Watanzania wote wenye sifa watapewa vitambulisho vya Taifa kufikia Disemba 31, 2021

Kama Kuna mtu keshapata kitambulisho Cha taifa tangu huyu aliposema anyooshe kidole.
Kitambulisho hicho wanachotolea povu kila kuchapo kina kazi gani?
Mimi Sina Ila Nina laini tatu za simu, nasafiri nje, naendesha gari Ila sipigi kura
 
Back
Top Bottom