Serikali vijana wasio na ajira wameanza kunyanyua nondo!

Unawaongelea vijana gani hao wajinga wajinga wasiojitambua. Vijana wanaodhani Diamond kabahatisha maisha bila kujitoa. Kwa ufupi vijana wa Tanzania ni wajinga tena wakose ajira wajinga sana tena sana. Wengi hawataki kufanya kazi kutwa nzima Kushinda vijiweni na kugongea msosi kwa wazazi wao. Serikali inabidi ipitishe sheria ukifia 18 uondoke kwa wazazi wako.
Uongo mtupu, kwa hiyo huo uchawa wako umeona ndio kazi ?
 
Serikali fanyeni namna watu wapate kazi watu wameanza kunyanyua nondo huku mtaani!,punde si punde wataanza kusema na shingo zetu kwenye vichochoro.. watu watabanwa mbavu watoe vya watu! Mi sisemi mengi
uko mtaa gani wewe.
 
Back
Top Bottom