Serikali tusimamie wananchi makampuni ya simu yanatuibia kwenye Internet

Serikali tusimamie wananchi makampuni ya simu yanatuibia kwenye Internet

AIRTEL wamenikera sana sio siri, haswa kwenye bando ya wiki yaani wamepandisha sh. 2000 yote kwa 1GB?

Kesho nitanunua line ya HALOTEL japo kwa muda kwani najua ni mtandao mpya so una vibonuses.

Nimehamia juzi Jumatano.... karibu Halotel
 
Nashauri TCRA iwe inatoa bei elekezi za !nternert bundles' kulingana na hali ya uchumi na infrastructural technological trends in the world. Kuliko huku kwa haya makampuni ya simu kutubadilishia bei kila kukicha na hakuna sababu inatolewa.

Kwa sasa 'Internet bunddles' zipo kwenye hot demend kuliko hata Dakika na Message za bure.
 
Halafu wanachokera zaidi Voda na Airtel wanatuibia kivyotevyote,unaweza ukahangaika na network siku nzima huku wao wanakukata tu ukijakubahatisha salio limebaki robo,mitandao yenyewe hovyo bei ni kubwa,sijui waziri mwenye dhamana halioni hill?
 
Wa JF.

Watanzania kila kukicha wanazidi kukamaliwa na hawa wawekezaje huku serikali ikiwa upande wa wawekezaji.

Mabenki yanajipangia riba kubwa wanavyotaka wao lakini serikali wala haina tatizo kwenye hilo.

Sasa hivi haya makampuni ya simu yanafanya wizi mkubwa kwa wateja wake kwenye kuuza vifurushi vya Internet sasa hivi Airtel na Vodacom wanafanya wizi wa wazi 1GB unanunua Sh 5000 ya wiki lakini ndani ya siku 3 unaambiwa zimeisha.

Vodacom wao 1GB Sh 8000 ndani ya siku 3 hamna kitu.

Zamani walikuwa wanauza 1GB Sh2500 ikapanda mpaka Sh 3000 kwa wiki.

Serikali tusimamieni Watanzania tunaibiwa na haya makampuni ya simu.

Na hizo MB wanazouza hamna maelekezo ya kodi wanalipa kiasi gani TRA.
Serikali hii ndo unayo iomba?basii kilio chako kimesikiwa kitafanyiwa kazi.
 
Kuweni wapole mnaisoma namba sasa wakati bajeti inapitshwa hamkulijua hlo
 
Wa JF.

Watanzania kila kukicha wanazidi kukamaliwa na hawa wawekezaje huku serikali ikiwa upande wa wawekezaji.

Mabenki yanajipangia riba kubwa wanavyotaka wao lakini serikali wala haina tatizo kwenye hilo.

Sasa hivi haya makampuni ya simu yanafanya wizi mkubwa kwa wateja wake kwenye kuuza vifurushi vya Internet sasa hivi Airtel na Vodacom wanafanya wizi wa wazi 1GB unanunua Sh 5000 ya wiki lakini ndani ya siku 3 unaambiwa zimeisha.

Vodacom wao 1GB Sh 8000 ndani ya siku 3 hamna kitu.

Zamani walikuwa wanauza 1GB Sh2500 ikapanda mpaka Sh 3000 kwa wiki.

Serikali tusimamieni Watanzania tunaibiwa na haya makampuni ya simu.

Na hizo MB wanazouza hamna maelekezo ya kodi wanalipa kiasi gani TRA.
Hao ndio walipa kodi na sisi tunataka kukusanya kodi. Vumilieni tulete maendeleo nchini.
 
Hawa jamaa kila siku wanakuja na bei mpya za hizo bando zao.

Wacha mkamuliwe sawa sawa...Tena muwapigie na makofi ,leo ninyi ndio mnalalamika ?..Serikali wapo busy na Ukuta..

[HASHTAG]#Hapa[/HASHTAG] kazi tu..
 
Njoo kwa wa wanyonge HALOTEL kwan wao bado wao TRIAL kabla hawajakua wajuaji[emoji33][emoji33]
 
Hili ni kweli
Nadhani pia serikali haina wasomi wazuri wenye ufahamu wa kutosha wa mitandaoni
Unlessotherwise inahujumiwa kwa wataalamu wake kushirikiana na makampuni haya
 
Vodacom ni MAJIZI namba moja ktk mitanfao yote ya simu...Tshs 500 ilikuwa inanunua MB 500 lkn sasa hivi Tsh 500 unanunua MB 130

Blalbasketmouth!!!!!!!!!
 
najiuliza tu hivi hii vodacom kwa hapa tanzania wazawa wana hisa asilimia ngapi???
maana hii michezo tunafanyiwa na hawahawa wenzetu wenye umiliki wa hisa hapo vodacom______ni akina nanihao??? uchawi ni sisi kwa sisi tu...
 
Back
Top Bottom