Serikali Tunasubiri Ada Elekezi Shule Binafsi.

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,553
Ni moja ya ahadi za serikali ya awamu hii kulishughulikia hili lakini mpaka sasa tunaelekea January 2017 hakuna kilichofanyika
Ki ukweli kwa hali ilivyo sasa na ada tunazotozwa ni balaa,pamoja na kuishukuru serikali kutoa Elimu bure, kwa Sie ambao watoto wetu walishaanza private inakua ngumu kumhamisha kati,
Tunaomba serikali kupitia wizara washughulike na hili mbona kwenye vyombo vya usafiri vimewekwa viwango elekezi iweje kwenye ada?
Kiukweli kulipa mamilioni kwa ada ni kuwatajirisha zaidi hawa wamiliki,na hii inazidi kuwapa vichwa na kuwajengea kiburi,serikali simamieni hili.
 
ilikua ni kuomba kura ya kula
 
Back
Top Bottom