Serikali: Tsh Bilioni 300 kutumika ujenzi daraja la juu Magomeni, kumaliza changamoto za mafuriko Jangwani

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza katika mahojiano maalum na Ayo Tv ameeleza kuwa ili kumaliza kero na taabu zinazosababishwa na mafuriko yanayotokea mara kwa mara katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam tayari Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhusu Hassan ametafuta fedha za kujenga daraja kubwa la juu Magomeni - Fire ambalo litajengwa kwa zaidi ya Tsh. bilioni 300 na hadi April 2024 shughuli za kuanza ujenzi na Mkandarasi kuwa "site" zitaanza.

“Niwaase Wana Dar es Salaaam mvua bado zinanyesha tuendelee kuchukua tahadhari” Ameeleza Chalamila
 
Ndiyo lile Makonda alisema lina sentimita 300!!
 
Back
Top Bottom