ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,042
- 49,727
Serikali Rais mama Samia imetenga Bilioni 300 kuanza Ujenzi wa Daraja la Jangwani Ili kutatua kero ya mda mrefu ya Mafuriko na kukatika Kwa Barabara eneo la Jangwani
Daraja Hilo litajengwa kuanzia eneo la Magome I Hadi Fire na litakuwa la njia 4.
Mtakataba wa kuanza ujenzi utatiwa Saini sambamba na mikataba mingine 15 itayoshihudiaa na Rais mwisho wa mwezi Novemba.
My Take
Mama anafanikisha ,kazi zinaendelea Kila pande ya Nchi, Kaskazini Hadi Kusini,Mashariki Hadi Magharibi Kigoma mwisho wa reli.
Maneno machache kazi kubwa,machadomo yananuna tuu. 🔥🔥
View: https://www.instagram.com/p/CzluR47tilB/?igshid=MTdkM25vOG5hMWJvZw==