Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Wakuu, hii ni aibu ya kustaajabisha mda ni ya Serikali hii dhaifu ya Chama chakavu............... Wakati Serikali hii dhaifu ya CCM Isiyojua Kufanya utafiti wa mambo kabla ya Kuyaropoka hadharani Ikidai kuwa "HATI ZA MUUNGANO" zipo Umoja wa Mataifa (UN), Umoja huo wa Mataifa umeikana Serikali ya Tanzania hadharani na kuweka wazi kuwa hakuna Ushahidi wa Jambo hilo..................... Taarifa zilizolifikia Gazeti la Tanzania Daima Jumapili 06/04/2014 kutoka kwa Ofisa wa Masuala ya Sheria na Mikataba ya Umoja wa Mataifa Bw.Andrei Kolomoets, zilibainisha kuwa hakuna Ushahidi wa Sekretarieti ya Umoja huo kuzisajili hati hizo........... Kolomoets aliendelea kubainisha kuwa, kama hati hizo zingekuwa zimesajilia na Umoja wa Mataifa, kungekuwa na Kumbukumbu zake.......... My Intake:Enzi za Mwalimu, mambo yalipelekwa Simple...hivyo naomba kila mmoja wetu akumbuke kwamba, hati yetu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni UDONGO aliouchanganya Mwalimu Nyerere Tarehe 26/04/1964.