super black Boy
Senior Member
- Oct 15, 2019
- 135
- 169
LUOGA/LUGOLA.nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri kangi luoga....jamaa amefanya tukio gani hilo isee LA balaa mpaka amemkuna mweheshimiwa waziri??
Je anae mvujishia siri?LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
Sasa kama amejulikana wanayemtafuta kwa sasa ni nani ?LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
CANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
kuchapia ni moja ya kuvuta attention ya watu pia kwenye uandishi mkuuLUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
ndo ID picture yake hiyombona kuna kibonzo cha jay z
Huna lolote, sio kwamba umechapia ila hukuwa unajuakuchapia ni moja ya kuvuta attention ya watu pia kwenye uandishi mkuu
Watu wana hints nyingi tu zinazoweza pelekea jamaa kupatikana sema ndio hivyo mikono mitupu hailambwi, serikali itangaze tu hapo dau mezani watu wamwage taarifadaaah!! watu mnaroho ngumu isee hamna huruma kabisa na wenzenu na hapa anakupiga jicho tu unavyotaka kutajirika kupitia yeye
kigogo kwa mawazo yangu sio mtu 1 ni kundi la watu (tena wataalamu sana) kuna siku niliona akisema 'walimdukua wakachemka" unaweza pata picha jamaa ni wa moto kiasi gani?Watu wana hints nyingi tu zinazoweza pelekea jamaa kupatikana sema ndio hivyo mikono mitupu hailambwi, serikali itangaze tu hapo dau mezani watu wamwage taarifa
Mkuu, kuna mbinu nyingi tu za kumtambua mtu kama ndiye na nisingependa kuziweka wazi. Pesa haiwezi tolewa bila kuwa na uhakika 100%Wa bongo sio wa mchezo mchezo, kwa kiwango hicho anaweza kuja mwenyewe akachukua hela na kumtaja Kangi Lugola kuwa ndio kigogo!
Kuna watu walishamzushia bodyguard wa rais yule bonge mweusi kuwa ndiye Kigogo2014.Wa bongo sio wa mchezo mchezo, kwa kiwango hicho anaweza kuja mwenyewe akachukua hela na kumtaja Kangi Lugola kuwa ndio kigogo!
Unawakumbuka Tanzagiza?? Kigogo ni mtu mmoja sio kikundi cha watu... Serikali iweke dau watu wamwage taarifa...kigogo kwa mawazo yangu sio mtu 1 ni kundi la watu (tena wataalamu sana) kuna siku niliona akisema 'walimdukua wakachemka" unaweza pata picha jamaa ni wa moto kiasi gani?
hii kudanganyana sijui mtego wa kuumwa maggu sijui nini ni porojo
LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
Kuna watu walishamzyshia bodyguard wa rais yule bonge mweusi kuwa ndiye Kigogo2014.